Ujinga mwingi ulitengenezwa na hao hao kina NyerereUkitazama ujinga tulionao Watanzania wengi katika karne hii utagundua kuwa Mwalimu Nyerere alipambana sana.
Hakika Baba wataifa alipata tabu sana kusugua kutu na Msasa kwenye vichwa vya Watanzania.
Imagine ujinga wakipindi chake ulikuwaje kama hivi sasa ni 2025 Watanzania karibia wote tunaujinga mkubwa namna hii, Yani kuanzia ngazi za(familia) na kila kona ni ujinga ujinga, umbea umbea tu Lord have Mercy.
Issues umepataje Hizo pesaSahz bado Kuna watu wanashangaa nyumba za watu,
Bado wanaendekeza chuki dhidi ya walionacho huku wao daily wanashinda mitandaoni na kujiendeleza kielimu hawataki
Wanaume ndo wambea hatari Sasa sjui ndo kupotea kwa mwanaume
Kwakweli Mungu awabariki viongozi wetu
Hebu tuambie aliutengenezaje ujinga kwa mfano?Ujinga mwingi ulitengenezwa na hao hao kina Nyerere
Uliwahi kuona wapi Nyerere amewekeza kwenye Elimu zaidi ya zile zile za wakoloni?Hebu tuambie aliutengenezaje ujinga kwa mfano?
Wewe umefanya nini cha maana chenye impact kwa jamii yako? ACHA UJINGA!Uliwahi kuona wapi Nyerere amewekeza kwenye Elimu zaidi ya zile zile za wakoloni?
Aliona ni Bora kutumia pesa za Nchi kwenda kuanzisha vita ya Idd Amin kumsaidia Jamaa yake Obote.
Aliona Bora msalie wajinga ila atymie pesa za Umma ma Rasilimali watu nk kusambaza wanajeshi nk kupigana kwenye Nchi zingine.
Kimsingi hana lolote la maana Aliwahi fanya kwenye mambo ya Maendeleo zaidi ya kukandamiza Wapinzani wake na kuwapoteza.
Mwalimu mwenyewe kwa busara ya hali ya juu kabisa aliuweka ujinga miongoni mwa wale maadaui wakuu watatu!Ukitazama ujinga tulionao Watanzania wengi katika karne hii utagundua kuwa Mwalimu Nyerere alipambana sana.
Hakika Baba wataifa alipata tabu sana kusugua kutu na Msasa kwenye vichwa vya Watanzania.
Imagine ujinga wakipindi chake ulikuwaje kama hivi sasa ni 2025 Watanzania karibia wote tunaujinga mkubwa namna hii, Yani kuanzia ngazi za(familia) na kila kona ni ujinga ujinga, umbea umbea tu Lord have Mercy.
Mimi nimefanya kwenye familia yangu na kuwanunulia nyie mliolishwa propaganda kwamba huyo mnaemtukuza ndio Chanzo Cha ujinga wa Watanzania.Wewe umefanya nini cha maana chenye impact kwa jamii yako? ACHA UJINGA!
Muajiriwa amezipata kupitia kazi yakeIssues umepataje Hizo pesa
Aione hii mada Lucas Mwashambwa, pengine itamfanya aache ama kupunguza maisha ya uchawa.Ukitazama ujinga tulionao Watanzania wengi katika karne hii utagundua kuwa Mwalimu Nyerere alipambana sana.
Hakika Baba wataifa alipata tabu sana kusugua kutu na Msasa kwenye vichwa vya Watanzania.
Imagine ujinga wakipindi chake ulikuwaje kama hivi sasa ni 2025 Watanzania karibia wote tunaujinga mkubwa namna hii, Yani kuanzia ngazi za(familia) na kila kona ni ujinga ujinga, umbea umbea tu Lord have Mercy.
Ndio maana Nyerere alikuwa anawatukana sometimes na kuwaambia baadhi ya Wanasiasa wana tabia za Kimalaya malaya, yaani kama malaya anavyonunulika kwa beer tu🤣🤣🤣🤣Ukitazama ujinga tulionao Watanzania wengi katika karne hii utagundua kuwa Mwalimu Nyerere alipambana sana.
Hakika Baba wataifa alipata tabu sana kusugua kutu na Msasa kwenye vichwa vya Watanzania.
Imagine ujinga wakipindi chake ulikuwaje kama hivi sasa ni 2025 Watanzania karibia wote tunaujinga mkubwa namna hii, Yani kuanzia ngazi za(familia) na kila kona ni ujinga ujinga, umbea umbea tu Lord have Mercy.
Sasa kwa miaka yote hiyo si tungeuacha na kuwa wajanja? Wajinga ninyiUjinga mwingi ulitengenezwa na hao hao kina Nyerere
Naunga mkono hojaKwa Africa sidhani kama kuna Taifa Lina Manyumbu zaidi ya Tanzania
Walikuwa wajinga sana enzi hizo. Na Nyerere aliutumia ujinga huo kuwaaminisha kuwa yeye ana akili kubwa kwa kuwahutubia mambo aliyokuwa akiyaona kwenye TV ama kuyasoma kwenye vitabu.Imagine ujinga wakipindi chake ulikuwaje