Watanzania kabla ya kuanza mradi wa Bandari ya Bagamoyo tafuteni Articles za 'Lesson from Sri Lanka Hambantota Port'

Watanzania kabla ya kuanza mradi wa Bandari ya Bagamoyo tafuteni Articles za 'Lesson from Sri Lanka Hambantota Port'

Watanzania kabla ya kuanza huo mradi wa Bandari ya Bagamoyo naomba tafuteni Articles za LESSON FROM SRI LANKA Hambantota port.

Kama hizo article umezipata please tunaomba uzishare ndani ya huu uzi.

Wabongo mnataka mjidai mnawazidi akili wa Sri Lanka ninyi.

Tunataka siku mkianza kulia tulie sote.

Tafuteni Articles tuanze kusoma
Meneja Wa Makampuni is obvious wewe unaijua kwa kina Artcles za Hambantota port nadhani ingekuwq busara na msaada kama ungeeleza kwa kifupi juu ya artcles hizo ili basi mtu akiwa anazitafuta awe aware japo kwa uchache na kiu ya kujua zaidi itaanzia hapo.
 
You don't know research, don't talk to me fool.
Haaahaaaa Kwa English hii utaweza kuelewa hata hiyo article ya Lessons from Hambantota!?

Tatizo lenu waTZ ni mawazo hasi..... Miradi ya kichina iliyofaulu ni maelfu na mingine hiko hapa TZ ila mkichukua mifano mpka mtafute waliofeli.

EXIM inatudai matrillion ila sijasikia wameenda kukamata TAZARA au SGR!! Ila ikija kwenye bandari ooh watatupora? Kwani bandari ni kibanda kwamba ukijiskia tu unapora??

We kimbia tu na english yako mbovu lakini ujumbe wangu ni kwamba "we learn from victors not failures".
 
Watanzania kabla ya kuanza huo mradi wa Bandari ya Bagamoyo naomba tafuteni Articles za LESSON FROM SRI LANKA Hambantota port.

Kama hizo article umezipata please tunaomba uzishare ndani ya huu uzi.

Wabongo mnataka mjidai mnawazidi akili wa Sri Lanka ninyi.

Tunataka siku mkianza kulia tulie sote.

Tafuteni Articles tuanze kusoma
Mkuu,

Wewe ndiye ulitakiwa kutuwekea kiungo cha njia (link) ya kupata hizo 'articles' kutoka Sri Lanka Port
Link:
a) How China Got Sri Lanka to Cough Up a Port (Published 2018)
b) The Hambantota Port Deal: Myths and Realities
c) Sri Lanka not renegotiating port lease deal with China, envoy says
 
Unajua wezi wanapotosha sana kuwa mradi umekataliwa kwa sababu ya faida za mradi ..lakini ukweli ni kwàmba unaokataliwa ni mkataba wa kuanzisha na kuendesha mradi...kiufupi mradi huu ni sawa na kuuza kipande cha ardhi kwa nchi nyingine...Oman imeingizwa kimkakati ili ubaradhuli na malengo ya China ufichike..
 
Imetolewa mifano ya miradi iliyo iliyofeli na kupelekea matatizo makubwa kwa nchi husika sababu ya mikataba mibovu. Viongozi na wataalam wetu wajifunze kutoka nchi zilizopata changamoto hizo ili wanapoingia mikataba kwa ajili ya miradi mkakati kama hiyo wahakikishe makosa yaliyofanywa na nchi hizo yanaepukwa ili kuliletea tija taifa letu. Tusifanye makosa kama hayo kwa ajili ya ufanisi wa taifa letu.
 
Macho madogo wanaongoza Kwa dubious deals.

Kwa mfano hapa nyumbani ikitokea tenda ya ujenzi

Wana bid the lowest,

Unakuta kampuni kama nne zote zao halafu bid Yao ipo chini na Wana vifaa na wataalam,

Wakishaingia kwenye mradi wanaanza kufanya variation kupita the agreed contractual sum.

Sasa Hawa ndio tunawachekea na ndio eti tunaignore all the red flags na kuresume talks.

Hapa tunakwenda kuchunwa ngozi mchana kweupe.
Lessons from Sri Lanka on China's 'debt-trap diplomacy' - ISS Africa
 
Imetolewa mifano ya miradi iliyo iliyofeli na kupelekea matatizo makubwa kwa nchi husika sababu ya mikataba mibovu. Viongozi na wataalam wetu wajifunze kutoka nchi zilizopata changamoto hizo ili wanapoingia mikataba kwa ajili ya miradi mkakati kama hiyo wahakikishe makosa yaliyofanywa na nchi hizo yanaepukwa ili kuliletea tija taifa letu. Tusifanye makosa kama hayo kwa ajili ya ufanisi wa taifa letu.
huyu mama tusipokua makini atakua worse thancasco da gama mark this tweet....Ni kama kuna mtu nyuma yake ameshikilia kamba hivi
 
Macho madogo wanaongoza Kwa dubious deals.

