Watanzania hawana imani na Waziri wa Nishati January Makamba, anapaswa kuachia ngazi, asipoachia Rais amuondoe

Haya maoni ya jamii umeyapima kivipi kuwa hayamkubali Januari? Maoni ya JF yaliyofunguliwa na wabaya wake siyo maoni ya wananchi
Watu wanataka umeme wa uhakiki mangi acha longo longo .hata bibi yule wa kijijini anajua kuwa kuna shida ya umeme na hiyo tofauti anaiona tu asubiri kuambiwa ni awamu ipi ilifanya yaliyo mazuri .vitu vinaoanda hivyo hovyo kila siku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we jamaa ngoja ni kwambie tu makamba sio tu kwamba anazingua ila makamba Hana hata vigezo vya kuwa waziri wa nishati yaani mtu asome makablasha yake hoko Hafu umuweke kwenye sekta yeti inayohitaji maarifa as if Tanzania haijasomesha watu
Mradi wa matirioni unakuja kukwamishwa na vitu minor kama crane tu za 26t .bado tunaendelea na blaa balaa jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muacheni January afanye kazi, kwani Cha maana alicho fanya huyo kalemani ni kipi, huyo kalemani si alikuta mipango mizuri iliyo kuwa ineanadaliwa na Sospeter Mhongo.
Au mna chuki, Kama si za kikanda Basi NI za kukabila.
Mnapenda sana ngonjera kila saa mipango mipango mipango bila vitendo ni sufuri .wew ukiww na mipango ya kujenga ghorofa mika nenda rudi utakusaidia nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya maoni ya jamii umeyapima kivipi kuwa hayamkubali Januari? Maoni ya JF yaliyofunguliwa na wabaya wake siyo maoni ya wananchi
Ukiwa na wabaya 1m halafu ukawa na wema 50elf, Basi jichunguze

Kwa hiyo wewe Unadhani yeye ananuksi siyo? Au unataka kulazimisha wote tupende upuuzi was kurudishwa kwenye majenereta siyo?

Au wewe ndo kamba? Jinga kabisa
 
Viongozi wa kitanzania ving'ang'anizi sana Hawako tayari kuachia madaraka hatakama jahazi linaelekea kuzama #ChawaMakamba
 
Mkuu, umeelezea kwa uchungu na hisia kali kuhusu waziri mwenye dhamana kuwa ndiye pekee ambaye anapaswa kubebe zigo la lawama kuhusiana na matatizo ya kihistoria yanayoikabili TANESCO. Lakini nafikiri ni vyema pia hata ungetoa ushauri nini hasa kinapaswa akifanye.

Je! Ni vyema kulazimisha umeme upatikane kwa njia yoyote ile pasipo kujali ushauri na mazingatio ya kitaalamu? Ama la, ni vyema pia kuzingatia ushauri na mazingatio ya kitaalamu kwa kukata umeme kwa muda ili kutafuta suluhisho la kudumu?

Stitch in time saves nine! Waziri inampasa alipitishe Taifa katika njia sahihi bila ya kujali nani anasema nini na yupo wapi. Ni ukweli uliokuwa bayana kuwa hawezi kumridhisha kila mtu.
 
Ukiwa na wabaya 1m halafu ukawa na wema 50elf, Basi jichunguze

Kwa hiyo wewe Unadhani yeye ananuksi siyo? Au unataka kulazimisha wote tupende upuuzi was kurudishwa kwenye majenereta siyo?

Au wewe ndo kamba? Jinga kabisa
Kwa hiyo kwa akili yako huu umeme tunaotumia unatoka Stiglers Gorge kule DIKTETA MAgufuli alikokata miti Milioni 26 yenye ukubwa DSM?

Kwa taarifa yako 60% ya umeme wa national grid unazakishwa Kinywrezi 1& 2 kwa gesi ya Mtwara aliyokuwa anaiponda Mwendazake
 
Hebu eleza ubaya wa makamba kwa ushahidi concrete sio kwa blah blah
Moja, umeme umeanza kukatika baada ya Makamba kuingia madarakani. Hiyo ni rebuttable presumption kwamba tatizo ni yeye.

