Watanzania hatuna shukrani Mungu atusamehe kwa huu ujinga tunaofanya

Baada ya Hayati Rais JPM (R.I.P) watanzania waliopoteza mkate kipndi chake wameanza kutema nyongo, wengine wamefikia mahali na kusema kilichofanyika likuwa ni wizi. hivi kweli ndugu zangu watanzania kuna wakati nchi ilipigwa mchana km kipindi cha awamu ya 4? kuna kashfa ngapi ziliingiza nchi mpaka waziri mkuu Lowassa kuwajibika? tunakumbuka ufisadi wa RICHMOND, KAGODA, MEREMETA, MIKATABA YA MADINI, escrow account, tegeta escrow na nk.

Kuna watu wanahoji mikopo ya pesa nyingi kwa muda mfupi; hivi kuna ubaya gani ukikopa kufanya mambo makubwa kwa muda mfupi? au ni bora kukopa kidogo kwa muda mrefu? sijui watanzania tumerogwa na nani? siku moja nilikutuna na Prof mmoja bingwa wa mifupa akatuambia kuwa watanzania hatujui sekta ya afya ilivyokuwa taabani, lkn sasa vifaa tiba na wataalamu wamejaa, lkn aliongeza kuwa watanzania ni wapole sana. ni hiii kitu ndiyo inatufanya tuendelee kuwa maskini.

Tumesahau mambo makubwa aliyoifanyia nchi yetu tena kwa kipindi kifupi., mfano ni hii hapo chini.

HUDUMA ZA JAMII
  • Kutoka asilimia 47% iliyokuwepo mwaka 2016 hadi kufikia asilimia 69% katika kipindi cha mwaka 2019-2021.
  • Kumboreka kwa huduma ya maji kutoka asilimia 47% mwaka 2016 hadi kufikia asilimia 70.1%.
NISHATI na MADINI.
  • Kupungua kwa gharama za kuvuta umeme kutoka 470,000/= mpaka 20,000/=
  • Kufuta kabisa mgao wa umeme
  • Kuanzaishwa kwa masoko ya ndani ya madini, ikumbukwe kuwa ukikamatwa na madini yanataifishwa na kifungo juu wakati hapakuwa na soko la madini hayo.
  • Kupitiwa kwa mikataba ya ulaghai kwenye madini na gas na kupanda kwa mrahaba kutoka 3% mpaka 16%
ELIMU
  • Elimu ya bure kuanzia shule ya msingi hadi sekondari na kufuta michango
  • Kungozeka kwa wanaopata mikopo elimu ya juu
  • Ukarabati shule zote kongwe za sekondari nchini.
AFYA
  • Zahanati 1, 198
  • Vituo vya Afya 497
  • Hospitali za Wilaya ni 71
  • Vifaa tib ana mitambo mikubwa ikumbukwe hapo nyuma machine kubwa km MRI na CT SCAN zilikuwa muhimbili na Aka Khan.
  • Madakatari bingwa wote walihamia hospitali za watu binafsi.
MIUNDO MBINU
  • Fly overs
  • Bara bara kila kona ya nchi kama kule Ludewa, makete, Manyara, Kigoma, Tabora
  • Upanuzi wa bandari ya Dar es salaam.
MAAMZI MAGUMU:
  • kusimamia maamuzi ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ya kuhamia Dodoma
  • Ujenzi wa bwawa la umeme la Nyerere
  • Ujenzi wa mradi mkubwa wa reli SGR
  • Daraka kubwa la Busisi ziwa Victoria
  • Kufufua shIrike la ndege sasa lina ndege kubwa km Dreamliner, airbus
  • Mapambano ya wazi dhidi ya vitendo vya rushwa na ufisadi
  • Mapambano dhidi ya matumizi ya dawa za kulevya
Ebu wacha kurohoja ujinga watu wameuliza na wanataka kujua hiyo mikopo ilitumika inavyo paswa?

Inakuwaje mnaogopa kuchunguzwa kama siyo hofu ya kuumbuliwa kwa mliyo yafanya gizani?

Hakuna awamu iliyo kumbwa na ufisadi hapa tanzania zaidi ya awamu ya 5.
 
10 Nyerere + 10 Mwinyi + 10 Mkapa + 10 Kikwete + Samia = 5 Magufuli [emoji3]

This man was a Legend! Uthubutu mkubwa umefanyika katika awamu ya tano.Huyu mwamba ameweka standard ya uongozi/Urais unapaswa uweje.
Naona unateseka sana sijui uko mitaa gani?
 
Nakubaliana kabisa na wewe..inashangaza sana mtu kama Nape anabwabwaja tu....wakati wa awamu ya tano si alikuwa mbunge tena chama tawala na JPM akiwa mwenyekiti ...haya maswali angeuliza kipindi hicho ....Pamoja na JPM kukopa lakini kuna vitu tunaona na hilo lipo wazi....Yeye Nape so far amafanya nini kwa wapiga kura wake achilia mbali nchi...korosho tu haiwezi...
Apunguze mdomo....hana jipya
Wajinga ni wengi ukiwemo wewe
 
Baada ya Hayati Rais JPM (R.I.P) watanzania waliopoteza mkate kipndi chake wameanza kutema nyongo, wengine wamefikia mahali na kusema kilichofanyika likuwa ni wizi. hivi kweli ndugu zangu watanzania kuna wakati nchi ilipigwa mchana km kipindi cha awamu ya 4? kuna kashfa ngapi ziliingiza nchi mpaka waziri mkuu Lowassa kuwajibika? tunakumbuka ufisadi wa RICHMOND, KAGODA, MEREMETA, MIKATABA YA MADINI, escrow account, tegeta escrow na nk.

