Watanzania hawana imani na Waziri wa Nishati January Makamba, anapaswa kuachia ngazi, asipoachia Rais amuondoe

CCM ni ile ile...waliofurahi kipindi cha Mwendazake sasa ni zamu yao kununa kama wanataka.

January haondoki...na ukinuna unajichosha..hutaki HAMA CHAMA
 
Walifanya kazi wote alipokuwa makamu wa rais na kipara ngoto akiwa waziri katika ofisi ya makamu wa rais
Hawakukutana barabarani
Mpina atashughulikiwa kipara ngoto atasifiwa hadharani..
That is how ccm operates.
 
Huyo ni mmoja ya watu wanaomtuma Samia, yaani ndio Watu walikuwa wanamtuma Samia Taarifa za Ikulu
 
Uuzi wa fitna na chuki tu hamna lolote pambaneni na hali zenu.
 
Chama cha fitina na Majungu katika ubora wao.
 
Wizara hii ni ngumu, ni 'technical' haiitaji makelele mengi
 
Hiki chama kimejaa majungu tu, sijui lini watanzania wataamka.
 
Ndio,ukimkosoa anakwambia una chuki na Urais wa b mimacho.
 
Kumbukeni baba yake alisema sasa wanalamba Asali.
 
Mosi ,Mh.January Makamba hana kosa kwa sababu zifuatazo:

-Kihistoria amejilimbikizia maadui ndani ya CCM na nje yake

-Wizara aliyopo ni "pasua kichwa"...yeyote awaye basi hajiepushi na lawama kwa sababu ya "zigo" la wizara hiyo.

Pili , January Makamba anabaki kuwa "presidential material"....hili linazidi kumtamalakisha maadui lukuki.

Mwisho kabisa ,January Makamba ni mwanasiasa....na kwenye siasa kuna "tarnishing of image" na kwa hili JM hana kosa lolote lile.

#Siempre JMT🙏
 
Chama ni chetu na serekale ni yetu.
 
Bado nasimamia hii...
Mwambieni wajenzi wa bwawa la Nyerere wanatudai kwa sababu ya ukaidi wake, mara mnanionea wivu au urais wa Samia nk.

Akalipe deni hilo siyo aje amsingizie marehemu au kuingiza kwenye manunuzi ya luku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…