christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,841
- 4,531
Mkuu amini usiamini ila ujue ni vigimu sana kwa mtia nia mpya kumshinda mtiania ambaye ni mbunge mstafu kupitia kura za wajumbe hata kama wananchi hawamtaki labda mbunge huyo mstaafu awe alitokea upinzani.Ni kweli alukuwa na uthubutu. Kama aluweza kumtandika kibao Mzee Warioba nn angeshindwa?
Kilichopelekea Watu kufurahishwa kwa kuangushwa kwake ni kile kiburi chake juu ya Viongozi wengine kutokana na Mamlaka za Teuzi. Makonda kabebwa sana na Mamlaka za Teuzi hali iliyompelekea yeye kujiona ni bora kuliko wengine.
Hiyo ndiyo imetoka.......
Nyinyi wapambe wa Bashite endeleeni kujipa matumaini
Anaitwa Mohamed AhmednajadYule Rais wa Iran Mohamed Abdinajad alimtanguliza Mungu katika utawala wake. Sasa hivi u Rais umekwisha amerudia kazi yake ya Ualimu Chuo Kikuu na ana panda treni kwenda kazini. Anasalimiama na watu kama kawaida.
Mradi umeelewa ni huyo huyoAnaitwa Mohamed Ahmednajad
Kamuulize PompeoJPM aliwaambia kabisa kuwa wa kwanza sio kupitishwa
Unabaki unapagawa na maisha ya mwanaume mwenzako kufeli
Una akili kweli?
Kama hapendwi? Kwa nn hakupata zero????
uzuri hata Magu akimbeba tena kwa mara nyingine ujumbe atakuwa keshaupata...hilo tu linatutosha!.Kushika namba mbili kwenye kura za maoni sio kwamba ndio kaanguka...
Muda ukifika Mh. Makonda atawashangaza wengi...
Unafurahi kwa muda, huyo Sasa ndie atakayeleperusha bendera ya CCM kigamboni, aliyeshinda maoni si alitumbuliaa kwa ukosefu wa nidhamu kwa kumkosoa mkuu. Hapenyi popote Wala....Yaaan furaha haielezeki niliyonayo, tangu nmezaliwa sijawahi hata kunywa soda maan nna allergy na vinywaji vya viwandani,
Lakini leo nimedufua heinken nzima. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
jamani sijui wajumbe wa CCM kigamboni niwape zawadi gani wallah
Tuishi vizuri na watu...
Tuache majivuno....
Tusiwatese na kuwaonea wasio na uwezo...
Tutende haki.....
Dunia hii tunapita tu......[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hata kama hazitafika mahali yakaisha hayo madhambi, basi angalau yapunguzwe madhara hayo "to the minimum"Haki haiwezi kupatikana duniani
Majivuno hayawezi kuisha duniani
Uonevu hauwezi kuisha duniani
Na siku itakapofikia hayo mambo yatakapotendeka itakuwa mwisho wa dunia nimesikitika kukatwa kwa makonda ni mchapa kazi
Hata sijui niseme vipi, ila baaas Jah kasikia Maombi yangu. Km atabebwa shauri yake yey na uncle, ila wajumbe wameonesha uhalisia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alikukosea nini Msukuma wa watu yule??.
Ashangaze kwa lipi? Hata akibebwa haituumizi couz tumeshamuonesha uhalisia.Kushika namba mbili kwenye kura za maoni sio kwamba ndio kaanguka...
Muda ukifika Mh. Makonda atawashangaza wengi...
Hata km akibebwa na baba yake, haitashangaza kamweeeh ila tumewaonesha uhalisia kuwa makonda [emoji1241] nzima hapendwi.Unafurahi kwa muda, huyo Sasa ndie atakayeleperusha bendera ya CCM kigamboni, aliyeshinda maoni si alitumbuliaa kwa ukosefu wa nidhamu kwa kumkosoa mkuu. Hapenyi popote Wala....
Jamaa alimsaliti rais ndio mana mzee nae ameamua kum fix wewe imagine nchi ndio inaelekea kwenye uchaguzi badala amsaidie rais uchaguzi uende salama yeye ame defect kwenda kugombea ubunge ni matusi makubwa mno huu ndio mwisho wa makondaUnataka ku influence vikao vya juu?