Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichaa wewwWewe ni mjinga kabisa. Wewe unadhani kuwapa watu lango la kuingia nyumbani kwako walijenge halafu walimiki na kuliendesha ndiyo bora? Si bora hata hao walichokuwa mkopo? Wewe unafikiri mchina ni mjinga awekeze matrilioni ya fedha wakati anaona kutakuwa na hasara?
Kichaa ni wewe unayesema kuwapa nchi nyingine lango la Bandari walimiliki na kuendesha hakuna neno.Kichaa weww
Kwa kilichotokea kwenye nchi kama zambia na kenya ni wazi wachina wapo rough sana kwenye kuheshimu mikataba, ni bora kumwamini mzungu kwenye mikataba kuliko mchina........they always have an evil intention na wapo radhi kutoa rushwa kubwa kubwa kwa viongozi na wanasiasa.....Na spika naye anasema wachina walisema, sisi hatuhitaji kusikia walichosema tunataka mikataba iwekwe mezani
Macho madogo wanaongoza Kwa dubious deals.Shauri zao
Badaye wakataoumia wala siyo hao
Wanaoipigia debe
Ova
Unaona hiki kipande hapa kutoka kwenye article inayoelezea Sri Lanka walivyoingia ''choo cha kike?''Kichaa weww
Sisi tuna bahati moja. Kuna nchi nyingine zimefanya makosa, zikajikuta zime-surrender vipande vya ardhi China hivyo tumeshajua hawa jamaa siyo watu wazuri. Lakini ajabu naona mama Samia ndiyo yuko mbele kuwakumbatia. Tutakuja kujuta sana.Macho madogo wanaongoza Kwa dubious deals.
Kwa mfano hapa nyumbani ikitokea tenda ya ujenzi
Wana bid the lowest,
Unakuta kampuni kama nne zote zao halafu bid Yao ipo chini na Wana vifaa na wataalam,
Wakishaingia kwenye mradi wanaanza kufanya variation kupita the agreed contractual sum.
Sasa Hawa ndio tunawachekea na ndio eti tunaignore all the red flags na kuresume talks.
Hapa tunakwenda kuchunwa ngozi mchana kweupe.
Mchina kakataa kutoa ufadhili wowote kwenye mradi wa SGR, leo anataka apewe bandari afaidi na miundombinu ya SGR ambayo hajagharamia chochote, a big NO....
Simwelewi kabisa Rais katika hili sidhani kama anapata muda wa kujiridhisha na maamuzi yake kabla ya kuja public.Sisi tuna bahati moja. Kuna nchi nyingine zimefanya makosa, zikajikuta zime-surrender vipande vya ardhi China hivyo tumeshajua hawa jamaa siyo watu wazuri. Lakini ajabu naona mama Samia ndiyo yuko mbele kuwakumbatia. Tutakuja kujuta sana.
Watu wanataka kujadili wewe unaandika ushoga wako. Akili itakuja lini. Nawe ulisoma kwa mkopo kweli au ni hao walioko Bungeni?Kuna thread humu imefafanua vizuri kwa kupangua propaganda za babu yenu mwendakuzimu we ufukunyue tu utaelewa.
Kama wanakuuzia silaha na kukujengea vyuo vya kijeshi seuze kukujengea bandari? Tuache kuwa wajinga watakaoendesha hiyo bandari ni special authority itakayoundwa na pande zote 3 ,Watanzania tukiwemo! Tatizo la nchi hii unakuta mtu anapinga hata kitu asichokijua vizuri. Tuache ujuaji wa kijingaWewe ni mjinga kabisa. Wewe unadhani kuwapa watu lango la kuingia nyumbani kwako walijenge halafu walimiki na kuliendesha ndiyo bora? Si bora hata hao walichokuwa mkopo? Wewe unafikiri mchina ni mjinga awekeze matrilioni ya fedha wakati anaona kutakuwa na hasara?
