UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Kama china anataka kuifanya Tanzania a strategic investment area kwa ajili ya maslahi yake ya kibiashara kwenye eneo la afrika haiwezi kuwa kwa ujanja ujanja, lazima hiyo mikataba iwekwe wazi ambayo ina reflect interest na maslahi yetu kama nchi kwenye huo uwekezaji, full stop.Mlidanganywa eti sijui mchina kaikamata zambia,mara kenya,na sasa sri lanka,,na wala watu hawajishughulishi kufuatilia kama ni kweli sasa sri lanka imefiliska na bandari imekamatwa,na kwamba wanakufa njaa na wanaishi kwa misaada ya UN,,
Sure,huwezi tegemea mtu atoe dola bilioni 10,akujengee bandari kisha aende zake,,
Lazima kutakuwa na process anafaidika,ikiwemo kuwa na infrastructure ya kuuza bidhaa zake,,
Lakini kama viwanda baadhi vitahamia huku,tuna advantage kubwa ya ajira na Technology transfer,kodi etc
Kwa taarifa yako waliotoa mkopo wa kujenga hiyoMchina kakataa kutoa ufadhili wowote kwenye mradi wa SGR, leo anataka apewe bandari afaidi na miundombinu ya SGR ambayo hajagharamia chochote, a big NO....
KAma unaufahamu, sema yote. tulisikia suala la miaka 99, kutotaka kuingiliwa na serikali, kulipa wakishapata faida- sijui tutajuaje kama wamepata wakati hawataki kuingiliwa, n.k fafanueni yote. Siyo kutueleza mambo ya presentation ya china. Wapi wabunge walikokwenda wasipewe rushwa? kIla sehemu hadi ofisi za serikali. Hawa ni watu wapuuzi tu,
Mchanga utakaojaa chini ya majibya bandali kwa kipindincha miaka 30 tanzania ndo itakuwa inatoa huo mchanga kwa ghalama zake,, na kama hao watapata hasara tofauti na malengo yao tunatakiwa kufidia hiyo pesa ingawa hatupati kitu kwa hiyo miaka je hapo ni sawa?
mchanga upi? Halafu usichokijua bandari ni sehemu tu ya mradi kuna viwanda na mradi wa tehama l pia! Mradi wa BSEZ ni Ukanda wa kiuchumi sio bandari tu nduguMchanga utakaojaa chini ya majibya bandali kwa kipindincha miaka 30 tanzania ndo itakuwa inatoa huo mchanga kwa ghalama zake,, na kama hao watapata hasara tofauti na malengo yao tunatakiwa kufidia hiyo pesa ingawa hatupati kitu kwa hiyo miaka je hapo ni sawa?
Yaani uletwe mkataba nyumbani kwako au?Siyo kila kitu ni kampeni za uchaguzi. Leta mkataba hapa uchambuliwe kwa kuwa tayri tulishaumizwa, na kwa kuw akwa sasa hatuna bunge, au la kaa kimya!
Mtu akibwatuka hivi huwa naconclude kuwa huyo atakuwa ni bavicha tu,maana matusi ni moja ya nguzo ya chama chaoUtakuwa menaje wa kampuni ya kuchakata kinyesi kama hujui chochote juu wa uwekezaji wa Syri Lanka na bagamoyo
Achana nae huyo.....Ongea kwa hoja mkuu, kuwa watu wanataka kuelewa maoni yako na mawazo yako.
Mchina anajenga miundo mbinu duniani kote,,sema alitaka kuipendelea Tz sababu ya special relationship,,uhusiano wa china na Tz ni kana uhusiano wa US na UK,,,special relationshipKama china anataka kuifanya Tanzania a strategic investment area kwa ajili ya maslahi yake ya kibiashara kwenye eneo la afrika haiwezi kuwa kwa ujanja ujanja, lazima hiyo mikataba iwekwe wazi ambayo ina reflect interest na maslahi yetu kama nchi kwenye huo uwekezaji, full stop.
Kifungu hatari sana hiki....Unaona hiki kipande hapa kutoka kwenye article inayoelezea Sri Lanka walivyoingia ''choo cha kike?''
''The request was granted in a deal that saw China swap equity in the project for debt, effectively taking over the port and 15,000 acres of surrounding countryside on which to build an industrial zone. In effect, Sri Lanka had to cede control over strategic territory to China in return for debt relief''.
