Lakini Sasa kwa nchi yetu ni biashara ngapi zenye hii threshold? Biashara nyingi zinavuka ila Bado zinaficha mapato yao. Kwa mfano kampuni nyingi za utalii Zina account nje ya nchi za kupokea fedha za booking. Tanzania mtalii anakuja kulala tu. Then wataweka expenses zote kwenye accounts za Tanzania na mapato yote kwenye accounts za nje.
Kila siku watataka vitu viboroshwe lakini kuchangia hatutaki. Kwa kweli nawavulia kofia wazungu. Hawa wanadeclare mapato yao yote na kulipa kodi stahiki lakini wanaiadibisha serikali ikiwa itakosea mahali popote pale. Accountability waliyonayo wanahaki ya kuwa na Uhuru walionao. Kwetu Bado sana kwenye suala la accountability, integrity na proffesionalism. Hatuna kabisa sio kwa wamiliki wa kampuni, serikali wala wananchi wa kawaida.