Watanzania kabla ya kuanza mradi wa Bandari ya Bagamoyo tafuteni Articles za 'Lesson from Sri Lanka Hambantota Port'

Kubwa jinga ktk ubora wako!!eti ufadhiri , miaka hii kuna nchi inaweza kufadhiri mradi wa matrilion?na kwani inakuwaje donor cantri kulilia ufadhiri wakati unajiweza hahaa!!mataga masalia bwana!!yaani kwa akili yako hii inaonekana hata hujui chochote kitu kwenye mradi huo wa bandari!!Hadi sasa hujaamini kuwa hiyo bandari itajengwa?!pole sana !!nadhani shule mnafungua wiki ijayo sio mbali!!eti china ina eneo kubwa sana kwanini wasijenge huko?daaaa, mwendazake alifanikiwa sana kuwa washbrain !!
 
Kwa uwekezaji huo ulitaka wapewe umiliki wa ardhi kwa miaka mingapi?.
 
Sasa kama hatoi ufadhili bandari anataka ya nini, hiyo project haifanyiki......go to hell!!
 
Huu mkataba wa hivi umeuona wapi?,au ni story za kuokoteza.
 
Haya tueleze interests zetu kama nchi ni zipi?.
 
Mchina kakataa kutoa ufadhili wowote kwenye mradi wa SGR, leo anataka apewe bandari afaidi na miundombinu ya SGR ambayo hajagharamia chochote, a big NO.
Sasa atoe utadhani kwenye mradi wa kijinga Ili iwaje? Toka mwanzo yeye plan yake ilikuwa kufanya miradi yote wa reli na bandari kwa pamoja sasa Magu kapiga chini miradi yote eti mchina atoe mkopo hana ujinga huo hata ningekuwa mimi
 
Kenya kumetokea nini?
 
Hiyo inaathiri nini? Kama ni within contractual sum shida iko wapi? Nikajua inaongeza sum.

Afu sheria za Bongo ndio zinalazimisha lowest bidder ashinde tenda.
 
Hayo maneno wewe umeyatoa wapi? Ardhi bure itakuwa na mipaka gani? Hiyo ardhi ataipeleka China?

Hivyo viwanda na Bandari zitajengwa China au Tzn? Propaganda za kijinga alizowalisha yule mharibifu
 
Hayo maneno wewe umeyatoa wapi? Ardhi bure itakuwa na mipaka gani? Hiyo ardhi ataipeleka China?

Hivyo viwanda na Bandari zitajengwa China au Tzn? Propaganda za kijinga alizowalisha yule mharibifu
Nani kasema hayo? Au ndo unamrefer yule jamaa mwongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…