Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Mwizi anayejali watu wa hali ya chini ndie tunamtaka sio mwizi wa kuneemesha waliokwisha shiba tayariPole suma gang magufuli alikuwa mwizi tu kama wezi wenzie ndani ya ccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwizi anayejali watu wa hali ya chini ndie tunamtaka sio mwizi wa kuneemesha waliokwisha shiba tayariPole suma gang magufuli alikuwa mwizi tu kama wezi wenzie ndani ya ccm
Hao ni wajinga wachache.Waliiba kwa akili mbona waligawana hela za kifisadi kwenye magunia mchana kweupe! Ile ilikuwa akili au matope? Kisha kukana hela sio za serikali!
Magufuli hakuwahi kujali watu, hata watu walionenepa tu aliwaonea wivu, wanaoishi mjini aliwaonea wivi, yaani roho mbaya kila sehemu.Mwizi anayejali watu wa hali ya chini ndie tunamtaka sio mwizi wa kuneemesha waliokwisha shiba tayari
Hakuna watu wanachosha kama Watanzania, wengi akili ziko makalioni hata kama wameenda shule. Wameibuka mabingwa wa kumkosoa JPM tena wengine ni Warundi (Jenerali Ulimwengu) waliopewa uraia wa Tanzania, kama wangeona kuna uonevu si wangerudi kwao Burundi ambako kuna demokrasia wakatuachia nchi yetu isiyo na demokrasiaBaada ya Hayati Rais JPM (R.I.P) watanzania waliopoteza mkate kipndi chake wameanza kutema nyongo, wengine wamefikia mahali na kusema kilichofanyika likuwa ni wizi. hivi kweli ndugu zangu watanzania kuna wakati nchi ilipigwa mchana km kipindi cha awamu ya 4? kuna kashfa ngapi ziliingiza nchi mpaka waziri mkuu Lowassa kuwajibika? tunakumbuka ufisadi wa RICHMOND, KAGODA, MEREMETA, MIKATABA YA MADINI, escrow account, tegeta escrow na nk.
Kuna watu wanahoji mikopo ya pesa nyingi kwa muda mfupi; hivi kuna ubaya gani ukikopa kufanya mambo makubwa kwa muda mfupi? au ni bora kukopa kidogo kwa muda mrefu? sijui watanzania tumerogwa na nani? siku moja nilikutuna na Prof mmoja bingwa wa mifupa akatuambia kuwa watanzania hatujui sekta ya afya ilivyokuwa taabani, lkn sasa vifaa tiba na wataalamu wamejaa, lkn aliongeza kuwa watanzania ni wapole sana. ni hiii kitu ndiyo inatufanya tuendelee kuwa maskini.
Tumesahau mambo makubwa aliyoifanyia nchi yetu tena kwa kipindi kifupi., mfano ni hii hapo chini.
HUDUMA ZA JAMII
NISHATI na MADINI.
- Kutoka asilimia 47% iliyokuwepo mwaka 2016 hadi kufikia asilimia 69% katika kipindi cha mwaka 2019-2021.
- Kumboreka kwa huduma ya maji kutoka asilimia 47% mwaka 2016 hadi kufikia asilimia 70.1%.
- Kupungua kwa gharama za kuvuta umeme kutoka 470,000/= mpaka 20,000/=
- Kufuta kabisa mgao wa umeme
- Kuanzaishwa kwa masoko ya ndani ya madini, ikumbukwe kuwa ukikamatwa na madini yanataifishwa na kifungo juu wakati hapakuwa na soko la madini hayo.
- Kupitiwa kwa mikataba ya ulaghai kwenye madini na gas na kupanda kwa mrahaba kutoka 3% mpaka 16%
ELIMU
- Elimu ya bure kuanzia shule ya msingi hadi sekondari na kufuta michango
- Kungozeka kwa wanaopata mikopo elimu ya juu
- Ukarabati shule zote kongwe za sekondari nchini.
