Tukundane
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 11,993
- 9,212
Ni sukuma gang.Bavicha bhana..... Hahahaaaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni sukuma gang.Bavicha bhana..... Hahahaaaa!
Chifu Haya mijitu ni marobot, yakipewa kichwa cha habari wao wanakuja kupost humu straight bila hata kudigest. Wasamehe bureAna ndevu?
Mmeanza kuraruana kweri-kweri 😂Bavicha bhana..... Hahahaaaa!
Uuzi wa fitna na chuki tu hamna lolote pambaneni na hali zenu.Katika mitandao ya kijamii waziri makamba ameonekana kutotisha katika wizara hiyo mara nyingi malalamiko yamekuwa mengi jinsi anavyoondesha wizara yake ilianza bwala la nyerere visingizio kuhusu ujazaji wa maji vilikuwa vingi hadi sasa bwawa hilo halijakamilika na maradi unasuasua , tozo ya tsh100/= hiyo ilifutwa na waziri huyo ndiye aliyesema raisi kamtuma kutekeleza na baadae raisi mwenyewe amerudisha tozo hiyo na huku ikisemekana kwamba sheria ya kupitisha tozo hiyo ilipitishwa na bunge ambazo fedha hizo zingeenda kufanya shughuli za serikali. Makamba tayari inasemekana kwamba alikodi software kutoka india $30milion hadi sasa hatujajuwa ukodishwaji huo unaisha lini na nini kilichopelekea kukodi software hiyo.
Aidha kinachoshangaza zaidi amejikita kwenye miradi ya gesi LNG huku miradi mingine kama bwawa la umeme mradi huo ukisusua .kufanya MHESHIMIWA RAISI KUKAA KIMYA KWA JAMBO HILO INAONESHA KUWA WAZIRI HUYO HAGUSIKI NA TAYARI KUNA MANENO KUTOKA KWENYE MEDIA MBALIMBALI ZIKISEMA KWAMBA KIJANA HUYO NA KUNDI LAO NDIO WATAKAOMPIGANIA RAISI 2025 KURUDI MADARAKANI NDIYO SABABU RAISI HASEMI CHOCHOTE KUHUSU WAZIRI HUYO.
Binafsi natoa ushauri kuwa raisi anawajibu wakuamua yeye mwenyewe bila kulazimishwa na mtu nink afanye kwa kelele zinazoandama wizara hiyo anayoiongoza january makamba kwani makamba hawezi kuamua mawazo ya watanzania milion 60.
Mosi ,Mh.January Makamba hana kosa kwa sababu zifuatazo:Katika mitandao ya kijamii waziri makamba ameonekana kutotisha katika wizara hiyo mara nyingi malalamiko yamekuwa mengi jinsi anavyoondesha wizara yake ilianza bwala la nyerere visingizio kuhusu ujazaji wa maji vilikuwa vingi hadi sasa bwawa hilo halijakamilika na maradi unasuasua , tozo ya tsh100/= hiyo ilifutwa na waziri huyo ndiye aliyesema raisi kamtuma kutekeleza na baadae raisi mwenyewe amerudisha tozo hiyo na huku ikisemekana kwamba sheria ya kupitisha tozo hiyo ilipitishwa na bunge ambazo fedha hizo zingeenda kufanya shughuli za serikali. Makamba tayari inasemekana kwamba alikodi software kutoka india $30milion hadi sasa hatujajuwa ukodishwaji huo unaisha lini na nini kilichopelekea kukodi software hiyo.
Aidha kinachoshangaza zaidi amejikita kwenye miradi ya gesi LNG huku miradi mingine kama bwawa la umeme mradi huo ukisusua .kufanya MHESHIMIWA RAISI KUKAA KIMYA KWA JAMBO HILO INAONESHA KUWA WAZIRI HUYO HAGUSIKI NA TAYARI KUNA MANENO KUTOKA KWENYE MEDIA MBALIMBALI ZIKISEMA KWAMBA KIJANA HUYO NA KUNDI LAO NDIO WATAKAOMPIGANIA RAISI 2025 KURUDI MADARAKANI NDIYO SABABU RAISI HASEMI CHOCHOTE KUHUSU WAZIRI HUYO.
Binafsi natoa ushauri kuwa raisi anawajibu wakuamua yeye mwenyewe bila kulazimishwa na mtu nink afanye kwa kelele zinazoandama wizara hiyo anayoiongoza january makamba kwani makamba hawezi kuamua mawazo ya watanzania milion 60.
Kumbukeni baba yake alisema sasa wanalamba Asali.
Amwachie malaika gani?!!Makamba aachie ofisi