Kwa mfano hapa nyumbani ikitokea tenda ya ujenzi

Wana bid the lowest,

Unakuta kampuni kama nne zote zao halafu bid Yao ipo chini na Wana vifaa na wataalam,

Wakishaingia kwenye mradi wanaanza kufanya variation kupita the agreed contractual sum.

Sasa Hawa ndio tunawachekea na ndio eti tunaignore all the red flags na kuresume talks.

Hapa tunakwenda kuchunwa ngozi mchana kweupe.
@Statesman ,taasisi inayopaswa kusimamia mikataba ni bunge. CCM mlifurahi kulifanya bunge kuwa kibogoyo kwa kupeleka watu "incompetent" kule ndani.
 
Kuna thread humu imefafanua vizuri kwa kupangua propaganda za babu yenu mwendakuzimu we ufukunyue tu utaelewa.
wauza micundu mnazingua sana.

halafu mama anajivunia nyinyi daaah[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Sisi tuna bahati moja. Kuna nchi nyingine zimefanya makosa, zikajikuta zime-surrender vipande vya ardhi China hivyo tumeshajua hawa jamaa siyo watu wazuri. Lakini ajabu naona mama Samia ndiyo yuko mbele kuwakumbatia. Tutakuja kujuta sana.
huyu bibi ndio hapa ananichanganya kama yuko makini na hatua zake sawa sawa!!!
 
Ata wale waliopo bungeni wanaushadsdia kwasababu walienda ziara siku 21 huko nje na wapo kwenye kamati ya miundombinu wakalishwa presentation ya nusu saa hivi then wakapitishiwa mlungula ndiyo waliporudi kila mtu anantaka uendelee ule mradi alafu wanasema Wachina wanataka kuisadia nchi yetu!

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyu msenge anaonekana muongo tu kwa hizi ngonjera anazopiga hapa kwanza maneno anayatafuta kichizi yani😂😂😂😂
 
Mlidanganywa eti sijui mchina kaikamata zambia,mara kenya,na sasa sri lanka,,na wala watu hawajishughulishi kufuatilia kama ni kweli sasa sri lanka imefiliska na bandari imekamatwa,na kwamba wanakufa njaa na wanaishi kwa misaada ya UN,,
Sure,huwezi tegemea mtu atoe dola bilioni 10,akujengee bandari kisha aende zake,,
Lazima kutakuwa na process anafaidika,ikiwemo kuwa na infrastructure ya kuuza bidhaa zake,,
Lakini kama viwanda baadhi vitahamia huku,tuna advantage kubwa ya ajira na Technology transfer,kodi etc
kwahiyo mtu atoe $10bln halafu aruhusu ushindani wa bandari nyingine!!!

acheni dharau na pesa za watu,kwa kupenda kwenu dezo.
 
Huyu anajisifia kwamba wachina wamemuona ni unique na wamempenda tutamwamini vipi kama hakupewa mlungura? Isitoshe hata kujieleza kwake ni kwa kibabaishaji anajiita Prof. Mbona yuko shallow katika kujieleza, amemsifia Mwendazake wakati Mwendazake mwenyewe alisema bandari ya Bagamoyo ina harufu ya dhuruma.
Huyu msenge muongo huyu hapo tumeshapigwa mamaye nadhiri inamsuta maneno anayatafuta kinoma 😂😂😂 kashapiga hela za kina Fei Ling Hu anakuja kutusokota kisiasa!
 
Hahahahahah nimecheka kisenge maamae,,,et wauza “micundu”
mkuu yaani nina kitu kimenikaba kooni,mpaka naumwa.

kuna watu wanaunga haya sababu mama ni mwislamu mwenzao[emoji16]

kuna watu wanaunga haya sababu mwendazake aliwanyanyasa sana,kwahiyo wanamkomoa[emoji1787]

kuna watu wanaunga haya sababu wana % zao kwenye huo uwekezaji.

kuna watu wanaunga haya sababu,wanaamini inakwenda kuwa tz mpya,ya maendeleo na uwekezaji[emoji16]

kinachonisikitisha ni kwamba siku mambo yakiharibika kila mtu ataruka kimanga,ukichunguza hili swala hata wachambuzi wazito wa haya maswala na wapinzani wa kweli wamezubaa wasijue ni kipi kinaendelea mpaka sasa.
 
Watanzania kabla ya kuanza huo mradi wa Bandari ya Bagamoyo naomba tafuteni Articles za LESSON FROM SRI LANKA Hambantota port.

Kama hizo article umezipata please tunaomba uzishare ndani ya huu uzi.

