Watanzania hatuna shukrani Mungu atusamehe kwa huu ujinga tunaofanya

Ebu wacha kurohoja ujinga watu wameuliza na wanataka kujua hiyo mikopo ilitumika inavyo paswa?

Inakuwaje mnaogopa kuchunguzwa kama siyo hofu ya kuumbuliwa kwa mliyo yafanya gizani?

Hakuna awamu iliyo kumbwa na ufisadi hapa tanzania zaidi ya awamu ya 5.
 
10 Nyerere + 10 Mwinyi + 10 Mkapa + 10 Kikwete + Samia = 5 Magufuli [emoji3]

This man was a Legend! Uthubutu mkubwa umefanyika katika awamu ya tano.Huyu mwamba ameweka standard ya uongozi/Urais unapaswa uweje.
Naona unateseka sana sijui uko mitaa gani?
 
Wajinga ni wengi ukiwemo wewe
 
1.5 tr iko wapi?
 
Jiwe ni kibaka kama vibaka wengine
 
Amewazuru watumishi wa umma hadi Leo.
 
Watu kama kina nape ilikuwa wa kufutiwa uanachama muda sana. JK tu anamlea sababu huwa anamtumia. Nakumbuka mzee makamba akiwa katibu mkuu alimuambia nape umelaaniwa mbinguni na duniani, wakataka wamfute uanachama, kumuokoa na dhoruba JK akampa ukuu wa wilaya masasi ili kumlinda.

Lakini akiwa katibu muenezi walitaka wakizamishe chama shimoni. Ni figisufigisu zilizojaa aibu zikishuhudiwa na dunia nzima ndio ziliokoa hicho chama. Ni katika kipindi ambacho ye akiwa mwenezi chama kilipasuka vipande vipande waziwazi.

Ni katika kipindi chake ambacho wanaccm wakienda kwenye vikao walikuwa wanaficha sare wanaenda kuvalia ukumbini. Ilikuwa bora utembee uchi utakuwa salama zaidi kuliko hatari kuu ya kuvaa nguo za ccm.

Ila tumeshuhudia ndani ya miaka mitano namna nguo za ccm zilivyotengeneza ajira maeneo mbalimbali nchini. Hivi vitu kina Nape hawataki kuvisikia. Wao walizoea vya kunyonga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…