nduza
JF-Expert Member
- Feb 7, 2019
- 1,595
- 2,503
Mshana kaongea Kama joking tuBro Mshana huko si zinaenda tu roho zao?!!,Mwili unabaki na tunauzika na harufu yake ya pombe.
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshana kaongea Kama joking tuBro Mshana huko si zinaenda tu roho zao?!!,Mwili unabaki na tunauzika na harufu yake ya pombe.
Si wangebaki tu mpaka asubuhi ndo waomdoke..Mvinyo bora..![emoji23] hawa wamepiga vyenye kimea kisha wakafanya featuring na ngumu kumesa.. Hata ibilisi mwenyewe kawaogopa.. Watu wanakula munde mpaka mida ya wanga..[emoji31]
🤣🤣🤣🤣Mvinyo bora..![emoji23] hawa wamepiga vyenye kimea kisha wakafanya featuring na ngumu kumesa.. Hata ibilisi mwenyewe kawaogopa.. Watu wanakula munde mpaka mida ya wanga..[emoji31]
Yaani hao wamefika majuu wakiwa vizuri kabisa.Watano Wafariki kwa ajali Bunju B Usiku wa Jmosi wakitokea Juliana Pub wakaja kumalizia huku njia ya Moga kuna baa inaitwa Lava Lounge wakanywa tena hadi saa 10 wahudumu Waliwasihi sana walivyolewa hivyo wkalale logde ya huko huko msiendeshe lakini hawakuwasikiliza, wakaondoka, ndio wakati wanaingia main Bagamoyo Road pale Lake Oil Lori la mchanga likawagonga walikua 6 mmoja ni majeruhi.
Hahaha, umemsoma tusker barid hahaKifo bila maumivu..bata mpaka dakika ya mwisho.. Wenyewe wala hawajui kama wamekufa.. Kimbembe ni huko kwa Sir God! Watasemaje sasa wakifika wako tungi ndii na midomo inatoa puyapuya ya tusker baridi na kvant?[emoji24][emoji24][emoji24]
Hata hukumu yao itabidi iahirishwe pombe ziwaishe kichwani..
Tatizo, walikuwa wana hama viwanjaSi wangebaki tu mpaka asubuhi ndo waomdoke..
Ila kuna vifo vingine tunajitafutia wenyewe
Mungu atuzidishie hekima na busara
Duuuhhh....!! Noma sana aisee. Pole sana kwa wafiwa.Watano Wafariki kwa ajali Bunju B Usiku wa Jmosi wakitokea Juliana Pub wakaja kumalizia huku njia ya Moga kuna baa inaitwa Lava Lounge wakanywa tena hadi saa 10 wahudumu Waliwasihi sana walivyolewa hivyo wkalale logde ya huko huko msiendeshe lakini hawakuwasikiliza, wakaondoka, ndio wakati wanaingia main Bagamoyo Road pale Lake Oil Lori la mchanga likawagonga walikua 6 mmoja ni majeruhi.
View attachment 2168882
Watapew mvinyo kwanza kuondoa lock kabla ya hukumuKifo bila maumivu..bata mpaka dakika ya mwisho.. Wenyewe wala hawajui kama wamekufa.. Kimbembe ni huko kwa Sir God! Watasemaje sasa wakifika wako tungi ndii na midomo inatoa puyapuya ya tusker baridi na kvant?[emoji24][emoji24][emoji24]
Hata hukumu yao itabidi iahirishwe pombe ziwaishe kichwani..
Wahudumu walikuwa malaikaHahaha, umemsoma tusker barid haha
Anakuambia walitokea juliana wakiwa njwii
Wakahamia lava lounge wahudumu wakawasihi wasiendele piga mtungi
Haha
Kweli ajali walijitakia
Ova
HahahaWatapew mvinyo kwanza kuondoa lock kabla ya hukumu
Walikuwa kwenye karamu ya mwishoUlimwengu wa roho una mambo mengi, angalia vifo vilivyoandaliwa kiulaiiiiini!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hamna mtu mbishi kama mlevi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Dah!!!,Bia tamu.Kinachohukumiwa ni matendo sio roho.. Hapo usikute hata roho zenyewe ziliushindwa mziki wao
Yaa!!!, najua ni joking tu.