Naweza kuelewa china anacholenga kwenye uwekezaji huo na mahusiano ya kihistoria yaliyopo, lakini isiwe kwa mikataba ya kiujanja ujanja maana tunaweza tusiathirike tuliopo leo, wakaja kuumia vizazi vinavyokuja....Mchina anajenga miundo mbinu duniani kote,,sema alitaka kuipendelea Tz sababu ya special relationship,,uhusiano wa china na Tz ni kana uhusiano wa US na UK,,,special relationship
Wanafanya Outsourcing,,hiyo ni kawaida,pia mradi huu ni partinership ya china,Oman na Tanzania,,watanzania wanachangia location,,,hii ina maana wataslamu wao wameona ile location ndo iko ki stragegy zaidi,maana karibu na south africa east and central Africa,na ndipo wanalenga kukamata soko,wangeweza kuweka kismayu,,ila sasa inakua mbali kidogo na nchi za kusini na nchi kama congo,angola etc.Hata hilo la kiwanda bado siifaham mamana china hawezi kutengezeneza kiwanda vya kushindanan na viwanda vya nyumbani
Masalia ya mwendazakeNilikosea sana kukutambua kama mwenye akili timamu,
Ipo hivi,
Wanajenga bandari,
Watamiliki Ardhi Kwa 99 years.
Haturuhusiwi kuendeleza bandari nyingine yeyote wala kujenga miundombinu yeyote kuzunguka bandari zetu.
Watacontrol mapato kwa muda wote huo.
Watajenga viwanda 190.
Halafu fedha za kujenga hiyo bandari tutawalipa.
Sasa sijui tutatoa wapi fedha za kuwalipa kama mapato yote wanachukua wao.
Hivi una akili kweli wewe??
Halafu wachina walivyo, watatia fitna na kuua milango mingine yote ili ategemewe yeye tu katika hilo lango moja.Wewe unadhani kuwapa watu lango la kuingia nyumbani kwako walijenge halafu walimiki na kuliendesha ndiyo bora? Si
Pumbaf weee!Kwa taarifa yako waliotoa mkopo wa kujenga hiyo
mchanga upi? Halafu usichokijua bandari ni sehemu tu ya mradi kuna viwanda na mradi wa tehama l pia! Mradi wa BSEZ ni Ukanda wa kiuchumi sio bandari tu ndugu
Mkuu huoni kwamba atapata faida maradufu kupewa umiliki wa ardhi ajenge bandari bure, halafu aje atumie miundombinu ambayo hajagharamia kujenga na aishie kuua bandari zetu ambazo zimekuwa ni chanzo kikubwa cha mapato ya nchi, hivi haya mambo yanawaingia akilini vizuri!? au mnataka kulifanya hili jambo kama ushabiki wa mpira, simba na yanga....
Nami naanza kuona umuhimu wa sara ili Mungu aingilie kati. Huyu mama ni tatizo. Elimu ya hapa na pale hiyo!Simwelewi kabisa Rais katika hili sidhani kama anapata muda wa kujiridhisha na maamuzi yake kabla ya kuja public.
Inasikitisha sana, ila hatuna namna tunaweza Fanya zaidi ya kupiga kelele tu, she is in charge, na ukishakalia kile kiti Mzee hasa Kwa nchi zetu za kiafrika unakua sio mtu wa mchezo mchezo,
Only God can intervene.
And you can see, china atataka aitumie hiyo bandari kwa ku-import na ku-export malighafi na bidhaa at the blind spot kutoka kwenye mamlaka za nchi, maslahi ya kiusalama na kibiashara ya nchi yanakaaje kama ata-operate bila scrutiny ya mamlaka za nchi ukizingatia historia ya china kwenye maswala ya uharamia wa rasilimali za wanyama kama tembo na madili ya rasilimali za madini nk......tatizo kuna watu mnaichukulia china ya leo na ile ya mzee Mao na mwl. Nyerere.....
HIzo ni sababu za watu wazembe maana ni hao wachina ambao walipewa SGR ya kuelekea Isaka.Mkuu, labda kama utakuwa hukunielewa kabisa. Tambua kuwa:
1. Ninatambua kuwa kulikuwa miradi wa bandari ya Bagamoyo ulioasisiwa na JK awamu #4.
2. Ninatambua pia kuwa mradi huo ulipigwa munda "unceremoniously" na JPM awamu #5.
3. Mimi na wewe hatujui contents za mradi ule.
4. Ninakusoma wewe vyema kwa nini mradi ulipigwa chini.
5. Sizikatai sababu ulizozitoa, ila tu ninakwenda mbele kukuunga mkono kwa mshangao kuwa, kwamba inawezekana je?
View attachment 1832409
Kwamba kwa mujibu wako JPM aliamua kuwakomoa wachina kwa kuuzima mradi wote kwa sababu tu hawakuwa wamevutiwa na mradi wa SGR?
Hebu zirejelee kuona kama sababu hizo siyo za kitoto kabisa?!
Huyu jamaa alitumbuliwa bure tu, kumbe kichwa chake kimetulia namna hii.....