Watanzania hawawezi kuandika


Hii ndio aina ya waandishi uchwara tulionao nchini, inasikitisha.
 
Maneno mengi lakini unamaanisha umeweka mpira kwapani na unataka kukimbia
 
Kweli awawezi wala awajui.

Unajaribu kuwarekebisha watanzania wenzako, wao wakikurekebisha "you don't care"!
 
Kuna vitu vingi ambavyo binadamu wachache waliotutangulia walifanta kaujanja ka kufunga wenzao..
Vitu vingi na elimu nyingi huwa zinaanzia kwenye theories - maono, hisia basing na variables ambazo ubonngo wako unachaka na kukupa majibu subconciously bila hata wewe kujua...
Hivyo usishambulie watu ambao ni wazee wa theories - kuna kitu ambacho kinamfanya atoe hayo maoni..ni wajibu wako wewe kwenye kutengeneza hypothesis zako ili upime hayo maoni...
Kuhusu facts etc..huwezi ukaandika au ukaongea kwa kukusanya na kutamka taarifa ambazo watu walikusanya...huko unaangalia lkn pia lazima ubongo wako uende nje ya dirisha ndo itakuja elimu mpya.
Hivyo usijali sana jinsi watu wanavyoandika...hicho ni kitu cha chini sana..wewe chukua na elewa wazo la mtu - lichakate halafu toa ufafanuzi au pinga kwa hoja na logic..
Pia watu hawaongei au mazungumzo ya kawaida sio kama huo uandishi wa papers ambao wewe una-advocate...Duniani huku tukiweza kusimplify na kuandika au kupresent katika kiwango ambacho hata kijana wa darasa la saba akasoma na kuelewa..thats much better...Ndo maana kuna research nyingi sana lkn application yake haipo...uwezo wa kuiweka katika hali ya kawaida.....
Yaani hata hao wanaoandika research papers baadae husahau hata waliandika nini...
 
Mleta mada umeshtua au??? hao wasomi ni wewe au unaongelea wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…