Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
Kasoro mimiHamna mtu mbishi kama mlevi
Hakuna shida kwani muujiza wa kwanza wa Yesu alitengeneza nini mkuu?Kifo bila maumivu..bata mpaka dakika ya mwisho.. Wenyewe wala hawajui kama wamekufa.. Kimbembe ni huko kwa Sir God! Watasemje sasa wakifika wako tungi ndii na midomo inatoa puyapuya ya tusker baridi na kvant?[emoji24][emoji24][emoji24]
Hata hukumu yao itabidi iahirishwe pombe ziwaishe kichwani..
Bro Mshana huko si zinaenda tu roho zao?!!,Kifo bila maumivu..bata mpaka dakika ya mwisho.. Wenyewe wala hawajui kama wamekufa.. Kimbembe ni huko kwa Sir God! Watasemje sasa wakifika wako tungi ndii na midomo inatoa puyapuya ya tusker baridi na kvant?[emoji24][emoji24][emoji24]
Hata hukumu yao itabidi iahirishwe pombe ziwaishe kichwani..
Watano Wafariki kwa ajali Bunju B Usiku wa Jmosi wakitokea Juliana pub wakaja kumalizia huku njia ya Moga kuna baa inaitwa Lava Lounge wakanywa tena hadi saa 10 wahudumu Waliwasihi sana walivyolewa hivyo wkalale logde ya huko huko msiendeshe lakini hawakuwasikiliza, wakaondoka... ndio wakati wanaingia main bagamoyo road pale Lake Oil Lori la mchanga likawagonga walikua 6 mmoja ni majeruhi.
Picha hazikuruhusiwa kupigwa?Watano Wafariki kwa ajali Bunju B Usiku wa Jmosi wakitokea Juliana pub wakaja kumalizia huku njia ya Moga kuna baa inaitwa Lava Lounge wakanywa tena hadi saa 10 wahudumu Waliwasihi sana walivyolewa hivyo wkalale logde ya huko huko msiendeshe lakini hawakuwasikiliza, wakaondoka... ndio wakati wanaingia main bagamoyo road pale Lake Oil Lori la mchanga likawagonga walikua 6 mmoja ni majeruhi.
Wamekufa kwa raha zao.Watano Wafariki kwa ajali Bunju B Usiku wa Jmosi wakitokea Juliana pub wakaja kumalizia huku njia ya Moga kuna baa inaitwa Lava Lounge wakanywa tena hadi saa 10 wahudumu Waliwasihi sana walivyolewa hivyo wkalale logde ya huko huko msiendeshe lakini hawakuwasikiliza, wakaondoka... ndio wakati wanaingia main bagamoyo road pale Lake Oil Lori la mchanga likawagonga walikua 6 mmoja ni majeruhi.
Just imagine ndugu yako angekuwa miongoni mwao ...tuwe na huruma jamaniWamekufa kwa raha zao.
Saa hizi wana hangover mbinguni.
RIP.
Kifo bila maumivu..bata mpaka dakika ya mwisho.. Wenyewe wala hawajui kama wamekufa.. Kimbembe ni huko kwa Sir God! Watasemje sasa wakifika wako tungi ndii na midomo inatoa puyapuya ya tusker baridi na kvant?[emoji24][emoji24][emoji24]
Hata hukumu yao itabidi iahirishwe pombe ziwaishe kichwani..
Siyo wote watakaofufuliwa, ni baadhi tu wenye bahatimtu atafufuliwa katika hali aliyokufia
Mvinyo bora..![emoji23] hawa wamepiga vyenye kimea kisha wakafanya featuring na ngumu kumesa.. Hata ibilisi mwenyewe kawaogopa.. Watu wanakula munde mpaka mida ya wanga..[emoji31]Hakuna shida kwani muujiza wa kwanza wa Yesu alitengeneza nini mkuu?
Kinachohukumiwa ni matendo sio roho.. Hapo usikute hata roho zenyewe ziliushindwa mziki waoBro Mshana huko si zinaenda tu roho zao?!!,Mwili unabaki na tunauzika na harufu yake ya pombe.