Uchaguzi 2020 Watanzania eleweni: Kuanza kampeni kabla ya wakati ni kanuni ndani ya CCM tu; haipo popote katika Sheria za Tanzania, wala katika Kanuni za Uchaguzi

Hahaha hata huko ACT bado ni ccm tu.

Huoni ma ccm waliitwa ikulu, Lipumba, Mbatia na Maalim Seif, Chadema hawakuitwa?!

Waacheni ccm wajitakase na sheria zao, nje ya ccm hatutambui.
Ulaghai wa kiwango cha CCM ni hatari kwa nchi.
Kanuni zao, sio za nchi.

Kwa nini wasishindane kwa haki?!
 
Aliwatumbua walioenda kugombea yeye akajisahau naye ni mgombea, akawaacha Waziri Mpango, na Ndalichako pia.

Angejitumbua kabla hajaenda kuchukua form ningemsifu.

Amezoea kutisha mkewe na wanaye hivyo akadhani watanzania nao ni familia yake.
 
Ulaghai wa kiwango cha CCM ni hatari kwa nchi.
Kanuni zao, sio za nchi.

Kwa nini wasishindane kwa haki?!
Madikteta hupendelea kutawala kila kitu; watu na siasa zao, imani zao, sanaa zao na michezo yao, uchumi wao, historia yao - vyote. Akishafanikiwa, hayo yote yanakuwa kama kitu kimoja chini ya milki yake. Na siku ya anguko lake, hayo yote yamevurugika...jamii inaanza upya.
 
Habari wana JF,

Naomba niwaelimishe, CCM wana utaratibu wao wa siasa. Ndio walijiwekea kitu kinaitwa, "kuanza kampeni kabla ya wkt" huko kwao.

Hakuna popote hicho kitu ktk sheria za nchi ya Tanzania, wala haipo ktk kanuni za uchaguzi mkuu za nchi yetu.

Sasa kanuni za CCM nani anataka kulazimisha ziwe eti ndio za nchi?!

Hizo ni kanuni za Chama chenu, ndio hizo hizo mlitumia kumkata Lowassa huko mwaka 2015, pamoja na mambo mengine. Hizo ni za CCM, sio za nchi.

CCM ndio huwa mnatuhumiana mambo ya kampeni kabla ya muda.
Acheni kutuharibia nchi kwa kanuni zisizokuwepo.

Nashangaa watu wanashadadia tu.
Membe nae anajisemea eti katafuta wadhamini kimya kimya kuepuka kuvunja kanuni. Zipi?
Yani B. Membe bado anawaza kanuni za CCM kichwani mwake?
Kweli nimeamini ni ngumu sana mtu kusahau asili yake.

Membe, Magufuli na wenzako kajisomeeni tena, hiyo ni sheria yenu kwenye makabrasha ya CCM; haipo ktk sheria za nchi.

Full stop

Tofautisheni nchi na CCM.
Good
 
Ina maana madikteta wanatabia za kumiliki hadi watu?
 
WanCcm sijui degree zao walizipataje aisee
 
CCM ndio watakuwa wa kwanza kuharibu nchi yetu na kutuvuruga.

Wanalazimishaje kanuni Zao za ndani ndio ziwe za nchi.?!

Ajabu sana.
 
Habari wana JF,

Naomba niwaelimishe, CCM wana utaratibu wao wa siasa. Ndio walijiwekea kitu kinaitwa, "kuanza kampeni kabla ya wkt" huko kwao.

Hakuna popote hicho kitu ktk sheria za nchi ya Tanzania, wala haipo ktk kanuni za uchaguzi mkuu za nchi yetu.

Sasa kanuni za CCM nani anataka kulazimisha ziwe eti ndio za nchi?!

Hizo ni kanuni za Chama chenu, ndio hizo hizo mlitumia kumkata Lowassa huko mwaka 2015, pamoja na mambo mengine. Hizo ni za CCM, sio za nchi.

CCM ndio huwa mnatuhumiana mambo ya kampeni kabla ya muda.
Acheni kutuharibia nchi kwa kanuni zisizokuwepo.

Nashangaa watu wanashadadia tu.
Membe nae anajisemea eti katafuta wadhamini kimya kimya kuepuka kuvunja kanuni. Zipi?
Yani B. Membe bado anawaza kanuni za CCM kichwani mwake?
Kweli nimeamini ni ngumu sana mtu kusahau asili yake.

Membe, Magufuli na wenzako kajisomeeni tena, hiyo ni sheria yenu kwenye makabrasha ya CCM; haipo ktk sheria za nchi.

Full stop

Tofautisheni nchi na CCM.
Asante kwa kutuelimisha
 
Hujaeleweka
Weka vifungu vya sheria na kanu I za nchi kuhusu uchaguzi ili tuamini, na za CCM pia tuzionee,
Sio kubwabwaja tu hapa jukwaani ili hali mtuaminishe kisichokuwepo ndani ya CCM,

Halafu mbona mnajihisi kukwata kila mara?nadhan kosa mshalifanya ndio kaaba mna haha saba,
Alafu iweje muse nyie tu mnaojihisi?
Na Sio akina Shibuda, Rungwe, Lipumba, Membe?
Wenzenu wanatafta wadhamini kiueledi zaidi Sio kujipishapitisha kutafta huruma za wananchi,
Nora mkatwe tu maana mna kera sana na majigambo yenu ya kupandikiza chuki bite? Hatuwataki kamwe
 
Back
Top Bottom