Meneja Wa Makampuni is obvious wewe unaijua kwa kina Artcles za Hambantota port nadhani ingekuwq busara na msaada kama ungeeleza kwa kifupi juu ya artcles hizo ili basi mtu akiwa anazitafuta awe aware japo kwa uchache na kiu ya kujua zaidi itaanzia hapo.Watanzania kabla ya kuanza huo mradi wa Bandari ya Bagamoyo naomba tafuteni Articles za LESSON FROM SRI LANKA Hambantota port.
Kama hizo article umezipata please tunaomba uzishare ndani ya huu uzi.
Wabongo mnataka mjidai mnawazidi akili wa Sri Lanka ninyi.
Tunataka siku mkianza kulia tulie sote.
Tafuteni Articles tuanze kusoma
Haaahaaaa Kwa English hii utaweza kuelewa hata hiyo article ya Lessons from Hambantota!?You don't know research, don't talk to me fool.
Mkuu,Watanzania kabla ya kuanza huo mradi wa Bandari ya Bagamoyo naomba tafuteni Articles za LESSON FROM SRI LANKA Hambantota port.
Kama hizo article umezipata please tunaomba uzishare ndani ya huu uzi.
Wabongo mnataka mjidai mnawazidi akili wa Sri Lanka ninyi.
Tunataka siku mkianza kulia tulie sote.
Tafuteni Articles tuanze kusoma
Lessons from Sri Lanka on China's 'debt-trap diplomacy' - ISS AfricaMacho madogo wanaongoza Kwa dubious deals.
Kwa mfano hapa nyumbani ikitokea tenda ya ujenzi
Wana bid the lowest,
Unakuta kampuni kama nne zote zao halafu bid Yao ipo chini na Wana vifaa na wataalam,
Wakishaingia kwenye mradi wanaanza kufanya variation kupita the agreed contractual sum.
Sasa Hawa ndio tunawachekea na ndio eti tunaignore all the red flags na kuresume talks.
Hapa tunakwenda kuchunwa ngozi mchana kweupe.
huyu mama tusipokua makini atakua worse thancasco da gama mark this tweet....Ni kama kuna mtu nyuma yake ameshikilia kamba hiviImetolewa mifano ya miradi iliyo iliyofeli na kupelekea matatizo makubwa kwa nchi husika sababu ya mikataba mibovu. Viongozi na wataalam wetu wajifunze kutoka nchi zilizopata changamoto hizo ili wanapoingia mikataba kwa ajili ya miradi mkakati kama hiyo wahakikishe makosa yaliyofanywa na nchi hizo yanaepukwa ili kuliletea tija taifa letu. Tusifanye makosa kama hayo kwa ajili ya ufanisi wa taifa letu.
@Statesman ,taasisi inayopaswa kusimamia mikataba ni bunge. CCM mlifurahi kulifanya bunge kuwa kibogoyo kwa kupeleka watu "incompetent" kule ndani.Macho madogo wanaongoza Kwa dubious deals.
Kwa mfano hapa nyumbani ikitokea tenda ya ujenzi
Wana bid the lowest,
Unakuta kampuni kama nne zote zao halafu bid Yao ipo chini na Wana vifaa na wataalam,
Wakishaingia kwenye mradi wanaanza kufanya variation kupita the agreed contractual sum.
Sasa Hawa ndio tunawachekea na ndio eti tunaignore all the red flags na kuresume talks.
Hapa tunakwenda kuchunwa ngozi mchana kweupe.
wauza micundu mnazingua sana.Kuna thread humu imefafanua vizuri kwa kupangua propaganda za babu yenu mwendakuzimu we ufukunyue tu utaelewa.
huyu bibi ndio hapa ananichanganya kama yuko makini na hatua zake sawa sawa!!!Sisi tuna bahati moja. Kuna nchi nyingine zimefanya makosa, zikajikuta zime-surrender vipande vya ardhi China hivyo tumeshajua hawa jamaa siyo watu wazuri. Lakini ajabu naona mama Samia ndiyo yuko mbele kuwakumbatia. Tutakuja kujuta sana.
Huyu msenge anaonekana muongo tu kwa hizi ngonjera anazopiga hapa kwanza maneno anayatafuta kichizi yaniππππAta wale waliopo bungeni wanaushadsdia kwasababu walienda ziara siku 21 huko nje na wapo kwenye kamati ya miundombinu wakalishwa presentation ya nusu saa hivi then wakapitishiwa mlungula ndiyo waliporudi kila mtu anantaka uendelee ule mradi alafu wanasema Wachina wanataka kuisadia nchi yetu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahah nimecheka kisenge maamae,,,et wauza βmicunduβwauza micundu mnazingua sana.
