Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malaika mtoa roho akishakuita lazima uende kwa staili yoyote ile. Ila hizi ajali imekuwa kama movie ya final destinationHahaha, umemsoma tusker barid haha
Anakuambia walitokea juliana wakiwa njwii
Wakahamia lava lounge wahudumu wakawasihi wasiendele piga mtungi
Haha
Kweli ajali walijitakia
Ova
NdjyoNa huku umo
Mkuu umeua!Mtu atafufuliwa katika hali aliyokufia
Vifo vingine ni za kujitakia mzeeMalaika mtoa roho akishakuita lazima uende kwa staili yoyote ile. Ila hizi ajali imekuwa kama movie ya final destination
Utabebwa na rafiki yko.Ndo yaleyaleAisee ndo maana nikiamua kwenda kulewa huwa sitoki na gari...
Sema kuna hasara kidogo baadhi walikuwa masoja, mmojawapo ni ana cheo cha major katika kambi ya gongo la mboto [emoji24][emoji24][emoji24]Kifo bila maumivu..BATA mpaka dakika ya mwisho.. !
Wenyewe wala hawajui kama wamekufa..
Kimbembe ni huko kwa Sir God! Watasemaje sasa wakifika wako tungi ndii na midomo inatoa puyapuya ya TUSKER baridi na KVANT?
Hata hukumu yao itabidi iahirishwe pombe ziwaishe kichwani..![emoji2827]
kma ww Muislamu utaamini la kama si muislamu utapingaMkuu umeua!
Je na ule mkasa wa shehe aliyefia juu ya mwanamke akizuga mkewe kuwahi kuswali?
Sidhani kama Mungu wa upendo ataweza kutoa adhabu za kidhalilishaji namna hiyo.
Mshana weweee dah.. umewahukumu kabla hawajafika kwa Sir God!Kifo bila maumivu..BATA mpaka dakika ya mwisho.. !
Wenyewe wala hawajui kama wamekufa..
Kimbembe ni huko kwa Sir God! Watasemaje sasa wakifika wako tungi ndii na midomo inatoa puyapuya ya TUSKER baridi na KVANT?
Hata hukumu yao itabidi iahirishwe pombe ziwaishe kichwani..![emoji2827]
Jitihada haiondoi kudra mkuu. Tunafanya sehemu zetu, panaposalia tunamuachia Mola!Da. Wewe una akili nzito sana. Kwa nini sasa unapovuka barabara huwa unachukuwa tahadhari? Kwa nini usivuke tu bila kuangalia wala kujali chochote kwani ''kama siku yako haijafika'' hakuna kitakachokugusa? Pia kwenye maisha yako hata ukiugua usitafute tiba kwani kama siku yako haijafika hutakufa!
Jamaa alikuwa meja Tpdf?
Enyi walevi, pombe sio chai!Watano Wafariki kwa ajali Bunju B Usiku wa Jmosi wakitokea Juliana Pub wakaja kumalizia huku njia ya Moga kuna baa inaitwa Lava Lounge.
Wakanywa tena hadi saa 10 wahudumu Waliwasihi sana walivyolewa hivyo wkalale logde ya huko huko msiendeshe lakini hawakuwasikiliza,
Wakaondoka, ndio wakati wanaingia main Bagamoyo Road pale Lake Oil Lori la mchanga likawagonga walikua 6 mmoja ni majeruhi.