Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Ni dhahiri Norman na Ndugu yai walipewa rushwa ukisikiliza wanavyojieleza ni kama wanamtingoza mwanamke, hawaweki facts ila ni manenono yenye kutia mashakaKwa kilichotokea kwenye nchi kama zambia na kenya ni wazi wachina wapo rough sana kwenye kuheshimu mikataba, ni bora kumwamini mzungu kwenye mikataba kuliko mchina........they always have an evil intention na wapo radhi kutoa rushwa kubwa kubwa kwa viongozi na wanasiasa.....