BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Eti solidarity fund! Vichekesho vya kuvunja mbavu!
Anyway kwa umoja wetu watanzania tuhamie kwa nguvu mpya, kasi mpya, ari mpya katika huduma za mabenki yetu pendwa yanayotujali.
Pia hapo hapo hua wana huduma za simu za kibenki ambazo mnaweza kutumiana pesa benki kwenda benki zote na ukaenda ukatoa ATM kwa makato madogo sana ambayo sio ya kukomoa.
Hala hala watanzania, ni wakati wa mabenki sasa, tuyatumie mabenki sasa kwa nguvu zote.
Asanteni.