Watanzania fuatilieni kinachoendelea DRC. Hali kwa majirani zetu ni mbaya, ya hatari sana

MmammmAee tumfyeeke tu mpaka kwake hawezi kuuwa wakina mama na watoto wasio na Hatia .....This time TUMFUNDISHE NAMNA Y kuwa BINADAMU .....No No No imetosha!!!
Mkuu unataka kusema uko site mpk muda huu, au unamfyeka Kwa njia ya keyboard?
 
Nimetoka hapo peacekeeper lakin withn few days nitalud tena hali inatia simanzi sana

Lakin wananch wanaish kwa iman kubwa na peacekeeping.......Za UN,Sadic,monusco

Lakin kwa mikakati hawatoweza ikamata kivu yote .......
 
Kama wewe ni kiongozi na mjinga, ni balaa kabisa. Ni mbaya zaidi, hata hatari zaidi, ikiwa watu walewale walioshikilia mamlaka mikononi mwao wataamua kuwa watatumiwa na kuchezewa kwa maslahi fulani na wajinga,โ€ alisema Rais Kagame.
 
WAZO ZURI CHISEKEDI ATUPE MATRANKA YA DHAHABU KAMA 20 HIVI KILA MWAKA. TUMSAIDIE KUWEKA KAMBI HATA NNE HAPO ESTERN CONGO!!!

CHISEKEDI INABIDI AKUBALI JW WAFUMUE JESHI LA CONGO WALISUKE UPYA HAPO NDO KUTAKUWA NA NIDHAMU.

ILA KWA KUMALIZIA KAMA VIPI WAJIUNGE NA TZ KAMA WAZANZIBARI TUPATE (TZC) LINCHI LA MAZIWA NA ASALI๐Ÿค—๐Ÿค—๐Ÿค—
 
Blood money,
Nashauri drone zitumike zaidi.
Sasa hivi MONUSCO na FLDR INTERAHAMWE SADC na Jeshi la DRC wanapigana bega kwa bega ili kuwarudisha Rwanda Raia wa Wakongo wenye asili ya Kitutsi.

Halafu kuna watu wanailaumu Rwanda.
 
Fake news!!
 
Sasa hivi MONUSCO na FLDR INTERAHAMWE SADC na Jeshi la DRC wanapigana bega kwa bega ili kuwarudisha Rwanda Raia wa Wakongo wenye asili ya Kitutsi.

Halafu kuna watu wanailaumu Rwanda.
Rwanda hausiki na kinacho endelea kongo
 
Nimetoka hapo peacekeeper lakin withn few days nitalud tena hali inatia simanzi sana

Lakin wananch wanaish kwa iman kubwa na peacekeeping.......Za UN,Sadic,monusco

Lakin kwa mikakati hawatoweza ikamata kivu yote .......
Shida hapo ni Nan sasa kagame , wazungu au wakongo wenyewe
 
Tujuze mkuu si muingie mpaka kaikulu kake ka hapo kigali. Napo mumtembezee fyekeeo mwanzo mwisho
 
Uzuri na sisi vita tunaijua vyedi acha kututisha akiambiwa na JK atukie la sivyo kamkoa hako tunakachukua akatulia shwaaaa
 
Mnavomsifiaga huyo PK kama Mungu Kumbe ushubwada tu.
Siku moja ajaribu kuichokoza Tanzania tumuoneshe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