Watanzania hatuna shukrani Mungu atusamehe kwa huu ujinga tunaofanya

Ni bora ungepewa uwezo kidogo wa kufikiri ndipo uandike.

Hizo kashfa unazosema awamu ya nne ulizisikia kwa sababu kulikuwa na uwazi na uhuru wa kuibua mabaya na serikali walikuwa waungwana kuwajibika.

Iwapo kungekuwa na uwazi huo huo wakati wa serikali ya awamu ya 5 hali ingekuwa mbaya zaidi.
Deni la taifa limekuwa kubwa mno kuliko gharama ya miradi.
Bado dhuluma zilikuwa kubwa sana.
Manunuzi yasiyofuata sheria na utaratibu yalishika kasi.

Uchunguzi ufanywe upesi
 
Mleta mada naona unamtamani sana mwendazake, saga chupa changanya na DDT na sumu ya panya kunywa umfuate huko aliko.
 
Bora ungesema wewe ulikua una mkubali kwa vigezo vyako sio kuwasemea watanzania wote.kibaya zaidi unaita watanzania wajinga hawana shukuran kwa Sababu tu baadhi wanahoji vitu fulan.kuna mwingine kigezo chakwanza anachotumia kumpima kiongozi ,ni utawala wa Sheria ,demokrasia ,haki za binadamu na siasa safi.je huyu utamwita mjinga Sababu yeye hajasifia sgr au ndege?
 
Siku hizi unasikia hadithi ya vyuma vimekaza? Kwa Nini? Unadhani vimeachia kwa makapuku! Jibu Ni hapana waliokuwa wanapiga hiyo yowe sasa hivi wanaogelea kwenye mafuta na ndio hao wanaozodoa na kuunyoshea mwezi vidole ili wampoteze mbwa harufu abaki kubwekea mwezi akija kushituka nyama zote zimevuja umebaki mchuzi.😀😀😀😀
 
Laiti tu asingefanya baadhi ya ukatili alioufanya, bila sababu,.......angekuwa ktika Guinness book ya Tanzania! Hii inamaanisha mahitajio ya binadamu si miundombinu pekee..... liberty, freedom of expression etc ni muhimu. Vinginevyo, si sisi wote tungeliumbwa mbuzi tu?
 
mradi wa bwawa la umeme pekee linagharimu TZS Trilioni 6.5, mradi huo upo 80% ina maana kuwa tumeshalipa zaidi ya 70%, bado kuna miradi mingine mikubwa km SGR na upanuzi wa bandari ya Dar. na nk. hata haya hamuoni?
 
Me najua Faida za ujenzi wa huduma za afya utatibiwa au hata mwili wako utahifadhiwa siku ukifa, faida za umeme utazitumia upende usipende, faida za SGR utazipata upende usipende. ndiyo maana nasema kwa watanzania wote.
 
Mleta mada naona unamtamani sana mwendazake, saga chupa changanya na DDT na sumu ya panya kunywa umfuate huko aliko.
Me natamani kiongozi anaweza kunyosha wezi wakanyoka, CCM walijisahau sana ikafika nchi km ya kwao peke yao, sasa wanaanza kushangilia kwa sababu JPM hakuwa CCM
 
Aliua akina nani km siyo mehemko ya watu na hear say.
 
Me najua Faida za ujenzi wa huduma za afya utatibiwa au hata mwili wako utahifadhiwa siku ukifa, faida za umeme utazitumia upende usipende, faida za SGR utazipata upende usipende. ndiyo maana nasema kwa watanzania wote.
Na faida za kulindwa kwa haki za binadamu je? Maana Kila kitu kinafaida kwa mtanzania ,hata ungepata vyote hivyo Bure ukanyimwa haki ya kujumuika,ya kuchagua kiongozi unaemtaka,ya kukosa au kushauri na haki ya kuishi kama walivyo SEMA wazungu kwa mkuu wa mkoa mmoja ni kazi Bure.
 
"Kuna watu wanahoji mikopo ya pesa nyingi kwa muda mfupi; hivi kuna ubaya gani ukikopa kufanya mambo makubwa kwa muda mfupi?"

Tatizo ni zile kauli kwamba Sisi ni matajiri na tunafanya miradi hii kwa kodi za watanzania
Magufur alikuwa ana kopa watangilizi wake walikuwa wanaenda kutembeza bakuli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…