halafu mama anajivunia nyinyi daaah[emoji848][emoji848][emoji848]
kwahiyo mtu atoe $10bln halafu aruhusu ushindani wa bandari nyingine!!!Mlidanganywa eti sijui mchina kaikamata zambia,mara kenya,na sasa sri lanka,,na wala watu hawajishughulishi kufuatilia kama ni kweli sasa sri lanka imefiliska na bandari imekamatwa,na kwamba wanakufa njaa na wanaishi kwa misaada ya UN,,
Sure,huwezi tegemea mtu atoe dola bilioni 10,akujengee bandari kisha aende zake,,
Lazima kutakuwa na process anafaidika,ikiwemo kuwa na infrastructure ya kuuza bidhaa zake,,
Lakini kama viwanda baadhi vitahamia huku,tuna advantage kubwa ya ajira na Technology transfer,kodi etc
Huyu msenge muongo huyu hapo tumeshapigwa mamaye nadhiri inamsuta maneno anayatafuta kinoma πππ kashapiga hela za kina Fei Ling Hu anakuja kutusokota kisiasa!Huyu anajisifia kwamba wachina wamemuona ni unique na wamempenda tutamwamini vipi kama hakupewa mlungura? Isitoshe hata kujieleza kwake ni kwa kibabaishaji anajiita Prof. Mbona yuko shallow katika kujieleza, amemsifia Mwendazake wakati Mwendazake mwenyewe alisema bandari ya Bagamoyo ina harufu ya dhuruma.
mkuu yaani nina kitu kimenikaba kooni,mpaka naumwa.Hahahahahah nimecheka kisenge maamae,,,et wauza βmicunduβ
Mkataba uwekwe wazi wote (warts and all terms and conditions and small prints). Hakuna mkataba mzuri wenye manufaa kwa Mtanzania, utakao pingwa na Majority ya Watanzania.Watanzania kabla ya kuanza huo mradi wa Bandari ya Bagamoyo naomba tafuteni Articles za LESSON FROM SRI LANKA Hambantota port.
Kama hizo article umezipata please tunaomba uzishare ndani ya huu uzi.
Wabongo mnataka mjidai mnawazidi akili wa Sri Lanka ninyi.
Tunataka siku mkianza kulia tulie sote.
Tafuteni Articles tuanze kusoma
Hii kitu imekaa shapeless kama Amoeba! Mkataba umekaa kimatako matako zaidi!mkuu yaani nina kitu kimenikaba kooni,mpaka naumwa.
kuna watu wanaunga haya sababu mama ni mwislamu mwenzao[emoji16]
kuna watu wanaunga haya sababu mwendazake aliwanyanyasa sana,kwahiyo wanamkomoa[emoji1787]
kuna watu wanaunga haya sababu wana % zao kwenye huo uwekezaji.
kuna watu wanaunga haya sababu,wanaamini inakwenda kuwa tz mpya,ya maendeleo na uwekezaji[emoji16]
kinachonisikitisha ni kwamba siku mambo yakiharibika kila mtu ataruka kimanga,ukichunguza hili swala hata wachambuzi wazito wa haya maswala na wapinzani wa kweli wamezubaa wasijue ni kipi kinaendelea mpaka sasa.
Maslahi mapana yatakuwa kwa familia za viongozi ambao wanaenda kuubariki huo mradi! Wengine tegemeeni kuwa vibarua tu πππMkataba uwekwe wazi wote (warts and all terms and conditions and small prints). Hakuna mkataba mzuri wenye manufaa kwa Mtanzania, utakao pingwa na Majority ya Watanzania.
Switzeland wana utaratibu wa kupiga kura kwa mambo yote makubwa, ya msingi ya taifa. Hili ni jambo kubwa, la msingi sana.
Ni muhimu kujua kama usimamizi, ukaguzi, kodi, Bandari za Dar, Tanga, Mtwara zitaathirika kufaidika vipi? Zitakufa?
Miaka mingapi wanapewa kuimiliki, ajira ngapi zitakuwa kwa Watanzania, deni (kama litakuwepo), upande mmoja ukikiuka, ukivunja masharti / makubaliano nani atakuwa msuluhishi, adhabu gani zitahusika. Who is going to enforce those penalties.
Rushwa, mikataba mibovu inazibitiwa vipi? Miradi yote mikubwa huwa kuna risks kubwa sana rushwa kukithiri.
Kukiwa na uwazi unaweza kupunguza Rushwa.
Mwanga (uwazi) hufukuza giza ( rushwa, mikataba mibovu, upigaji).
Hii issue iangaliwe kwa maslahi mapana ya Taifa, na vizazi vijavyo.
Kila siku naliombea taifa, Mungu asaidie majitu majinga jinga kama hili yapungue lkn cha ajabu yanazidi kuongezeka, we mpumbavu kasachi uzi wa bandari ijengwe au isijengwe? Mule kuna madini yamechambuliwa we kasome page zote 17 naamini akili yako itafunguka upya jinga wewe.wauza micundu mnazingua sana.
halafu mama anajivunia nyinyi daaah[emoji848][emoji848][emoji848]