AFYA
- Zahanati 1, 198
- Vituo vya Afya 497
- Hospitali za Wilaya ni 71
- Vifaa tib ana mitambo mikubwa ikumbukwe hapo nyuma machine kubwa km MRI na CT SCAN zilikuwa muhimbili na Aka Khan.
- Madakatari bingwa wote walihamia hospitali za watu binafsi.
MIUNDO MBINU
- Fly overs
- Bara bara kila kona ya nchi kama kule Ludewa, makete, Manyara, Kigoma, Tabora
- Upanuzi wa bandari ya Dar es salaam.
MAAMZI MAGUMU:
- kusimamia maamuzi ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ya kuhamia Dodoma
- Ujenzi wa bwawa la umeme la Nyerere
- Ujenzi wa mradi mkubwa wa reli SGR
- Daraka kubwa la Busisi ziwa Victoria
- Kufufua shIrike la ndege sasa lina ndege kubwa km Dreamliner, airbus
- Mapambano ya wazi dhidi ya vitendo vya rushwa na ufisadi
- Mapambano dhidi ya matumizi ya dawa za kulevya
JPM aliogopwa hivyo taasisi za habari zikawa sehemu ya waoga. Ni ngumu kuweka data kamili mahali ambapo kazi inafanyika kwa uoga.Weka data zenye ithibati wacha kuhorojoka kama mlevi wa mapombe ya kienyeji.
Sema hii nchi tunatiana sana ujnga sana sana hawa wenye nafuu ,mtu anaongea tu huduma za afya bora wahudumu wa wamejaa mara umeme elf 20 mara hiki utazan amezunguka nchi nzima kujua ayo ,kusema ukwel ktk nchi viongoz wote walijitaid kujenga majengo ya hospital ,vituo vya afya na zanahat ila kwa majumuisho ya vifaa tiba pamoja na watumish bado achana na madawa na ata hao waliokuwepo wengi kaz yao kukuamisha tu usipokua na chochote ktu hospital zetu hutoboi ,uko ktk umeme meng ni maandish tu umeme ni 20 sasa ww kuwa na iyo 20 yako tegemea umeme,ukirud ktk maj ndo balaa unashangaa mji au kijiji kuna mtu kachimba maj yake kwa milion 2 lkn kila siku maj anachota ila aya ya umma sasa ni mirad ya mabilion ila kila cku shida mara pump mbovu mara tangi limezibuka mara kina kimepungua mara mgao wik mara moja au mbil ,njoo uku ktk vyakula ndio usiseme msimu wa mafuno utazan msimu wa kulima msimu wa kulima ni vile vile kiufup maisha ya mtanzania nafuu ni ya makaratas na wenye hali zao kiualisia hayapo kimatumain kiivyo aya mambo ya kujenga barabara madaraja mabwawa ya umeme na mengine haiwez kuwa sifa moja wapo ya mtu kuwa bora sana kwa sababu kila kiongoz alifanya kwa wakat wake na kwa utashi wake rahisi gan hakujenga barabaran au madaraja au hospital tukianza kusema uyu alifanya iki uyu alinunua ndege kuna mwngine aliajil sana uyu alijenga bwawa la nyerere tukumbuke kuna mwngne alijenga nyumba ya mungu kidatu ,mtera na mengne tukisema uyu amejenga sgr kuna mwingne amejenga barabaran kutoka kibit ,mingoyo mpaka mtamba swala kutoka mangaka mpaka songea na sehem nyngne hawa wote viongoz na sifa ya viongoz ufanye vtu ndio maana uliomba kuongoza watu sasa kuanza kuchagua au kumpa mtu sifa kwa kufanya wajbu wake naona sio sawa cha msing ni kuangalia pamoja na yote je kuna matumain kwa wote au ndio bora liende na wanufaika wachacheHizo data zote unazoleta sasa mi feki.. maana marehemu Jiwe alikuwa bingwa wa kutunga data za uongo. Alitunga data za idadi ya samaki eti wapo Bilioni 6 baharini, kwenye maziwa na mito yote, alisema uchumi unakua kwa 7%, wakati ni uongo upo 4.8, alisema ATCL inatoa gawio la faida wakati ni uongo, alisema nchi Ina viwanda 68,000... yaani ni uongo uongo mtupu!! Hivyo hizo data zako zote ni takataka [emoji706][emoji706][emoji706]
Uthubutu ni kitu gani mukuu? Rais hatakiwi kuthubutu,Rais yampasa kutenda.10 Nyerere + 10 Mwinyi + 10 Mkapa + 10 Kikwete + Samia = 5 Magufuli [emoji3]
This man was a Legend! Uthubutu mkubwa umefanyika katika awamu ya tano.Huyu mwamba ameweka standard ya uongozi/Urais unapaswa uweje.
