BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Umefanya jambo la msingi sana. Tena hata Mungu atakubariki mana elfu moja hio umempa bodaboda ambaye amejiajiri ili aiangalie familia yake.Nina balance kwenye simu shs. 63,127 nimejaribu kumtumia mtu shs. 60,000. Eti Salio langu halitoshi kufanya muamala. Imenibidi nimwite bodaboda apeleka pesa kwa mlengwa kwa nauli ya shs. 1,000.
Hii kwenye simu nitanunulia Umeme halafu niachane na miamala ya simu
Hata waangalie katika microscope zile zs kuangalia bacteria ambao huwezi kuwaona hata kwa hizo darubini, bora kuhamia benki kuliko kubaki kwenye manyanyaso ya miamala ya simu. Na by the way BOT ndio wameleta haya manyanyaso ya solidarity fund?nendeni tu ila kumbukeni hamjatoka kwenye binocular ya BOT
Mwanzo tulikua tunalipa mavi?Lipa kodi kwa maendeleo ya taifa
Kumbuka watu wenye kipato kidogo ndiyo wanao umia zaidiLipa kodi kwa maendeleo ya taifa
Wengine wanaishi kwa mashemeji hawaelewi, kila kitu kiko ready made.Kumbuka watu wenye kipato kidogo ndiyo wanao umia zaidi
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Ni kweli kabisa, watu wengi tunasaidiana kwa pesa ndogo ndogo lakini ndiyo tuna kamuliwa balaaWengine wanaishi kwa mashemeji hawaelewi, kila kitu kiko ready made..
Haya hayawagusi kwa namna yoyote
Watu wakikasirika hata midomo ^me-sir-fee^ lazima tu inuke!!!Mwanzo tulikua tunalipa mavi?
Achana na mambwa yasiyojitambua hayoMwanzo tulikua tunalipa mavi?
Hata waangalie katika microscope zile zs kuangalia bacteria ambao huwezi kuwaona hata kwa hizo darubini, bora kuhamia benki kuliko kubaki kwenye manyanyaso ya miamala ya simu. Na by the way BOT ndio wameleta haya manyanyaso ya solidarity fund?
Wale wasio na mabenki karibu wanapanga foleni wapi wenzetu!??? 🙂Tulishakomba pesa zote toka Jana saivi tunapanga foleni bank
Yes kuliko kuyapa makampuni waliyo matajiri na wanasiasa wetu wakale bataUmefanya jambo la msingi sana. Tena hata Mungu atakubariki mana elfu moja hio umempa bodaboda ambaye amejiajiri ili aiangalie familia yake.
Afu na benki uzuri mawakala wamejaa kila Kona. So weka hela kwa wakala afu akachukue kwa Atm wale wa vijijini ndani kabisa wachukue kwa mtu wa duka la hapo kijijini afu muwekee hela yake benki ndo ampatie mzazi wako. Kama demu wako anaifuata geto na unakula mbususu ndo arudi.Eti solidarity fund! Vichekesho vya kuvunja mbavu!
Anyway kwa umoja wetu watanzania tuhamie kwa nguvu mpya, kasi mpya, ari mpya katika huduma za mabenki yetu pendwa yanayotujali.
Pia hapo hapo hua wana huduma za simu za kibenki ambazo mnaweza kutumiana pesa benki kwenda benki zote na ukaenda ukatoa ATM kwa makato madogo sana ambayo sio ya kukomoa.
Hala hala watanzania, ni wakati wa mabenki sasa, tuyatumie mabenki sasa kwa nguvu zote.
Asanteni.