Naikumbuka ile sauti inaanza kwa kusema, "Islamabad, watu zaidi ya arobaini ..... ". Zile enzi za Dochi Vele zilikua nzuri sana.
Msosi wa mchana ukawa unaitwa dochi vele kule kijijini kwetu, kwasababu mida hiyo kila nyumba yenye redio utakuta wanamsikilizi Oumillkheir.