Kutenda si ndio huko kuthubutu,Au unafikiriaje?Uthubutu ni kitu gani mukuu? Rais hatakiwi kuthubutu,Rais yampasa kutenda.
Kwahiyo alitenda kitu gani ambacho wewe binafsi usingeweza kukitenda?Kutenda si ndio huko kuthubutu,Au unafikiriaje?
Baada ya Hayati Rais JPM (R.I.P) watanzania waliopoteza mkate kipndi chake wameanza kutema nyongo, wengine wamefikia mahali na kusema kilichofanyika likuwa ni wizi. hivi kweli ndugu zangu watanzania kuna wakati nchi ilipigwa mchana km kipindi cha awamu ya 4? kuna kashfa ngapi ziliingiza nchi mpaka waziri mkuu Lowassa kuwajibika? tunakumbuka ufisadi wa RICHMOND, KAGODA, MEREMETA, MIKATABA YA MADINI, escrow account, tegeta escrow na nk.
Kuna watu wanahoji mikopo ya pesa nyingi kwa muda mfupi; hivi kuna ubaya gani ukikopa kufanya mambo makubwa kwa muda mfupi? au ni bora kukopa kidogo kwa muda mrefu? sijui watanzania tumerogwa na nani? siku moja nilikutuna na Prof mmoja bingwa wa mifupa akatuambia kuwa watanzania hatujui sekta ya afya ilivyokuwa taabani, lkn sasa vifaa tiba na wataalamu wamejaa, lkn aliongeza kuwa watanzania ni wapole sana. ni hiii kitu ndiyo inatufanya tuendelee kuwa maskini.
Tumesahau mambo makubwa aliyoifanyia nchi yetu tena kwa kipindi kifupi., mfano ni hii hapo chini.
HUDUMA ZA JAMII
NISHATI na MADINI.
- Kutoka asilimia 47% iliyokuwepo mwaka 2016 hadi kufikia asilimia 69% katika kipindi cha mwaka 2019-2021.
- Kumboreka kwa huduma ya maji kutoka asilimia 47% mwaka 2016 hadi kufikia asilimia 70.1%.
- Kupungua kwa gharama za kuvuta umeme kutoka 470,000/= mpaka 20,000/=
- Kufuta kabisa mgao wa umeme
- Kuanzaishwa kwa masoko ya ndani ya madini, ikumbukwe kuwa ukikamatwa na madini yanataifishwa na kifungo juu wakati hapakuwa na soko la madini hayo.
- Kupitiwa kwa mikataba ya ulaghai kwenye madini na gas na kupanda kwa mrahaba kutoka 3% mpaka 16%
ELIMU
- Elimu ya bure kuanzia shule ya msingi hadi sekondari na kufuta michango
- Kungozeka kwa wanaopata mikopo elimu ya juu
- Ukarabati shule zote kongwe za sekondari nchini.
AFYA
- Zahanati 1, 198
- Vituo vya Afya 497
- Hospitali za Wilaya ni 71
- Vifaa tib ana mitambo mikubwa ikumbukwe hapo nyuma machine kubwa km MRI na CT SCAN zilikuwa muhimbili na Aka Khan.
- Madakatari bingwa wote walihamia hospitali za watu binafsi.
