Watanzania kabla ya kuanza mradi wa Bandari ya Bagamoyo tafuteni Articles za 'Lesson from Sri Lanka Hambantota Port'

Watanzania kabla ya kuanza mradi wa Bandari ya Bagamoyo tafuteni Articles za 'Lesson from Sri Lanka Hambantota Port'

N

ndio maana nikasema we ni lipumbavu huna akili, unataka biashara ya kufaidika upande mmoja utaipata dunia ya nani? Ktk hiyo bandari wanufaika watakuwa wore tz, omani na China, jinga kweli unapinga kitu usichokielewa.
tuliza matako basi kama ndicho kitu pekee unachokijua.
 
Huyo mwache maana akili kaziweka mfukoni kazi yake kuongelea wafu. Hajua amnatakiwa kutengeneza mapito yake, Yeye kila siku anaongelea mwendakuzimu, hajua hata anachoongelea,Kazi yakekujihesabia haki yeye mwema wenzie wabaya.
Mwendakuzimu hatuwezi kuacha kumwongelea dhalimu yule moto wa milele umuunguze
 
mpaka uweke yako chini kwanza.

huwezi kuja huku kwenye mijadala ya maana na akili zako za kushonelea.
We jamaa unajionaga una akili sana kumbe huna unachokijua ndo maana ukibanwa hoja unakimbilia kutukana jinga kweli ww
 
We jamaa unajionaga una akili sana kumbe huna unachokijua ndo maana ukibanwa hoja unakimbilia kutukana jinga kweli ww
nimekutukana wapi dogo,zaidi ya kukuelezea sifa zako!!!

halafu najionaga wapi??
 
funza hawaishi chini kule,wewe wako tunaendelea kuula hapa hapa,na ukifika chini tunauchoma.
maana utakuwa haufai.
Kea hoja za kipumbavu kama hizi sikuwezi ndo uwezo huna unachojua zaidi ya kutukana.
 
Kea hoja za kipumbavu kama hizi sikuwezi ndo uwezo huna unachojua zaidi ya kutukana.
wewe unajua nini sasa,maana hata tukikwambia huo mradi hauna manufaa kwa tz umekomaa sio kweli.
hata waalimu shule hutandika wapumbavu wanaoelekezwa hawashiki,sio wajinga.
 
Nguvu ya umma bado ni kubwa, watu wanaweza kuweka pressure uwekwe wazi mkataba.

Tusirudie mambi ya mradi wa gesi (90% inaenda kwa wawekezeji), IPTL na Tanesco scandal, mikataba hovyo ya madini na Acacia, Meremeta, radar mbovu.

Imetugharimu na inaendelea kutugharimu matrillioni ya shilingi.
acha uongo, hebu taja iyo kampuni iliyowekeza kwenye gesi... mradi mkubwa wa gesi ya mtwara hata mkataba bado haujasainiwa, bado wako kwenye mazungumzo.
 
nimekutukana wapi dogo,zaidi ya kukuelezea sifa zako!!!

halafu najionaga wapi??
Ndo maana nasema akili zako ni ndogo kama tu lisaa halijapita tayari ushasahau we ndo umeanza kuni-quote kwa matusi hebu rudi nyuma kidogo angalia first reply yako kwangu umeandikaje?
 
wewe unajua nini sasa,maana hata tukikwambia huo mradi hauna manufaa kwa tz umekomaa sio kweli.
hata waalimu shule hutandika wapumbavu wanaoelekezwa hawashiki,sio wajinga.
Huo mradi hauna manufaa kivipi babu hebu fafanua basi na sisi tuelewe kama faida mie naweza kutaja hata elfkumi.
 
acha uongo, hebu taja iyo kampuni iliyowekeza kwenye gesi... mradi mkubwa wa gesi ya mtwara hata mkataba bado haujasainiwa, bado wako kwenye mazungumzo.
Tuambie ukweli wa huo mkataba wa awali, usisahau kutuambia ukweli kuhusu Radar, IPTL, Meremeta, Acacia, Wanyama kutoweka kama Tembo, Twiga, ATCL kufa, na mingine mingi mikataba ya hovyo.
 
Shida moja kwenye haya mambo, hata mama akiwategemea wataalamu wake kumshauri, nao wataangalia msimamo wa mama kwanza, yaani hatutapata USHAURI ule wa kitaalamu. Mwendazake aliishatwambia kuhusu masharti yale ya bandari ya Bagamoyo, wengi wanaompinga hawasemi kama alicho twambia ni uongo au laa, wanampinga kwa chuki tu.

Ni vema tukajua in and out, kama yale aliyasema mwendazake ni ya kweli au uongo, kama ni ya kweli, kwanini tukimbilie Bagamoyo ilihali Tanga, Mtwara pia zipo? Kwanini tusi suspend operations za bandari moja wapo halafu tukafanya ukarabati wa KUFA mtu huko then tuendelee kuliko kuanzisha kitu kipya ilihali kuna vya kuendeleza? Unless, tuambiwe mwendazake alitudanganya
 
Waafrika aliyewaroga kafa, km unashindwa kujifunza kwa kile unachokiona kwa mwenzio basi utaweza kwa kukariri vitabuni
Acha kujidharau. Ni ugonjwa mbaya sana huu. 2021 BADO UNAAMINI KATIKA KUROGWA. WEWE AKILI YAKO FUPI
 
Back
Top Bottom