Hayajui maadili ya uchaguzi.wayajua maadili ya uchaguzi.weye?? acha kutetea usilolijua
Hahaha hata huko ACT bado ni ccm tu.Benard Membe ni mwanaccm aliyepoa makali, ila damu yake yote ina uccm, akili yake inawaza ccm.
Ulaghai wa kiwango cha CCM ni hatari kwa nchi.Hahaha hata huko ACT bado ni ccm tu.
Huoni ma ccm waliitwa ikulu, Lipumba, Mbatia na Maalim Seif, Chadema hawakuitwa?!
Waacheni ccm wajitakase na sheria zao, nje ya ccm hatutambui.
Hahaha kuna kitabu?! Najua ni jina la kienyeji la mti fulani kule Musoma.Hivi ni kitabu gani kinazungumzia mti wa "imburumatale" vile?
Aliwatumbua walioenda kugombea yeye akajisahau naye ni mgombea, akawaacha Waziri Mpango, na Ndalichako pia.Ulaghai wa kiwango cha CCM ni hatari kwa nchi.
Kanuni zao, sio za nchi.
Kwa nini wasishindane kwa haki?!
Madikteta hupendelea kutawala kila kitu; watu na siasa zao, imani zao, sanaa zao na michezo yao, uchumi wao, historia yao - vyote. Akishafanikiwa, hayo yote yanakuwa kama kitu kimoja chini ya milki yake. Na siku ya anguko lake, hayo yote yamevurugika...jamii inaanza upya.Ulaghai wa kiwango cha CCM ni hatari kwa nchi.
Kanuni zao, sio za nchi.
Kwa nini wasishindane kwa haki?!
GoodHabari wana JF,
Naomba niwaelimishe, CCM wana utaratibu wao wa siasa. Ndio walijiwekea kitu kinaitwa, "kuanza kampeni kabla ya wkt" huko kwao.
Hakuna popote hicho kitu ktk sheria za nchi ya Tanzania, wala haipo ktk kanuni za uchaguzi mkuu za nchi yetu.
Sasa kanuni za CCM nani anataka kulazimisha ziwe eti ndio za nchi?!
Hizo ni kanuni za Chama chenu, ndio hizo hizo mlitumia kumkata Lowassa huko mwaka 2015, pamoja na mambo mengine. Hizo ni za CCM, sio za nchi.
CCM ndio huwa mnatuhumiana mambo ya kampeni kabla ya muda.
Acheni kutuharibia nchi kwa kanuni zisizokuwepo.
Nashangaa watu wanashadadia tu.
Membe nae anajisemea eti katafuta wadhamini kimya kimya kuepuka kuvunja kanuni. Zipi?
Yani B. Membe bado anawaza kanuni za CCM kichwani mwake?
Kweli nimeamini ni ngumu sana mtu kusahau asili yake.
Membe, Magufuli na wenzako kajisomeeni tena, hiyo ni sheria yenu kwenye makabrasha ya CCM; haipo ktk sheria za nchi.
Full stop
Tofautisheni nchi na CCM.
Ina maana madikteta wanatabia za kumiliki hadi watu?Madikteta hupendelea kutawala kila kitu; watu na siasa zao, imani zao, sanaa zao na michezo yao, uchumi wao, historia yao - vyote. Akishafanikiwa, hayo yote yanakuwa kama kitu kimoja chini ya milki yake. Na siku ya anguko lake, hayo yote yamevurugika...jamii inaanza upya.
Uchaguzi upi. Wa CCM au wa Nchi?ni maana ya Uchaguzi??
PolepoleIna maana madikteta wanatabia za kumiliki hadi watu?
WanCcm sijui degree zao walizipataje aiseeHabari wana JF,
Naomba niwaelimishe, CCM wana utaratibu wao wa siasa. Ndio walijiwekea kitu kinaitwa, "kuanza kampeni kabla ya wkt" huko kwao.
Hakuna popote hicho kitu ktk sheria za nchi ya Tanzania, wala haipo ktk kanuni za uchaguzi mkuu za nchi yetu.
Sasa kanuni za CCM nani anataka kulazimisha ziwe eti ndio za nchi?!
Hizo ni kanuni za Chama chenu, ndio hizo hizo mlitumia kumkata Lowassa huko mwaka 2015, pamoja na mambo mengine. Hizo ni za CCM, sio za nchi.
CCM ndio huwa mnatuhumiana mambo ya kampeni kabla ya muda.
Acheni kutuharibia nchi kwa kanuni zisizokuwepo.
Nashangaa watu wanashadadia tu.
Membe nae anajisemea eti katafuta wadhamini kimya kimya kuepuka kuvunja kanuni. Zipi?
Yani B. Membe bado anawaza kanuni za CCM kichwani mwake?
Kweli nimeamini ni ngumu sana mtu kusahau asili yake.
Membe, Magufuli na wenzako kajisomeeni tena, hiyo ni sheria yenu kwenye makabrasha ya CCM; haipo ktk sheria za nchi.
Full stop
Tofautisheni nchi na CCM.
Asante kwa kutuelimishaHabari wana JF,

Majina yanakuwa na maana ChikakaHahaha kuna kitabu?! Najua ni jina la kienyeji la mti fulani kule Musoma.
HujaelewekaHabari wana JF,
Naomba niwaelimishe, CCM wana utaratibu wao wa siasa. Ndio walijiwekea kitu kinaitwa, "kuanza kampeni kabla ya wkt" huko kwao.
Hakuna popote hicho kitu ktk sheria za nchi ya Tanzania, wala haipo ktk kanuni za uchaguzi mkuu za nchi yetu.
Sasa kanuni za CCM nani anataka kulazimisha ziwe eti ndio za nchi?!
Hizo ni kanuni za Chama chenu, ndio hizo hizo mlitumia kumkata Lowassa huko mwaka 2015, pamoja na mambo mengine. Hizo ni za CCM, sio za nchi.
CCM ndio huwa mnatuhumiana mambo ya kampeni kabla ya muda.
Acheni kutuharibia nchi kwa kanuni zisizokuwepo.
Nashangaa watu wanashadadia tu.
Membe nae anajisemea eti katafuta wadhamini kimya kimya kuepuka kuvunja kanuni. Zipi?
Yani B. Membe bado anawaza kanuni za CCM kichwani mwake?
Kweli nimeamini ni ngumu sana mtu kusahau asili yake.
Membe, Magufuli na wenzako kajisomeeni tena, hiyo ni sheria yenu kwenye makabrasha ya CCM; haipo ktk sheria za nchi.
Full stop
Tofautisheni nchi na CCM.
Kiongozi hata mimi siyajui hayo maadili ya uchaguzi. Naomba tafadhali yaweke hapa ili tuone yanasemaje.wayajua maadili ya uchaguzi.weye?? acha kutetea usilolijua