Watanzania hii ndio sababu ya kwanini tuliandika katiba mpya, mnamchosha rais na kero zenu kwenye misafara yake

Watanzania hii ndio sababu ya kwanini tuliandika katiba mpya, mnamchosha rais na kero zenu kwenye misafara yake

Nionyeshe ni wapi nimesema hivyo. Mimi tatizo langu ni huyo wazimu Naton Jr kuhesabu madini yaliyo ardhini kama sehemu ya utajiri. Chimba madini kwanza kisha uihesabu. Kama ni kweli Naton anavyosema basi DR Congo ingekuwa nchi tajiri zaidi duniani. Kamwe huwezi hesabu kuku kabla mayai hayajaanguliwa.
Kwahiyo kama unamiliki nyumba yenye vyumba 20 na unakaa na Familia yako ndogo katika jumba hilo ndani ya vyumba vitatu tu vingine 17 havutumiki.

Utakapotaka kuuza, utauza nyumba kama nyumba kwa thamani yake au utauza vyumba vitatu tu unavyovitumia?
 
Mkuu acha kurukaruka kitembezembe.
Alafu kuhusu Libya nyie vijana wa lumumba mnaojua kukaa ofisini nyuma ya kibodi mnahitaji kujuzwa zaidi.

Ujue kua maendeleo ya wananchi sio hisani ni haki kwa sababu wananchi wanalipa kodi kwa hiyo ni lazima wapate maendeleo wanayoyataka rais ameajiriwa anapipwa mshahara mkubwa na kupewa raslimali zote ili kusimamia na kuleta maendeleo..MAENDELEO YA WATU maana maendeleo ya vitu hata wakoloni walileta na hawajawahi kujisifia.
Kwa kifupi tu. Walibya walikuja kugundua kuwa kumbe wanachopata ni 15% tu Cha kile wanachostahili na ikabainika namna Gadaffi anavotapanya mali za Wana Libya akijilimbikizia mali (uwekezaji binafsi na pesa nyingi) nje ya nji. Hujui kua walifreeze accounts na mali zake nyingi sn.

Ndio maana ccm haitakiwi kwa sababu watz hawapati hata 1% ya kile wanachostahili kupata.

WANANCHI WANA WAJIBU WA KULIPA KODI LKN WANA HAKI YA KUPATA MAENDELEO HUKU VIONGOZI WANAWAJIBU KUSIMAMIA RASLIMALI KUHAKIKISHA MAENDELEO YA WATU YANAPATIKAKA
Kwahiyo sasa hivi walibya wanapata 70% ? . Kaa ukijua Libya haitakuwa nchi yenye uchumi mkubwa mpaka unaenda kaburini hata kama utaishi umri mrefu ila kwenye umri wako usitegemee Libya ikarudi kua Libya ile ambayo ilikua sawa na ulaya ndogo au sawa na ulaya ila kwa maslai ya watu wachache kutoka nje wakatumia mwanya wa neno demokrasia kufikia malengo yao . Ila Libya itabaki story tu hata wajukuu zako ukija kuwasimulia habari za Libya hawatakuelewa maana kaa ukijua Libya inaenda kua Somalia kiuchumi au Sudan kusini.
 
Kwahiyo kama unamiliki nyumba yenye vyumba 20 na unakaa na Familia yako ndogo katika jumba hilo ndani ya vyumba vitatu tu vingine 17 havutumiki

Utakapotaka kuuza, utauza nyumba kama nyumba kwa thamani yake au utauza vyumba vitatu tu unavyovitumia?
Huo mfano hauna maana. Ukiwa unamiliki nyumba ya vyumba 20 basi hivyo ni vyumba vinavyoonekana na vinavyoweza kutumika. Kwa hivyo ni sawa kabisa kuhesabu vyumba vyote 20 kama sehemu ya mali yako.

Hata ukitaka unaweza kuuza vyumba vyote 20 hakuna shida. Lakini huwezi linganisha vyumba na madini ambayo bado hayajachimbwa. Huo ni upuuzi. Ningekuelewa kama ungekuwa unazungumzia madini ambayo yamechimbwa tayari maana hayo unaweza kuyauza na kupata pesa. Lakini kuringa kuhusu madini ambayo hauna teknolojia ya kuyachimba ni upuuzi.
 
