Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Lakini makonda aliendaje kugombe bila kushauriana na boss wake
Hakika uchawi hauvuki maji, yaani jamaa zile ndumba zake za kolomije alizomtengeneza mwenyekiti zimeshindwa kufanya kazi jana kwa wajumbe
Unaanza kulaumu kwa dhana tu, nani kakuambia Ndugulile atakatwa? Mbona Mwenyekiti Magufuli kesha sema maamuzi ya wanachama yataheshimiwa ili mradi aliyeshinda kashinda kihalali.
Yes, get a decent paying job; not this rumour mongering jobHivi si ni Mpumbavu Wewe umesema hapo kuwa nitafute Kazi ya Kunilipa? Sasa mbona tena Unauliza nani ananilipa? Mama yako ndiyo ananilipa.
" GENTAMYCINE Sisi wana CCM hapa Kigamboni tulikwazika sana hasa na Kitendo cha Mtu ambaye Kwanza hakai nasi huku Kigamboni kuja Kugombea na tena Kilichotuuma zaidi ni Yeye kuja huku wakati akijua kabisa kuwa Kipenzi chetu wana CCM Kigamboni Daktari Faustine Ndugulile yupo, ametufanyia makubwa na hakuna Kosa lolote alilotufanyia. Jana tumetoa Meseji kwa walio huko Juu, " wamesema wana CCM Kigamboni.
" GENTAMYCINE kuna Tetesi tumeanza Kuzisikia tu kuanzia jana Usiku baada ya Matokeo kuwa kuna Mtu atalazimishwa ndiyo agombee kwakuwa tu anapendwa na sijui ili Kumlinda asije akaharibu zaidi. Sasa tunakutuma ukawaambie kuwa wakimpitisha tu huyo Mtu Wao wana CCM Kigamboni tutampigia Kura Mgombea wa Upinzani au Kumtaka Dokta Ndugulile ahamie huko tumpigie, " wamesema wana CCM Kigamboni.
" GENTAMYCINE hivi Mtu amepitwa kwa Kura 68 leo hii utalazimishaje ndiyo aje kuwa Mgombea Wetu? Kwahiyo wanataka kusema kuwa hao wana CCM 68 hawana Akili au hawaujui Umuhimu wa Mbunge wetu Kipenzi na aliyemaliza muda wake Dokta Faustine Ndugulile? Tunamuomba kwa Heshima na Taadhima kabisa huyo mwenye Chuki zake na Dokta Ndugulile ayamalize nae ili CCM Kigamboni isonge na akilazimisha tu yale yaliyotokea Kawe 2015 yatahamia huku, " wamesema wana CCM Kigamboni.
" GENTAMYCINE mwisho kabisa tunakutuma ukawaambie hao wana CCM wako Makao Makuu huko Dodoma ukienda kwamba tuna hadi Namba za Simu kama Ushahidi za Watu waliokuwa wakitumiwa Kugawa Pesa kwa Wajumbe wakiutaka watualike katika Kikao chao tuwape. Dokta Ndugulile anatutosha sana Kigamboni na ni Mzawa halisia sasa walazimishe wauone Moto wetu wana CCM Kigamboni, " wamesema wana CCM Kigamboni.
Baada ya GENTAMYCINE kutoka zangu Kigamboni sasa naelekea Jimboni Kawe ili Kamati ile ile ya Roho Mbaya Leo pia imlime Mla Kondoo nae.
**** wewe50% ni Mtanzania na 50% ni Mnyarwanda tatizo liko wapi Mkuu? Nataka Tanzania iwe kama Rwanda ya Watu Makini na wenye Malengo Chanya.
Una uhalali gani wa Kunihoji Mimi kuwa au kutokuwa mwana CCM? Wewe ni nani Kwangu au ndani ya CCM hadi unihoji ' Kipopoma ' namna hii?
Yes, get a decent paying job; not this rumour mongering job
Next time you will say you're jew! 50% African and 50% Jewish haaaaaaa50% ni Mtanzania na 50% ni Mnyarwanda tatizo liko wapi Mkuu? Nataka Tanzania iwe kama Rwanda ya Watu Makini na wenye Malengo Chanya.
Mlindeni ndungulile wenu msije mkamwokotea akiwa kwenye kiroba anaelea Coco Beach. Ombeni msaada kwa Pomeo ikiwezekana maana anamjua vzr Bashite.
Logic: Kama unaweza ukaandika upuuzi huu unaoandika, jiulize ni mwana CCM gani mwenye akili timamu atakayekupa habari muhimu mtu kama wewe. You are writing shitKwani ' Kumsuuza ' kunako ' Kibaiolojia ' huyo aliyekueleta hapa Duniani ' Mpumbavu ' Mmoja Wewe siyo ' a decent paying job ' Kwako Wewe au?
Kwa hiyo unamanisha andelee kua na matumaini Asubili mbelekoKwani makonda amekatwa? Mkutano mkuu wa jimbo au wilaya unapitisha majina matatu ambayo yanajadiliwa na kamati ya siasa ya wilaya, mkoa na Nec wanapitisha jina moja. Unafurahi kwani mchakato umeisha? Kufikiri kwa kutumia makamasi ni tatizo kubwa sana. Kwa nini usisubiri mchakato uishe? Sababu kuwa namba moja sio kupita.
Ndani ya 24hrs thread zisizopungua 20 za kumuhusu Makonda[emoji23]na bado kuna member wengine zaidi ya 20 wanaandaa thread mpya[emoji23].
Huyu Makonda anakitugani cha kutisha?
Makonda angeongoza ungeongea uozo huo????Wala sio kampeni meneja wala sipendelei mtu. Ila nazungumzia utaratibu wa kupata jina moja bado unaendelea. Na haijulikaani nani atapitishwa huko mbele mbona nyie mnaanza kufurahia upuuzi na Makonda ameingia kwenye mchujo wa majina matatu.
Kawaambie waliokuza huo urojo walikosea kukupa maelekezo.
Makonda ndio mgombea wa kigamboni.
Note:
Asubiri mchakato ukamilike,sio mbelekoKwa hiyo unamanisha andelee kua na matumaini Asubili mbeleko
Next time you will say you're jew! 50% African and 50% Jewish haaaaaaa
Logic: Kama unaweza ukaandika upuuzi huu unaoandika, jiulize ni mwana CCM gani mwenye akili timamu atakayekupa habari muhimu mtu kama wewe. You are writing shit