Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Ongea kwa hoja mkuu, kuwa watu wanataka kuelewa maoni yako na mawazo yako.Utakuwa menaje wa kampuni ya kuchakata kinyesi kama hujui chochote juu wa uwekezaji wa Syri Lanka na bagamoyo
Kuna thread humu imefafanua vizuri kwa kupangua propaganda za babu yenu mwendakuzimu we ufukunyue tu utaelewa.Ongea kwa hoja mkuu, kuwa watu wanataka kuelewa maoni yako na mawazo yako.
Umesema uzi, mimi nimekwambia kasome article ya Sri Lanka ww unazungumzia Nyuzi.Kuna thread humu imefafanua vizuri kwa kupangua propaganda za babu yenu mwendakuzimu we ufukunyue tu utaelewa.
Mimi nimeshaisoma tayariNaona wewe bado upo nyuma mbali sana na taarifa hizi.
Kuna 'articles' chungu nzima hata humu JF kuhusu hiyo bandari ya Sri Lanka. Tafuta mada ya 'Chige' humu humu jukwaani miezi michache iliyopita.
Wewe uliisikia wapi. Si kama uliisoma ungeileta moja kwa moja hapa?
SAWA.Mimi nimeshaisoma tayari
Wewe ni mjinga kabisa. Wewe unadhani kuwapa watu lango la kuingia nyumbani kwako walijenge halafu walimiki na kuliendesha ndiyo bora? Si bora hata hao walichokuwa mkopo? Wewe unafikiri mchina ni mjinga awekeze matrilioni ya fedha wakati anaona kutakuwa na hasara?Mradi wa Hambatota ni mkopo tofauti na Bagamoyo Special Economic Zone ni uwekezaji wa pamoja kati ya China, Oman na Tanzania ambapo sisi tunatoa ardhi. Kwa vyovyote vile hata mradi ukiwa na hasara sisi haruhusiwi. Mada kama hizi ndio zinasababisha wengine tuamini mnaopinga mradi huu hamna akili ya kuchanganua mambo makubwa kama haya
Huyu anajisifia kwamba wachina wamemuona ni unique na wamempenda tutamwamini vipi kama hakupewa mlungura? Isitoshe hata kujieleza kwake ni kwa kibabaishaji anajiita Prof. Mbona yuko shallow katika kujieleza, amemsifia Mwendazake wakati Mwendazake mwenyewe alisema bandari ya Bagamoyo ina harufu ya dhuruma.Ata wale waliopo bungeni wanaushadsdia kwasababu walienda ziara siku 21 huko nje na wapo kwenye kamati ya miundombinu wakalishwa presentation ya nusu saa hivi then wakapitishiwa mlungula ndiyo waliporudi kila mtu anantaka uendelee ule mradi alafu wanasema Wachina wanataka kuisadia nchi yetu...!!
Sent using Jamii Forums mobile app
We mzee wa ligasi ktk huo Uzi hizo article zote za sri Lanka na bagomoyo zimefafanuliwa nenda kafukunyue basi acha uvivu.Umesema uzi, mimi nimekwambia kasome article ya Sri Lanka ww unazungumzia Nyuzi.
Yeye Ndugu Yai alipata nini chuo maana anawakandia wenzake hajisemi yeye alipata makarai mangapiAta wale waliopo bungeni wanaushadsdia kwasababu walienda ziara siku 21 huko nje na wapo kwenye kamati ya miundombinu wakalishwa presentation ya nusu saa hivi then wakapitishiwa mlungula ndiyo waliporudi kila mtu anantaka uendelee ule mradi alafu wanasema Wachina wanataka kuisadia nchi yetu...!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Shauri zaoKuna watu ambao mpaka muda huu wanapambana kumiliki vyoo wanajifanya kushindana na macho madogo.
Hakuna watu corrupt kama macho madogo.
Imetuchukua muda kupambana nao kwenye tenda za ujenzi wa barabara sidhani kama tuna personell competent kuchuana na hawa jamaa.