Kama unaufahamu, sema yote. tulisikia suala la miaka 99, kutotaka kuingiliwa na serikali, kulipa wakishapata faida- sijui tutajuaje kama wamepata wakati hawataki kuingiliwa, n.k fafanueni yote. Siyo kutueleza mambo ya presentation ya china. Wapi wabunge walikokwenda wasipewe rushwa? kIla sehemu hadi ofisi za serikali. Hawa ni watu wapuuzi tu, leo munawaamini! Shenzi kabisa!Mradi wa Hambatota ni mkopo tofauti namradi wa Bagamoyo Special Economic Zone ambao ni uwekezaji wa pamoja kati ya China, Oman na Tanzania ambapo sisi tunatoa ardhi. Kwa vyovyote vile hata mradi ukiwa na hasara sisi hatuhusiki kwenye hiyo hasara. Mada kama hizi ndio zinasababisha wengine tuamini mnaopinga mradi huu hamna akili ya kuchanganua mambo makubwa kama haya ila mnalazimisha msikilizwe japo hamna nguvu ya hoja.
Wewe ndiye ulitakiwa utuwekee hizo articles sasa unatuona kazi tena ya kuzitafuta tukuwekee hapa? Sisi tumeshakubaliana tumwache mama afanye anavyoona inafaa!Watanzania kabla ya kuanza huo mradi wa Bandari ya Bagamoyo naomba tafuteni Articles za LESSON FROM SRI LANKA Hambantota port.
Kama hizo article umezipata please tunaomba uzishare ndani ya huu uzi.
Wabongo mnataka mjidai mnawazidi akili wa SRI LANKA ninyi.
Tunataka siku mkianza kulia tulie sote.
Tafuteni Articles tuanze kusoma
Ile sio bandari tu,kuna fullpackage,ya viwanda pia,kuna hub za technology,kama vile silcon valley ya US,Mchina kakataa kutoa ufadhili wowote kwenye mradi wa SGR, leo anataka apewe bandari afaidi na miundombinu ya SGR ambayo hajagharamia chochote, a big NO....
Mkuu huoni kwamba atapata faida maradufu kupewa umiliki wa ardhi ajenge bandari bure, halafu aje atumie miundombinu ambayo hajagharamia kujenga na aishie kuua bandari zetu ambazo zimekuwa ni chanzo kikubwa cha mapato ya nchi, hivi haya mambo yanawaingia akilini vizuri!? au mnataka kulifanya hili jambo kama ushabiki wa mpira, simba na yanga....Kwamba tatizo ni Mchina kukataa kutoa ufadhili SGR? Kwa hiyo atatutambua?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂!
Too good to be true.
Halafu wazanzibar wanatabia ya uvuvi sana sijui Kama hata anajiridhisha na maamuzi yakeSimwelewi kabisa Rais katika hili sidhani kama anapata muda wa kujiridhisha na maamuzi yake kabla ya kuja public.
Inasikitisha sana, ila hatuna namna tunaweza Fanya zaidi ya kupiga kelele tu, she is in charge, na ukishakalia kile kiti Mzee hasa Kwa nchi zetu za kiafrika unakua sio mtu wa mchezo mchezo,
Only God can intervene.
Achana na propaganda za US,,wazungu wanahofu jinsi china anavyotakeover ifluence duniani na wanafanya juu chini kumharibia,,Unaona hiki kipande hapa kutoka kwenye article inayoelezea Sri Lanka walivyoingia ''choo cha kike?''
''The request was granted in a deal that saw China swap equity in the project for debt, effectively taking over the port and 15,000 acres of surrounding countryside on which to build an industrial zone. In effect, Sri Lanka had to cede control over strategic territory to China in return for debt relief''.
Nilikosea sana kukutambua kama mwenye akili timamu,Ile sio bandari tu,kuna fullpackage,ya viwanda pia,kuna hub za technology,kama vile silcon valley ya US,
Ajira kedekede,technology transfer ya kumwaga,,
Yaani nchi za africa badala ya kufunga mzigo Dubai au china,,wanakuja kufunga mzigo bongoland,,
Gest zitauza mama ntilie,hotels,bar wote watauza,,SGR itapata mzigo wa kusafirisha,,malory nayo hayatakosa kazi maana volume ya mzigo itakua kubwa