MIUNDO MBINU
- Fly overs
- Bara bara kila kona ya nchi kama kule Ludewa, makete, Manyara, Kigoma, Tabora
- Upanuzi wa bandari ya Dar es salaam.
MAAMZI MAGUMU:
Hatukatai kwamba alifanya hivyo ulivyoorodhesha bali tunachotaka ni UWAZI katika hela tulizokopa huku tukijinasibu kuwa tunatumia hela za ndani.
- kusimamia maamuzi ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ya kuhamia Dodoma
- Ujenzi wa bwawa la umeme la Nyerere
- Ujenzi wa mradi mkubwa wa reli SGR
- Daraka kubwa la Busisi ziwa Victoria
- Kufufua shIrike la ndege sasa lina ndege kubwa km Dreamliner, airbus
- Mapambano ya wazi dhidi ya vitendo vya rushwa na ufisadi
- Mapambano dhidi ya matumizi ya dawa za kulevya
Tunataka tufanye auditing kujua VALUE FOR MONEY.
Pia kama wewe unafahamu sana tujuze zilipo 1.5trilion
wewe ndo juha namba moja kwa kugeuzwa zuzu na mwendazakeYaani watanzania ni majuha kabisa. bora mkoloni arudi tu
Upo home kwake umeshikilia ukuta sio?home kwako.
Binafsi sijawahi kuwa RaisKwahiyo alitenda kitu gani ambacho wewe binafsi usingeweza kukitenda?
Kwa sababu watz ni watu wa mizaha sana , sio watu wa kutilia maana i mambo serious na ndio maana reflection ya tabia hiyo unaiona kwenye vitu kama vile ile kauli inayosema watz ni watu wasiopenda kusoma vitabu,watanzania hata uwakumbushe aliyoyafanya jpm bado wanaona ndoto sio kweli wacha mungu atuletee ukame ndio utajua kama ulikuwa hujui
Kuna kauli aliyowahi kusema JPM , kuwa shetani ni muuaji na kun vishetani vingine vidogovidogo vinafanyaa matendo yanayosababisha uuaji huo utokee, yaani vifisadi kama hivyo vinavyoonyesha leo kuwa vilikuwa vinaumizwa na uzima uliokuwa umeanza kutiririka nchi nzima katika sekta mbalimbali,Mwizi mzuri sana! Yaani mwizi anayeiba na kujenga miundombinu na kuleta maendeleo watamzania ndiyo tuloyemhitaji! Muuaji anayeua wanaotaka wajawazito wafie njiani wakielekea hospital kwa ubovu wa miundombinu kwa kuendekeza siasa uchwara wacha wauliwe tu! Sisi tulikubaliana na hilo! Au wanaoteseka na umasikini sio watu? Asiyependa kuona watu wakiishi vizuri aliwajengea miundombinu ya kisasa,akawapa elimu bure,maji,huduma bora za afya bila kusahau aliwapenda machinga! Kama asiyetenda haki alikuwa hivyo,Basi siai tulimpenda hivyo hivyo!
Huyu si walisema alanyanganywa gari la CCM barabarani akiwa ameshajimirikisha? Nashangaa akina Bashiru Ally wanaomjua Nape hawasemi. japo naamini Legacy ya JPM itajipambanua yenyewe.Kuna kauli aliyowahi kusema JPM , kuwa shetani ni muuaji na kun vishetani vingine vidogovidogo vinafanyaa matendo yanayosababisha uuaji huo utokee, yaani vifisadi kama hivyo vinavyoonyesha leo kuwa vilikuwa vinaumizwa na uzima uliokuwa umeanza kutiririka nchi nzima katika sekta mbalimbali,
Huyu si walisema alanyanganywa gari la CCM barabarani akiwa ameshajimirikisha? Nashangaa akina Bashiru Ally wanaomjua Nape hawasemi. japo naamini Legacy ya JPM itajipambanua yenyewe.
