Watanzania kuweni wakubwa akilini

Sio mama paula naongelea wazee wote ambao tunachekwa hapa hao nimetumia kama mifano?
Kwani una umri gani, maana kama Kajala ni mzee ila relative tu mambo anayofanya, ndiocho watu wanamaanisha lakini wala sio mzee, shida ni kupost makalio kama mtoto wa miaka 18
 
Kwani una umri gani, maana kama Kajala ni mzee ila relative tu mambo anayofanya, ndiocho watu wanamaanisha lakini wala sio mzee, shida ni kupost makalio kama mtoto wa miaka 18
Ahahaha 39
 
Kubali tu mashavu yanachuma kunde na huna namna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…