Membe ametamka hiyo Kauli kimkakati kabisa kutengenezs mazingira ya Lissu kukdtwa ionekane kavunja sheria , Membe ni walewale chui ndani ya ngozi ya Kondoo be aware.Habari wana JF,
Naomba niwaelimishe, CCM wana utaratibu wao wa siasa. Ndio walijiwekea kitu kinaitwa, "kuanza kampeni kabla ya wkt" huko kwao.
Hakuna popote hicho kitu ktk sheria za nchi ya Tanzania, wala haipo ktk kanuni za uchaguzi mkuu za nchi yetu.
Sasa kanuni za CCM nani anataka kulazimisha ziwe eti ndio za nchi?!
Hizo ni kanuni za Chama chenu, ndio hizo hizo mlitumia kumkata Lowassa huko mwaka 2015, pamoja na mambo mengine. Hizo ni za CCM, sio za nchi.
CCM ndio huwa mnatuhumiana mambo ya kampeni kabla ya muda.
Acheni kutuharibia nchi kwa kanuni zisizokuwepo.
Nashangaa watu wanashadadia tu.
Membe nae anajisemea eti katafuta wadhamini kimya kimya kuepuka kuvunja kanuni. Zipi?
Yani B. Membe bado anawaza kanuni za CCM kichwani mwake?
Kweli nimeamini ni ngumu sana mtu kusahau asili yake.
Membe, Magufuli na wenzako kajisomeeni tena, hiyo ni sheria yenu kwenye makabrasha ya CCM; haipo ktk sheria za nchi.
Full stop
Tofautisheni nchi na CCM.
Membe ana rangi nyingi za kijani.Membe ametamka hiyo Kauli kimkakati kabisa kutengenezs mazingira ya Lissu kukdtwa ionekane kavunja sheria , Membe ni walewale chui ndani ya ngozi ya Kondoo be aware.
Speaking behind the keyboard. Baadaye tukisema tutoke hauonekani [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakatwi mtu yeyote wa upinzani kwa figisu za CCM/NEC ,wakijaribu ndio utakuwa mwisho wa CCM kabla ya tar 28 OCt maana NTITI wake utakuwa mara 100 na nusu.
Una umwa kifaduro wewe nyonyowayajua maadili ya uchaguzi.weye?? acha kutetea usilolijua
Speaking behind the keyboard. Baadaye tukisema tutoke hauonekani [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mamamdogo mimi siumwi muulize hata baba mdogo atakwambia, usiogope mama siumwiUna umwa kifaduro wewe nyonyo
sawa ila kwanini unatiwa na wewe unapenda tu kutiwa hivyohivyo ujingaNenda kwa maweye wenzako huko ,huku ni kwa wanaume
acha kuzungukwa nyuma kwanza huenda ukatengemaa tenaMapovu hayatazuia anguko la ccm
sio lisu kwa kukatalia risasi isitoleweMaadili aliyakiuka Jiwe, kwa kununua JOGOO KWA LAKI MOJA.
tueleze wewe unayafahamu vipiwayajua maadili ya uchaguzi.weye?? acha kutetea usilolijua
Hujaona ya Tunduma Jana??? Mwaka huu mkibeep tunapiga.Speaking behind the keyboard. Baadaye tukisema tutoke hauonekani [emoji23] [emoji23] [emoji23]
usimpe mbwa chakula cha watotoHayajui maadili ya uchaguzi.
Sasa embu msaidie Hayo maadili ya uchaguzi weye
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
ni kichaa tu anayeweza kumpa mbwa chakula.cha watoto,tueleze wewe unayafahamu vipi