Nionyeshe ni wapi nimesema hivyo. Mimi tatizo langu ni huyo wazimu Naton Jr kuhesabu madini yaliyo ardhini kama sehemu ya utajiri. Chimba madini kwanza kisha uihesabu. Kama ni kweli Naton anavyosema basi DR Congo ingekuwa nchi tajiri zaidi duniani. Kamwe huwezi hesabu kuku kabla mayai hayajaanguliwa.
Na inawezekanaje kuuza nchi ikiwa unajua chini kuna madini au hiyo serikalini inapokukatia kitaru cha kuchimba madini unalipa pesa kwani inachimba kwanza inayaweka kwenye vuko kama ushahidi ndio inakukatia si yanakua yapo ardhini
 
Ni wapi nimesema nchi inaweza kuuzwa? Mimi nimejikita kwenye jambo moja tu, ile ya Naton kulinganisha madini yaliyo ardhini Afrika Mashariki na gdp ya Sweden. Huo ulinganisho ni wa kipuuzi. Inaonekana napoteza muda wangu na hatuwezi kuelewana. Kwaheri.
 
Duuu! Maswali ya hovyo kabisa, nenda
Duuu! ikutegemea km ungeulizwa swali la hovyo kiasi hiki
Kwa uelewa wangu unapomkosoa mtu kuna ubora umeuona kipindi cha nyuma ndio maana unasema hiyu hafai au hiki hakifai Kwa kua hakina ubora ulioutarajia au kama ule uliokua hapo zaman ndio maana tunasema hafai au hiki Kwa sasa hakifai. Je Kwa muono wako unasema Magufuli hafai ktk mh. Mkapa , Kikwete na wa sasa na kafanya vizur au kalitendea haki hasa jina Urais? Swali la pili ungekua wewe ndio Rais ungefanya mambo gani ambayo ni bora zaidi aliyofanya Magufuli mpaka wananchi wako wakaridhishwa na hivyo ulivyovifanya? Maana usiwe unatoa lawama tu hakufanya kitu ukiambiwa wewe ufanye japo Kwa maneno tu huwezi.
 
Ni wapi nimesema nchi inaweza kuuzwa? Mimi nimejikita kwenye jambo moja tu, ile ya Naton kulinganisha madini yaliyo ardhini Afrika Mashariki na gdp ya Sweden. Huo ulinganisho ni wa kipuuzi. Inaonekana napoteza muda wangu na hatuwezi kuelewana. Kwaheri.
Haya sawa ,ila swala alililosema mk254 unakubaliana nalo kua uchumi wa Uswisi unaweza kununua nchi za A. Mashariki? Hapa ndio napozungumzia Mimi , ndio maana hata jamaa akasema Yani nchi iuzwe huku ikiwa na asilimali kibao ikiwa madini na vingine vingi hata kama havijachimbwa bado vinathamani maani tu hata kama sio Kwa GDP ila unapozungumzia Thamani ya nchi vinathamani tena sio madini tu ya ardhini mpaka stratejia inathaminishwa sasa ndio maana huwezi linganisha Thamani ya pesa na nchi
 
Kwahiyo sasa hivi walibya wanapata 70%? Kaa ukijua Libya haitakuwa nchi yenye uchumi mkubwa mpaka unaenda kaburini hata kama utaishi umri mrefu ila kwenye umri wako usitegemee Libya ikarudi kua Libya ile ambayo ilikua sawa na ulaya ndogo au sawa na Ulaya ila kwa maslai ya watu wachache kutoka nje wakatumia mwanya wa neno demokrasia kufikia malengo yao. Ila Libya itabaki story tu hata wajukuu zako ukija kuwasimulia habari za Libya hawatakuelewa maana kaa ukijua Libya inaenda kua Somalia kiuchumi au Sudan kusini.
Ulikua unaiona ulaya ndogo wkt wenye nchi yao walikua wanaona uhalisia wa wizi wa raslimali zao.

Kwa taarifa yako tatizo sio Walibya chanzo cha haya yote ni Gadaffi. Ukipanda uchafu utaacha uchafu kwa taifa lako.
Ndicho kinachoendelea sasa tz kujisifia kishamba wkt Mambo ni mabaya kupita maelezo.

Libya sio nchi ya binadamu ni nchi ya Mungu. Haya yote Mungu anaruhusu ili viongozi wengine dharimu tunaowashudia sasa wajifunze namna matendo yao yanavyoweza kujenga ama kubomoa Nchi.

Ole ole tz.
 