Kuna watu wanahoji mikopo ya pesa nyingi kwa muda mfupi; hivi kuna ubaya gani ukikopa kufanya mambo makubwa kwa muda mfupi? au ni bora kukopa kidogo kwa muda mrefu? sijui watanzania tumerogwa na nani? siku moja nilikutuna na Prof mmoja bingwa wa mifupa akatuambia kuwa watanzania hatujui sekta ya afya ilivyokuwa taabani, lkn sasa vifaa tiba na wataalamu wamejaa, lkn aliongeza kuwa watanzania ni wapole sana. ni hiii kitu ndiyo inatufanya tuendelee kuwa maskini.

Tumesahau mambo makubwa aliyoifanyia nchi yetu tena kwa kipindi kifupi., mfano ni hii hapo chini.

HUDUMA ZA JAMII
  • Kutoka asilimia 47% iliyokuwepo mwaka 2016 hadi kufikia asilimia 69% katika kipindi cha mwaka 2019-2021.
  • Kumboreka kwa huduma ya maji kutoka asilimia 47% mwaka 2016 hadi kufikia asilimia 70.1%.
NISHATI na MADINI.
  • Kupungua kwa gharama za kuvuta umeme kutoka 470,000/= mpaka 20,000/=
  • Kufuta kabisa mgao wa umeme
  • Kuanzaishwa kwa masoko ya ndani ya madini, ikumbukwe kuwa ukikamatwa na madini yanataifishwa na kifungo juu wakati hapakuwa na soko la madini hayo.
  • Kupitiwa kwa mikataba ya ulaghai kwenye madini na gas na kupanda kwa mrahaba kutoka 3% mpaka 16%
ELIMU
  • Elimu ya bure kuanzia shule ya msingi hadi sekondari na kufuta michango
  • Kungozeka kwa wanaopata mikopo elimu ya juu
  • Ukarabati shule zote kongwe za sekondari nchini.
AFYA
  • Zahanati 1, 198
  • Vituo vya Afya 497
  • Hospitali za Wilaya ni 71
  • Vifaa tib ana mitambo mikubwa ikumbukwe hapo nyuma machine kubwa km MRI na CT SCAN zilikuwa muhimbili na Aka Khan.
  • Madakatari bingwa wote walihamia hospitali za watu binafsi.
MIUNDO MBINU
  • Fly overs
  • Bara bara kila kona ya nchi kama kule Ludewa, makete, Manyara, Kigoma, Tabora
  • Upanuzi wa bandari ya Dar es salaam.
MAAMZI MAGUMU:
  • kusimamia maamuzi ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ya kuhamia Dodoma
  • Ujenzi wa bwawa la umeme la Nyerere
  • Ujenzi wa mradi mkubwa wa reli SGR
  • Daraka kubwa la Busisi ziwa Victoria
  • Kufufua shIrike la ndege sasa lina ndege kubwa km Dreamliner, airbus
  • Mapambano ya wazi dhidi ya vitendo vya rushwa na ufisadi
  • Mapambano dhidi ya matumizi ya dawa za kulevya
1.5 tr iko wapi?
 
Mwizi mzuri sana! Yaani mwizi anayeiba na kujenga miundombinu na kuleta maendeleo watamzania ndiyo tuloyemhitaji! Muuaji anayeua wanaotaka wajawazito wafie njiani wakielekea hospital kwa ubovu wa miundombinu kwa kuendekeza siasa uchwara wacha wauliwe tu! Sisi tulikubaliana na hilo! Au wanaoteseka na umasikini sio watu? Asiyependa kuona watu wakiishi vizuri aliwajengea miundombinu ya kisasa,akawapa elimu bure,maji,huduma bora za afya bila kusahau aliwapenda machinga! Kama asiyetenda haki alikuwa hivyo,Basi siai tulimpenda hivyo hivyo!
Jiwe ni kibaka kama vibaka wengine
 
Amewazuru watumishi wa umma hadi Leo.
 
Nakubaliana kabisa na wewe..inashangaza sana mtu kama Nape anabwabwaja tu....wakati wa awamu ya tano si alikuwa mbunge tena chama tawala na JPM akiwa mwenyekiti ...haya maswali angeuliza kipindi hicho ....Pamoja na JPM kukopa lakini kuna vitu tunaona na hilo lipo wazi....Yeye Nape so far amafanya nini kwa wapiga kura wake achilia mbali nchi...korosho tu haiwezi...
Apunguze mdomo....hana jipya
Watu kama kina nape ilikuwa wa kufutiwa uanachama muda sana. JK tu anamlea sababu huwa anamtumia. Nakumbuka mzee makamba akiwa katibu mkuu alimuambia nape umelaaniwa mbinguni na duniani, wakataka wamfute uanachama, kumuokoa na dhoruba JK akampa ukuu wa wilaya masasi ili kumlinda.

Lakini akiwa katibu muenezi walitaka wakizamishe chama shimoni. Ni figisufigisu zilizojaa aibu zikishuhudiwa na dunia nzima ndio ziliokoa hicho chama. Ni katika kipindi ambacho ye akiwa mwenezi chama kilipasuka vipande vipande waziwazi.

Ni katika kipindi chake ambacho wanaccm wakienda kwenye vikao walikuwa wanaficha sare wanaenda kuvalia ukumbini. Ilikuwa bora utembee uchi utakuwa salama zaidi kuliko hatari kuu ya kuvaa nguo za ccm.

Ila tumeshuhudia ndani ya miaka mitano namna nguo za ccm zilivyotengeneza ajira maeneo mbalimbali nchini. Hivi vitu kina Nape hawataki kuvisikia. Wao walizoea vya kunyonga.
 
Back
Top Bottom