Watanzania hii ndio sababu ya kwanini tuliandika katiba mpya, mnamchosha rais na kero zenu kwenye misafara yake

fact
 
hapo tu ila kwa Libya sikubariani na wewe Muammar aliwapa raia wake kile wanachokitaka
Ni kweli lkn aliwapa 15% tu ya kile wanachostahili. Ndipo ugpmvi ulipoanzia lkn pia usisahau kua wananchi walikua hawana uhuru kitu ambacho ni cha asili kwa mwanadamu.
 

Duh... balaa
 
Hivi wewe unashindwa kukaa na kujadili mambo ya msingi kuhusu nchi yako ya Kenya unakimbilia kiherehere kujadili mambo ya wanaume wa Tanzania hivi unataka nini au kisa umesikia kuna dada zako wapo huku TZ wameolewa, hebu jadili; mambo ya nchi yako,mambo ya Tanzania hayakuhusu, usitake tukafukua makaburi saa hizi.
 
Jeezus holy Christ! Balaa
 
Mpuuzi tuu huyo jamaa,si alikuwa anatuponda kuhusu Corona ooh mara waTZ hawataruhusiwa kuingia Ulaya kwani tulikwambia tunataka kwenda.Leo kabadikisha eti katiba katiba,we endeleeni kupimana huko na kufunga mipaka yenu ya TZ achana nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…