. Kwa uelewa wangu unapomkosoa mtu kuna ubora umeuona kipindi cha nyuma ndio maana unasema hiyu hafai au hiki hakifai Kwa kua hakina ubora ulioutarajia au kama ule uliokua hapo zaman ndio maana tunasema hafai au hiki Kwa sasa hakifai, Je Kwa muono wako unasema Magufuli hafai ktk mh. Mkapa , Kikwete na wa sasa na kafanya vizur au kalitendea haki hasa jina Urais? Swali la pili ungekua wewe ndio Rais ungefanya mambo gani ambayo ni bora zaidi aliyofanya Magufuli mpaka wananchi wako wakaridhishwa na hivyo ulivyovifanya ? Maana usiwe unatoa lawama tu hakufanya kitu ukiambiwa wewe ufanye japo Kwa maneno tu huwezi .

Weka tume huru, wape watz katiba wanayotaka, ruhusu demokrasia, wape watz elimu bora sio bora elimu ile ya kujisifia udahili wa watoto kufaulu wakiwa hawajui kusoma na kuandika. Unajisifia shule ambazo hazina walimu, madarasa wala maabara unaakili kweli, hospitali hakuna dawa vitanda hamna unajisifia majengo akili mbovu kabisa.
 
Ulikua unaiona ulaya ndogo wkt wenye nchi yao walikua wanaona uhalisia wa wizi wa raslimali zao..

Kwa taarifa yako tatizo sio Walibya chanzo cha haya yote ni Gadaffi. Ukipanda uchafu utaacha uchafu kwa taifa lako.
Ndicho kinachoendelea sasa tz kujisifia kishamba wkt Mambo ni mabaya kupita maelezo.

Libya sio nchi ya binadamu ni nchi ya Mungu. Haya yote Mungu anaruhusu ili viongozi wengine dharimu tunaowashudia sasa wajifunze namna matendo yao yanavyoweza kujenga ama kubomoa Nchi.

Ole ole tz.......
Hahahaha ujui chochote kuhusu dunia inavyokwenda
 
Weka tume huru, wape watz katiba wanayotaka, Ruhusu demokrasia, wape watz elimu bora sio bora elimu ile ya kujisifia udahili wa watoto kufaulu wakiwa hawajui kusoma na kuandika. Unajisifia shule ambazo hazina walimu, madarasa wala maabara unaakili kweli, hospitali hakuna dawa vitanda hamna unajisifia majengo akili mbovu kabisa
Ujajibu swali bali umelalamika ,utawala gani ulikua bora kwako.
 
Hahahaha ujui chochote kuhusu dunia inavyokwenda
Unahisi hisi hujui uhalisia wa matatozo ya Libya. We endelea kusifia upate vyeo hayo mengine ya nje achana nayo kabisa.

Wiki ya pili ya uchumi wa kati ikoje kwenye familia yako?
 
Unahisi hisi hujui uhalisia wa matatozo ya Libya. We endelea kusifia upate vyeo hayo mengine ya nje achana nayo kabisa.

Wiki ya pili ya uchumi wa kati ikoje kwenye familia yako?
Uono wako mfupi Sana bro
 
Unahisi hisi hujui uhalisia wa matatozo ya Libya. We endelea kusifia upate vyeo hayo mengine ya nje achana nayo kabisa.

Wiki ya pili ya uchumi wa kati ikoje kwenye familia yako?
Tena mfupi kama Chadema, unazani ukisikia uchumi wa Kati unazan ndio ukilala tu ukihamka unapata pesa.
 
Unahisi hisi hujui uhalisia wa matatozo ya Libya. We endelea kusifia upate vyeo hayo mengine ya nje achana nayo kabisa.

Wiki ya pili ya uchumi wa kati ikoje kwenye familia yako?
Kama lile mbumbumbu la chadema " eti nilizani uchumi wa Kati nikiamka raia wanapewa supu " anashindwa kujiuliza hapo nchi jilan wameambiwa uchumi wa Kati mda tu wanapewa supu wakati bado chakula wanategemea Tanzania
 
Uono wako mfupi Sana bro
Shida yako hujitambui hata unachosimamia. Huwezi kuielewa Libya km huelewi matatizo ya tz. Nyie ndo mnalipwa kupoteza muda mitandaoni huku hamjui kitu kila kitu ni siasa tu. Eti kwa vile mwenyekiti wenu alisema sadam Hussein alikua rais wa Libya Basi na ww unashadadia tu utumbo
 
Kama lile mbumbumbu la chadema " eti nilizani uchumi wa Kati nikiamka raia wanapewa supu " anashindwa kujiuliza hapo nchi jilan wameambiwa uchumi wa Kati mda tu wanapewa supu wakati bado chakula wanategemea Tanzania
Sasa we zwazwa unakubali kua uchumi wa kati inatakiwa uakisi maisha ya wananchi wa chini ndio wanatakiwa waulizwe sio utangazwe na viongozi wkt haupo?
 
Back
Top Bottom