Watanzania 38 waukana uraia wa Tanzania

Mkuu nchi hii ina mambo, kuna foreigners kibao wanajulikana kuwa foreigners wana passport na Nida kabisa. Hapa pesa ndo kila kitu
Haha ni kweli harafu ukienda wewe mzawa unaulizwa maswali na kuongeleshwa hadi kiĺugha chenu sasa kama umekulia town sijuwi inakuwaje
 
Unaukana utanzania halafu unakuwa Mkenya? 😁.
 

Hadi mtu anaukana uraia ujue ana sababu za msingi...let them be!
 
Habari zaidi angalia kiambatanisho

View attachment 2215523

Kati ya Julai 2021 hadi Machi 2022 wageni 85 kutoka mataifa yafuatayo walipewa uraia wa Tanzania;

India- 44
Kenya- 9
Lebanon- 6
Yemen- 4
Uganda- 3
Rwanda- 3
Burundi- 2
Hispania- 2
Pakistani- 2
Somalia- 2
Zimbabwe- 2
Brazil- 1
DRC- 1
Guinea- 1
Sudani- 1
Ufaransa- 1
Uingereza- 1
 
Acha Waende Tu Hakuna Namna

Kati ya Julai 2021 hadi Machi 2022 wageni 85 kutoka mataifa yafuatayo walipewa uraia wa Tanzania;

India- 44
Kenya- 9
Lebanon- 6
Yemen- 4
Uganda- 3
Rwanda- 3
Burundi- 2
Hispania- 2
Pakistani- 2
Somalia- 2
Zimbabwe- 2
Brazil- 1
DRC- 1
Guinea- 1
Sudani- 1
Ufaransa- 1
Uingereza- 1
 
HV mabala the farmer nae s aliukana uraia wa uingereza na mpk sas Ni Rai wa tz kwa mujibu wa ktib yetu

Kati ya Julai 2021 hadi Machi 2022 wageni 85 kutoka mataifa yafuatayo walipewa uraia wa Tanzania;

India- 44
Kenya- 9
Lebanon- 6
Yemen- 4
Uganda- 3
Rwanda- 3
Burundi- 2
Hispania- 2
Pakistani- 2
Somalia- 2
Zimbabwe- 2
Brazil- 1
DRC- 1
Guinea- 1
Sudani- 1
Ufaransa- 1
Uingereza- 1
 
Kungekuwa na option ya uraia pacha wala wasingeukana.

Kuukana uraia, ni maneno matupu ya kisheria ili upate huduma kama elimu, afya, kazi nzuri, nafadi za juu, uwezo wa kusafiri popote.

Bado una ndugu zako TZ, Baba, Mama, Babu, Bibi, Ukoo, ndipo ulipozaliwa. Moyo wako, upo pale.

Suluhisho ni Uraia pacha.
 
Na bado watahama wengi mno maana hapa hakuna kinachoeleweka

Tunawasindikiza tu walamba asali na familia zao.

Kila mara wanatutisha mara ooh nchi yetu ooh chama chetu.

Taratiibu watu wanajikataa namna hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…