Wabongo mnataka mjidai mnawazidi akili wa Sri Lanka ninyi.

Tunataka siku mkianza kulia tulie sote.

Tafuteni Articles tuanze kusoma
Mkataba uwekwe wazi wote (warts and all terms and conditions and small prints). Hakuna mkataba mzuri wenye manufaa kwa Mtanzania, utakao pingwa na Majority ya Watanzania.

Switzeland wana utaratibu wa kupiga kura kwa mambo yote makubwa, ya msingi ya taifa. Hili ni jambo kubwa, la msingi sana.

Ni muhimu kujua kama usimamizi, ukaguzi, kodi, Bandari za Dar, Tanga, Mtwara zitaathirika kufaidika vipi? Zitakufa?

Miaka mingapi wanapewa kuimiliki, ajira ngapi zitakuwa kwa Watanzania, deni (kama litakuwepo), upande mmoja ukikiuka, ukivunja masharti / makubaliano nani atakuwa msuluhishi, adhabu gani zitahusika. Who is going to enforce those penalties.

Rushwa, mikataba mibovu inazibitiwa vipi? Miradi yote mikubwa huwa kuna risks kubwa sana rushwa kukithiri.

Kukiwa na uwazi unaweza kupunguza Rushwa.
Mwanga (uwazi) hufukuza giza ( rushwa, mikataba mibovu, upigaji).

Hii issue iangaliwe kwa maslahi mapana ya Taifa, na vizazi vijavyo.
 
mkuu yaani nina kitu kimenikaba kooni,mpaka naumwa.

kuna watu wanaunga haya sababu mama ni mwislamu mwenzao[emoji16]

kuna watu wanaunga haya sababu mwendazake aliwanyanyasa sana,kwahiyo wanamkomoa[emoji1787]

kuna watu wanaunga haya sababu wana % zao kwenye huo uwekezaji.

kuna watu wanaunga haya sababu,wanaamini inakwenda kuwa tz mpya,ya maendeleo na uwekezaji[emoji16]

kinachonisikitisha ni kwamba siku mambo yakiharibika kila mtu ataruka kimanga,ukichunguza hili swala hata wachambuzi wazito wa haya maswala na wapinzani wa kweli wamezubaa wasijue ni kipi kinaendelea mpaka sasa.
Hii kitu imekaa shapeless kama Amoeba! Mkataba umekaa kimatako matako zaidi!
 
Mkataba uwekwe wazi wote (warts and all terms and conditions and small prints). Hakuna mkataba mzuri wenye manufaa kwa Mtanzania, utakao pingwa na Majority ya Watanzania.

Switzeland wana utaratibu wa kupiga kura kwa mambo yote makubwa, ya msingi ya taifa. Hili ni jambo kubwa, la msingi sana.

Ni muhimu kujua kama usimamizi, ukaguzi, kodi, Bandari za Dar, Tanga, Mtwara zitaathirika kufaidika vipi? Zitakufa?

Miaka mingapi wanapewa kuimiliki, ajira ngapi zitakuwa kwa Watanzania, deni (kama litakuwepo), upande mmoja ukikiuka, ukivunja masharti / makubaliano nani atakuwa msuluhishi, adhabu gani zitahusika. Who is going to enforce those penalties.

Rushwa, mikataba mibovu inazibitiwa vipi? Miradi yote mikubwa huwa kuna risks kubwa sana rushwa kukithiri.

Kukiwa na uwazi unaweza kupunguza Rushwa.
Mwanga (uwazi) hufukuza giza ( rushwa, mikataba mibovu, upigaji).

Hii issue iangaliwe kwa maslahi mapana ya Taifa, na vizazi vijavyo.
Maslahi mapana yatakuwa kwa familia za viongozi ambao wanaenda kuubariki huo mradi! Wengine tegemeeni kuwa vibarua tu 😂😂😂
 
wauza micundu mnazingua sana.

halafu mama anajivunia nyinyi daaah[emoji848][emoji848][emoji848]
Kila siku naliombea taifa, Mungu asaidie majitu majinga jinga kama hili yapungue lkn cha ajabu yanazidi kuongezeka, we mpumbavu kasachi uzi wa bandari ijengwe au isijengwe? Mule kuna madini yamechambuliwa we kasome page zote 17 naamini akili yako itafunguka upya jinga wewe.
 
Mwenye uwezo wa kuifanya si tu Tanzania bali Afrika nzima ipige hatua ni mwafrika mwenyewe ni pale tu tutakapobadili fikra toka utegemezi na ubadhirifu(upigaji). Viongozi wetu hakuna kitu wanafikiria zaidi ya mikopo na kujineemesha wenyewe. Pamoja na ripoti zooote zilizopo juu ya madhara ya mikataba ya aina hii lakini bado tu tunang'ang'ana.
 
Back
Top Bottom