Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Wadau, uchaguzi bado haujaisha. Utaratibu waliokwisha utangaza, ni kuwa, baada ya hapo, kuna hatua zingine, kabla ya kupeleka kwenye Kamati kuu. Huko, yatachaguliwa majina matatu, ambayo yatarudishwa kupigiwa kura tena. Mshindi, ndiye atakuwa mgombea.
Hivyo, wale wote walioshika nafasi ya kwanza, si ajabu wakashindwa kwenye hizo kura za wagombea watatu. Na kwa nafasi aliyopata Makonda, jina lake kuwa ni miongoni mwa hayo majina matatu, haitakuwa ni upendeleo, kwa sababu kashika nafasi ya pili.
Hivyo, kama hawamtaki, basi, wasimpe kura, wampe huyo wamtakaye!