Watano wafariki kwa ajali Bunju B usiku wa Jumamosi 26 Machi, 2022. Walikuwa wakitokea kwenye starehe

Huyu wa kwanza kushoto sura inakuja kama kijana alikulia mwenge nyuma ya TRA kwenye zile kota.

Hayo maeneo ya Bunju beach njia ya kwenda moga kuna baa moja iko kama parking ya magari kuna mtaaalamu wa kucoma nyama hapo huwa panajaa siku za wikiendi utafikiri Loliondo sinza.

Rip wote mungu awape stahili yao peponi. Punguzeni ulevi na kusafiri na magari usiku. Wazee wa zamani huwa hawanywi mbali na nyumbani akimaloza anatembea anarudi kwake. From Bunju to Juliana ni mbali sana.

Huwa nashangaa watu wanatoka ilala wanakuja kulewa Kidimbwi, Segerea wanakuja kidimbwi nadhani kuna ushamba pia ndani yake.

Mnywaji unatakiwa mtaani kwako hapohapo dukani kwa mangi unamilza kiu yako unarudi nyumbani kwako salama.
 
Wafe tuu hao, endeleeni kulaumu Samia na polisi.
 
Sheikh Kipozeo na munde..!

Your browser is not able to display this video.
 
zama zimebadilika sana.

Sasa hivi kosa lako faida kwa wengine.

Hivi muuza majeneza anaweza kupokea hizi taarifa kwa masikitiko ?

 
Mlipaswa kuchapwa viboko vya matako.
Mimi ningekua askari siku hiyo mngejuta pombe zingewaishia mapema tu.
 
Aisee wakatudaka fasta, wanacheki ndani ya gari wanakuta pombe kibao wote tuko pombe mbaya, wakatuchukua kwanza wakaenda kutulaza lock up.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…