Mbili, hajui, hajatulia akaisoma TANESCO, ama hasemi ukweli kuhusu kiini cha matatizo ya TANESCO. Alisema sababu za kukatika kwa umeme ni kukosekana kwa ukarabati wa mitambo, siku tatu baadae tukaambiwa tatizo ni mabadiliko ya tabia nchi. Wiki moja baadae bosi wake akasema tatizo ni ng'ombe za wasukuma na binadamu wakaidi. Wiki moja baadae tukaambiwa tabia nchi imetengemaa, mabwawa yamekaa sawa. Jana Dar es Salaam maji yamekatika kutwa. The leadership is clueless.

Tatu, hajui ama ali underestimate majukumu yake: alisema kama Waziri hataki kupelekewa matatizo ya umeme kwa sababu hataki TANESCO iingiliwe na wanasiasa. Siku hizi anazunguka kwenye mabwawa na karakana za TANESCO.

Nne, anafanya mzaha na teuzi za watendaji. Kamweka Mkurugenzi rafiki yake ambae hana background ya kumwezesha kuendesha taasisi ya kibiashara kubwa kuliko zote nchini. CEO wa Makamba, Chande Maharage, kasema kiini cha tatizo la TANESCO ni wafanyakazi kutolipwa kutokana na utendaji. Toka lini mshahara wa mtumishi wa umma ukabadilika kila mwezi based on performance ?

Tano, ni mzembe, anatupa excuses za hovyo na za kitoto kila wanaposhindwa kusimamia miradi. Makamba kasema Nyerere Hydropower haitakamilika kwa wakati kwa sababu vyuma ni vizito na crane hatuna. Atulie akasome mikataba kwanza, project planning ya contractor inasemaje, walikubaliana watatumia nini kubeba nondo za ujenzi, vichwa vya waponda zege ?

January Makamba does not know which end is up at Ministry of Energy. His boss is just as clueless, and Makamba knows the boss is a lightweight.
 
Maji ya kunywa tu huko dar ni ya mgawo ndo mupate maji ya kujaza bwawa! Mmeharibu mamilioni ya miti huko rufiji kisa Hilo bwawa lenu halafu mnamuomba mungu mvua sasa Hilo bwawa mtalijaza na mikojo yenu, nyie hamjui misitu huleta mvua ?mmeharibu mazingira kwa kukatakata miti kisa kujenga bwawa mna laana nyie watu!!! umeme wa kutegemea maji ni wa kizamani maana mvua zisiponyesha mtaja na nn Hilo bwawa la nyerere
 
Wizara ishamshinda. Wewe ni type ya watu mnakuta messages chafu kwenye simu ya mkeo lakini unasubiri akutwe anapigwa miti iliuamini.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜† Haswa hujakosea, akili za wanaomtetea January ndio zinaakisi hilo hilo! Vilubwa kweli yani wanasubiria wakute video chafu za mke analiwa tigo wakati sms za mtongozo walishaziona.
 
Sasa makamba na kodi vinahusianaje?
 
Usiwe kama mkoonduw wewe jamaa! Bwawa linajengwa na sehemu ya kuhifadhia maji ili kusudi kipindi cha kiangazi flow iendelee kuwepo!

Umeme wa maji ndio umeme wa bei nafuu kama hujui sasa ni natural source of energy isio na madhara yeyote kwa jamii na mazingira kwa ujumla.

Kuhusu madhara miti inayokatwa Iringa kwa kuchana mbao kwa mwaka ni Mingi kuliko hio iliokatwa huko kwenye mradi wa JNHPP. Kwa eneo lililojengwa mradi limetumika almost 5% tu na 95% imebaki bila kuathiriwa! Sasa unaposema kiangazi kimesababisha na kukatwa miti 3000 unakuwa hueleweki na wakati mvua zinanyesha tayari!
 
kuongoza tanzania ni shughuli kweli sasa ubaya wa huyu waziri ni upi mnataka alete mvua mabwawa yajae au
Waziri hafai hajui kusimamia wizara hatutaki power cuts mitambo service haichukui mwaka mzima ila mbona umeme unakatika katika tu mwezi wa 3 huu?
 
Kwani kipindi cha Magufuli aliwezaje kuhakikisha maji yapo in 24/7 na umeme! Hata kama ulikatika ila sio kwa style hii ya Makamba mpaka kutia watu hasara
 
Ukimuonea husda kilaza unakuwa zaidi ya punguwani! Mtu aliyeiba paper o’level na kuishia kubebwa kuwa muandika makala za raisi ikulu ndio nimuonee wivu kweli! Mtu ambaye maisha yake yanategemea mbeleko ya jina la baba yake tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…