Baada ya Hayati Rais JPM (R.I.P) watanzania waliopoteza mkate kipndi chake wameanza kutema nyongo, wengine wamefikia mahali na kusema kilichofanyika likuwa ni wizi. hivi kweli ndugu zangu watanzania kuna wakati nchi ilipigwa mchana km kipindi cha awamu ya 4? kuna kashfa ngapi ziliingiza nchi mpaka waziri mkuu Lowassa kuwajibika? tunakumbuka ufisadi wa RICHMOND, KAGODA, MEREMETA, MIKATABA YA MADINI, escrow account, tegeta escrow na nk.
Kuna watu wanahoji mikopo ya pesa nyingi kwa muda mfupi; hivi kuna ubaya gani ukikopa kufanya mambo makubwa kwa muda mfupi? au ni bora kukopa kidogo kwa muda mrefu? sijui watanzania tumerogwa na nani? siku moja nilikutuna na Prof mmoja bingwa wa mifupa akatuambia kuwa watanzania hatujui sekta ya afya ilivyokuwa taabani, lkn sasa vifaa tiba na wataalamu wamejaa, lkn aliongeza kuwa watanzania ni wapole sana. ni hiii kitu ndiyo inatufanya tuendelee kuwa maskini.
Tumesahau mambo makubwa aliyoifanyia nchi yetu tena kwa kipindi kifupi., mfano ni hii hapo chini.
HUDUMA ZA JAMII
NISHATI na MADINI.
- Kutoka asilimia 47% iliyokuwepo mwaka 2016 hadi kufikia asilimia 69% katika kipindi cha mwaka 2019-2021.
- Kumboreka kwa huduma ya maji kutoka asilimia 47% mwaka 2016 hadi kufikia asilimia 70.1%.
- Kupungua kwa gharama za kuvuta umeme kutoka 470,000/= mpaka 20,000/=
- Kufuta kabisa mgao wa umeme
- Kuanzaishwa kwa masoko ya ndani ya madini, ikumbukwe kuwa ukikamatwa na madini yanataifishwa na kifungo juu wakati hapakuwa na soko la madini hayo.
- Kupitiwa kwa mikataba ya ulaghai kwenye madini na gas na kupanda kwa mrahaba kutoka 3% mpaka 16%
ELIMU
- Elimu ya bure kuanzia shule ya msingi hadi sekondari na kufuta michango
- Kungozeka kwa wanaopata mikopo elimu ya juu
- Ukarabati shule zote kongwe za sekondari nchini.
AFYA
- Zahanati 1, 198
- Vituo vya Afya 497
- Hospitali za Wilaya ni 71
- Vifaa tib ana mitambo mikubwa ikumbukwe hapo nyuma machine kubwa km MRI na CT SCAN zilikuwa muhimbili na Aka Khan.
- Madakatari bingwa wote walihamia hospitali za watu binafsi.
MIUNDO MBINU
- Fly overs
- Bara bara kila kona ya nchi kama kule Ludewa, makete, Manyara, Kigoma, Tabora
- Upanuzi wa bandari ya Dar es salaam.
MAAMZI MAGUMU:
- kusimamia maamuzi ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ya kuhamia Dodoma
- Ujenzi wa bwawa la umeme la Nyerere
- Ujenzi wa mradi mkubwa wa reli SGR
- Daraka kubwa la Busisi ziwa Victoria
- Kufufua shIrike la ndege sasa lina ndege kubwa km Dreamliner, airbus
- Mapambano ya wazi dhidi ya vitendo vya rushwa na ufisadi
- Mapambano dhidi ya matumizi ya dawa za kulevya
Kwa huku sijaona jamani labda wanamizengo mnisaidie,, msianze na mambo ya viwanda mara tunaviwanda eti 4200,, katika kipindi kilipita kwa mbwembwe hawa kuanzia awamu ya tano na kuendelea misifa mingi,, utekelezaji hola10 Nyerere + 10 Mwinyi + 10 Mkapa + 10 Kikwete + Samia = 5 Magufuli [emoji3]
This man was a Legend! Uthubutu mkubwa umefanyika katika awamu ya tano.Huyu mwamba ameweka standard ya uongozi/Urais unapaswa uweje.