Watanzania fuatilieni kinachoendelea DRC. Hali kwa majirani zetu ni mbaya, ya hatari sana

Watanzania fuatilieni kinachoendelea DRC. Hali kwa majirani zetu ni mbaya, ya hatari sana

Tuombeeni tu. Hao wajinga tunawazunguka katikati kisha tuwape kibano.

Wengine wanaingilia upande wa Bukavu na baadhi tunawapelekea moto kuanzia huu upande wa Goma.

Na wakileta ujinga tunaingia hadi Gisenyi kwake na anayewapa kiburi.
Tunawaombea sana Mkuu. Hao wapuuzi wapeni dozi nene warudi kwa fidodido anayewatuma.
 
Ni wazi sasa tunapigana VITA na huyu Nyoka aliye pembeni na sisi!!!

LIVE UPDATES:

Tumewafyeka n sasa wakimbia kumapori na Goma ipo salama kabisa .BM masàa 7 bila kupumzika zimefanya kazi nzuri huku ni mizoga tu ikipigwa n mvua ....salamu mpaka Kigali
 
Back
Top Bottom