Watanzania kabla ya kuanza mradi wa Bandari ya Bagamoyo tafuteni Articles za 'Lesson from Sri Lanka Hambantota Port'

Watanzania kabla ya kuanza mradi wa Bandari ya Bagamoyo tafuteni Articles za 'Lesson from Sri Lanka Hambantota Port'

Pumbav kabia, mimi nimeongelea ufadhili siyo mkopo, hatuwezi kumpa bandari afanye magendo yake pasipo sisi kuona kinachoendelea.....hatuko tayari kupoteza tembo wetu, madini na bandari zetu kufa kifo cha mende kisa mchina......china wana eneo kubwa sana la bahari kwa nini wasijenge kwao?
Kubwa jinga ktk ubora wako!!eti ufadhiri , miaka hii kuna nchi inaweza kufadhiri mradi wa matrilion?na kwani inakuwaje donor cantri kulilia ufadhiri wakati unajiweza hahaa!!mataga masalia bwana!!yaani kwa akili yako hii inaonekana hata hujui chochote kitu kwenye mradi huo wa bandari!!Hadi sasa hujaamini kuwa hiyo bandari itajengwa?!pole sana !!nadhani shule mnafungua wiki ijayo sio mbali!!eti china ina eneo kubwa sana kwanini wasijenge huko?daaaa, mwendazake alifanikiwa sana kuwa washbrain !!
 
Nilikosea sana kukutambua kama mwenye akili timamu,

Ipo hivi,

Wanajenga bandari,

Watamiliki Ardhi Kwa 99 years.

Haturuhusiwi kuendeleza bandari nyingine yeyote wala kujenga miundombinu yeyote kuzunguka bandari zetu.

Watacontrol mapato kwa muda wote huo.

Watajenga viwanda 190.

Halafu fedha za kujenga hiyo bandari tutawalipa.

Sasa sijui tutatoa wapi fedha za kuwalipa kama mapato yote wanachukua wao.

Hivi una akili kweli wewe??
Kwa uwekezaji huo ulitaka wapewe umiliki wa ardhi kwa miaka mingapi?.
 
Kubwa jinga ktk ubora wako!!eti ufadhiri , miaka hii kuna nchi inaweza kufadhiri mradi wa matrilion?na kwani inakuwaje donor cantri kulilia ufadhiri wakati unajiweza hahaa!!mataga masalia bwana!!yaani kwa akili yako hii inaonekana hata hujui chochote kitu kwenye mradi huo wa bandari!!Hadi sasa hujaamini kuwa hiyo bandari itajengwa?!pole sana !!nadhani shule mnafungua wiki ijayo sio mbali!!eti china ina eneo kubwa sana kwanini wasijenge huko?daaaa, mwendazake alifanikiwa sana kuwa washbrain !!
Sasa kama hatoi ufadhili bandari anataka ya nini, hiyo project haifanyiki......go to hell!!
 
Mchanga utakaojaa chini ya majibya bandali kwa kipindincha miaka 30 tanzania ndo itakuwa inatoa huo mchanga kwa ghalama zake,, na kama hao watapata hasara tofauti na malengo yao tunatakiwa kufidia hiyo pesa ingawa hatupati kitu kwa hiyo miaka je hapo ni sawa?
Huu mkataba wa hivi umeuona wapi?,au ni story za kuokoteza.
 
Una envision achievements ambazo hazipo ndani ya uwezo na mamlaka yako, unademka na ngoma ambayo hujui undani wake. Kama huo uwekezaji una reflect interest zake za kibiashara ni kwa kiasi gani interest zake zina match na interest zetu na maslahi yetu kama nchi, and how realistic are those...
Haya tueleze interests zetu kama nchi ni zipi?.
 
Mchina kakataa kutoa ufadhili wowote kwenye mradi wa SGR, leo anataka apewe bandari afaidi na miundombinu ya SGR ambayo hajagharamia chochote, a big NO.
Sasa atoe utadhani kwenye mradi wa kijinga Ili iwaje? Toka mwanzo yeye plan yake ilikuwa kufanya miradi yote wa reli na bandari kwa pamoja sasa Magu kapiga chini miradi yote eti mchina atoe mkopo hana ujinga huo hata ningekuwa mimi
 
Kwa kilichotokea kwenye nchi kama zambia na kenya ni wazi wachina wapo rough sana kwenye kuheshimu mikataba, ni bora kumwamini mzungu kwenye mikataba kuliko mchina........they always have an evil intention na wapo radhi kutoa rushwa kubwa kubwa kwa viongozi na wanasiasa.....
Kenya kumetokea nini?
 
Macho madogo wanaongoza Kwa dubious deals.

Kwa mfano hapa nyumbani ikitokea tenda ya ujenzi

Wana bid the lowest,

Unakuta kampuni kama nne zote zao halafu bid Yao ipo chini na Wana vifaa na wataalam,

Wakishaingia kwenye mradi wanaanza kufanya variation kupita the agreed contractual sum.

Sasa Hawa ndio tunawachekea na ndio eti tunaignore all the red flags na kuresume talks.

Hapa tunakwenda kuchunwa ngozi mchana kweupe.
Hiyo inaathiri nini? Kama ni within contractual sum shida iko wapi? Nikajua inaongeza sum.

Afu sheria za Bongo ndio zinalazimisha lowest bidder ashinde tenda.
 
Mkuu huoni kwamba atapata faida maradufu kupewa umiliki wa ardhi ajenge bandari bure, halafu aje atumie miundombinu ambayo hajagharamia kujenga na aishie kuua bandari zetu ambazo zimekuwa ni chanzo kikubwa cha mapato ya nchi, hivi haya mambo yanawaingia akilini vizuri!? au mnataka kulifanya hili jambo kama ushabiki wa mpira, simba na yanga....
Hayo maneno wewe umeyatoa wapi? Ardhi bure itakuwa na mipaka gani? Hiyo ardhi ataipeleka China?

Hivyo viwanda na Bandari zitajengwa China au Tzn? Propaganda za kijinga alizowalisha yule mharibifu
 
Mkuu huoni kwamba atapata faida maradufu kupewa umiliki wa ardhi ajenge bandari bure, halafu aje atumie miundombinu ambayo hajagharamia kujenga na aishie kuua bandari zetu ambazo zimekuwa ni chanzo kikubwa cha mapato ya nchi, hivi haya mambo yanawaingia akilini vizuri!? au mnataka kulifanya hili jambo kama ushabiki wa mpira, simba na yanga....
Hayo maneno wewe umeyatoa wapi? Ardhi bure itakuwa na mipaka gani? Hiyo ardhi ataipeleka China?

Hivyo viwanda na Bandari zitajengwa China au Tzn? Propaganda za kijinga alizowalisha yule mharibifu
Mchanga utakaojaa chini ya majibya bandali kwa kipindincha miaka 30 tanzania ndo itakuwa inatoa huo mchanga kwa ghalama zake,, na kama hao watapata hasara tofauti na malengo yao tunatakiwa kufidia hiyo pesa ingawa hatupati kitu kwa hiyo miaka je hapo ni sawa?
Nani kasema hayo? Au ndo unamrefer yule jamaa mwongo?
 
Back
Top Bottom