Watanzania hawana imani na Waziri wa Nishati January Makamba, anapaswa kuachia ngazi, asipoachia Rais amuondoe

CCM ni ile ile...waliofurahi kipindi cha Mwendazake sasa ni zamu yao kununa kama wanataka.

January haondoki...na ukinuna unajichosha..hutaki HAMA CHAMA
 
Walifanya kazi wote alipokuwa makamu wa rais na kipara ngoto akiwa waziri katika ofisi ya makamu wa rais
Hawakukutana barabarani
Mpina atashughulikiwa kipara ngoto atasifiwa hadharani..
That is how ccm operates.
 
Huyo ni mmoja ya watu wanaomtuma Samia, yaani ndio Watu walikuwa wanamtuma Samia Taarifa za Ikulu
 
Katika mitandao ya kijamii waziri makamba ameonekana kutotisha katika wizara hiyo mara nyingi malalamiko yamekuwa mengi jinsi anavyoondesha wizara yake ilianza bwala la nyerere visingizio kuhusu ujazaji wa maji vilikuwa vingi hadi sasa bwawa hilo halijakamilika na maradi unasuasua , tozo ya tsh100/= hiyo ilifutwa na waziri huyo ndiye aliyesema raisi kamtuma kutekeleza na baadae raisi mwenyewe amerudisha tozo hiyo na huku ikisemekana kwamba sheria ya kupitisha tozo hiyo ilipitishwa na bunge ambazo fedha hizo zingeenda kufanya shughuli za serikali. Makamba tayari inasemekana kwamba alikodi software kutoka india $30milion hadi sasa hatujajuwa ukodishwaji huo unaisha lini na nini kilichopelekea kukodi software hiyo.

Aidha kinachoshangaza zaidi amejikita kwenye miradi ya gesi LNG huku miradi mingine kama bwawa la umeme mradi huo ukisusua .kufanya MHESHIMIWA RAISI KUKAA KIMYA KWA JAMBO HILO INAONESHA KUWA WAZIRI HUYO HAGUSIKI NA TAYARI KUNA MANENO KUTOKA KWENYE MEDIA MBALIMBALI ZIKISEMA KWAMBA KIJANA HUYO NA KUNDI LAO NDIO WATAKAOMPIGANIA RAISI 2025 KURUDI MADARAKANI NDIYO SABABU RAISI HASEMI CHOCHOTE KUHUSU WAZIRI HUYO.

Binafsi natoa ushauri kuwa raisi anawajibu wakuamua yeye mwenyewe bila kulazimishwa na mtu nink afanye kwa kelele zinazoandama wizara hiyo anayoiongoza january makamba kwani makamba hawezi kuamua mawazo ya watanzania milion 60.
Uuzi wa fitna na chuki tu hamna lolote pambaneni na hali zenu.
 
Chama cha fitina na Majungu katika ubora wao.
 
Wizara hii ni ngumu, ni 'technical' haiitaji makelele mengi
 
Hiki chama kimejaa majungu tu, sijui lini watanzania wataamka.
 
Ndio,ukimkosoa anakwambia una chuki na Urais wa b mimacho.
 
Kumbukeni baba yake alisema sasa wanalamba Asali.
 
Katika mitandao ya kijamii waziri makamba ameonekana kutotisha katika wizara hiyo mara nyingi malalamiko yamekuwa mengi jinsi anavyoondesha wizara yake ilianza bwala la nyerere visingizio kuhusu ujazaji wa maji vilikuwa vingi hadi sasa bwawa hilo halijakamilika na maradi unasuasua , tozo ya tsh100/= hiyo ilifutwa na waziri huyo ndiye aliyesema raisi kamtuma kutekeleza na baadae raisi mwenyewe amerudisha tozo hiyo na huku ikisemekana kwamba sheria ya kupitisha tozo hiyo ilipitishwa na bunge ambazo fedha hizo zingeenda kufanya shughuli za serikali. Makamba tayari inasemekana kwamba alikodi software kutoka india $30milion hadi sasa hatujajuwa ukodishwaji huo unaisha lini na nini kilichopelekea kukodi software hiyo.

Aidha kinachoshangaza zaidi amejikita kwenye miradi ya gesi LNG huku miradi mingine kama bwawa la umeme mradi huo ukisusua .kufanya MHESHIMIWA RAISI KUKAA KIMYA KWA JAMBO HILO INAONESHA KUWA WAZIRI HUYO HAGUSIKI NA TAYARI KUNA MANENO KUTOKA KWENYE MEDIA MBALIMBALI ZIKISEMA KWAMBA KIJANA HUYO NA KUNDI LAO NDIO WATAKAOMPIGANIA RAISI 2025 KURUDI MADARAKANI NDIYO SABABU RAISI HASEMI CHOCHOTE KUHUSU WAZIRI HUYO.

Binafsi natoa ushauri kuwa raisi anawajibu wakuamua yeye mwenyewe bila kulazimishwa na mtu nink afanye kwa kelele zinazoandama wizara hiyo anayoiongoza january makamba kwani makamba hawezi kuamua mawazo ya watanzania milion 60.
Mosi ,Mh.January Makamba hana kosa kwa sababu zifuatazo:

-Kihistoria amejilimbikizia maadui ndani ya CCM na nje yake

-Wizara aliyopo ni "pasua kichwa"...yeyote awaye basi hajiepushi na lawama kwa sababu ya "zigo" la wizara hiyo.

Pili , January Makamba anabaki kuwa "presidential material"....hili linazidi kumtamalakisha maadui lukuki.

Mwisho kabisa ,January Makamba ni mwanasiasa....na kwenye siasa kuna "tarnishing of image" na kwa hili JM hana kosa lolote lile.

#Siempre JMT🙏
 
Kumbukeni baba yake alisema sasa wanalamba Asali.
FB_IMG_16307140795615105.jpg
 
Bado nasimamia hii...
Mwambieni wajenzi wa bwawa la Nyerere wanatudai kwa sababu ya ukaidi wake, mara mnanionea wivu au urais wa Samia nk.

Akalipe deni hilo siyo aje amsingizie marehemu au kuingiza kwenye manunuzi ya luku.
 
Back
Top Bottom