WATANZANIA ELITES: Kabla ya kuja kwa internet, mgogoro wa Middle East mlipataje habari zake??

WATANZANIA ELITES: Kabla ya kuja kwa internet, mgogoro wa Middle East mlipataje habari zake??

Naikumbuka ile sauti inaanza kwa kusema, "Islamabad, watu zaidi ya arobaini ..... ". Zile enzi za Dochi Vele zilikua nzuri sana.

Msosi wa mchana ukawa unaitwa dochi vele kule kijijini kwetu, kwasababu mida hiyo kila nyumba yenye redio utakuta wanamsikilizi Oumillkheir.
Enzi ya Kina Yasser Arafat
 
Watanzania wenzangu elites wa Masaki na Oyster Bay, mlikuwa mnapata wapi habari za mzozo wa Middle East wa Israel na Palestine kabla ya Internet kuingia Tanzania??

Nimeuliza hivyo kwa maana Masaki na Oyster Bay ndio wanapokaa Think Tanks za nchi na sijasema kwa lengo la kuwakejeli au kutengezea social class.

Yeyote atakayenifikiria vibaya, I'm sincerely sorry in advance.
Kila zama zilikuwa na njia ya kupata habari japo kutokana teknolojia zilikuja zikiwa zimechelewa ukilinganisha na sasa hv tukio unalipata live.zamani radio kupitia idhaa za kimataifa,magazeti ya ndani na nje,vitabu,cm za mezani e.t.c.
 
Back
Top Bottom