Watano wafariki kwa ajali Bunju B usiku wa Jumamosi 26 Machi, 2022. Walikuwa wakitokea kwenye starehe

Watano wafariki kwa ajali Bunju B usiku wa Jumamosi 26 Machi, 2022. Walikuwa wakitokea kwenye starehe

Mvinyo bora..![emoji23] hawa wamepiga vyenye kimea kisha wakafanya featuring na ngumu kumesa.. Hata ibilisi mwenyewe kawaogopa.. Watu wanakula munde mpaka mida ya wanga..[emoji31]
Si wangebaki tu mpaka asubuhi ndo waomdoke..

Ila kuna vifo vingine tunajitafutia wenyewe

Mungu atuzidishie hekima na busara
 
Mvinyo bora..![emoji23] hawa wamepiga vyenye kimea kisha wakafanya featuring na ngumu kumesa.. Hata ibilisi mwenyewe kawaogopa.. Watu wanakula munde mpaka mida ya wanga..[emoji31]
🤣🤣🤣🤣
 
Watano Wafariki kwa ajali Bunju B Usiku wa Jmosi wakitokea Juliana Pub wakaja kumalizia huku njia ya Moga kuna baa inaitwa Lava Lounge wakanywa tena hadi saa 10 wahudumu Waliwasihi sana walivyolewa hivyo wkalale logde ya huko huko msiendeshe lakini hawakuwasikiliza, wakaondoka, ndio wakati wanaingia main Bagamoyo Road pale Lake Oil Lori la mchanga likawagonga walikua 6 mmoja ni majeruhi.
Yaani hao wamefika majuu wakiwa vizuri kabisa.
 
Kifo bila maumivu..bata mpaka dakika ya mwisho.. Wenyewe wala hawajui kama wamekufa.. Kimbembe ni huko kwa Sir God! Watasemaje sasa wakifika wako tungi ndii na midomo inatoa puyapuya ya tusker baridi na kvant?[emoji24][emoji24][emoji24]
Hata hukumu yao itabidi iahirishwe pombe ziwaishe kichwani..
Hahaha, umemsoma tusker barid haha

Anakuambia walitokea juliana wakiwa njwii

Wakahamia lava lounge wahudumu wakawasihi wasiendele piga mtungi
Haha

Kweli ajali walijitakia

Ova
 
Watano Wafariki kwa ajali Bunju B Usiku wa Jmosi wakitokea Juliana Pub wakaja kumalizia huku njia ya Moga kuna baa inaitwa Lava Lounge wakanywa tena hadi saa 10 wahudumu Waliwasihi sana walivyolewa hivyo wkalale logde ya huko huko msiendeshe lakini hawakuwasikiliza, wakaondoka, ndio wakati wanaingia main Bagamoyo Road pale Lake Oil Lori la mchanga likawagonga walikua 6 mmoja ni majeruhi.

View attachment 2168882
Duuuhhh....!! Noma sana aisee. Pole sana kwa wafiwa.

Ila akili ya pombe aisee sijui huwa inakuaje.

Nakumbuka kama miaka 18 back enzi za ujana, kuna siku nilikua na washikaji Moshi tumepiga bia tuko tungi kinoma aisee, ikaja idea kwamba tu drive hadi Arusha, kumbuka mida hiyo saa 7 usiku tayari, tuko pombe mbaya, tunatiana moto kwamba lazima by saa nane tuwe A town tugonge pombe za Arusha.

Tukaanza safari, hata hatukufika mbali tunaitafuta Bomang'ombe polisi hawa hapa, wakatusimamisha tukagoma, wakaanza kutufukuza.

Aisee wakatudaka fasta, wanacheki ndani ya gari wanakuta pombe kibao wote tuko pombe mbaya, wakatuchukua kwanza wakaenda kutulaza lock up.

Hiyo ndo ikawa pona yetu, ila kama tungeendelea na ile safari sidhani kama tungepona.

Pombe noma sana aisee, acha kabisa.
 
Marehemu Elisha Daud Gyuzi amezikwa jana. RIP

IMG-20220330-WA0015.jpg
 
Kifo bila maumivu..bata mpaka dakika ya mwisho.. Wenyewe wala hawajui kama wamekufa.. Kimbembe ni huko kwa Sir God! Watasemaje sasa wakifika wako tungi ndii na midomo inatoa puyapuya ya tusker baridi na kvant?[emoji24][emoji24][emoji24]
Hata hukumu yao itabidi iahirishwe pombe ziwaishe kichwani..
Watapew mvinyo kwanza kuondoa lock kabla ya hukumu
 
Back
Top Bottom