Watanzania kwa umoja wetu tuhamie huduma za kibenki

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,327
Eti solidarity fund! Vichekesho vya kuvunja mbavu!

Anyway kwa umoja wetu watanzania tuhamie kwa nguvu mpya, kasi mpya, ari mpya katika huduma za mabenki yetu pendwa yanayotujali.

Pia hapo hapo hua wana huduma za simu za kibenki ambazo mnaweza kutumiana pesa benki kwenda benki zote na ukaenda ukatoa ATM kwa makato madogo sana ambayo sio ya kukomoa.

Hala hala watanzania, ni wakati wa mabenki sasa, tuyatumie mabenki sasa kwa nguvu zote.

Asanteni.
 
Nina balance kwenye simu shs. 63,127 nimejaribu kumtumia mtu shs. 60,000. Eti Salio langu halitoshi kufanya muamala. Imenibidi nimwite bodaboda apeleka pesa kwa mlengwa kwa nauli ya shs. 1,000.

Hii kwenye simu nitanunulia Umeme halafu niachane na miamala ya simu
 
Umefanya jambo la msingi sana. Tena hata Mungu atakubariki mana elfu moja hio umempa bodaboda ambaye amejiajiri ili aiangalie familia yake.
 
nendeni tu ila kumbukeni hamjatoka kwenye binocular ya BOT
Hata waangalie katika microscope zile zs kuangalia bacteria ambao huwezi kuwaona hata kwa hizo darubini, bora kuhamia benki kuliko kubaki kwenye manyanyaso ya miamala ya simu. Na by the way BOT ndio wameleta haya manyanyaso ya solidarity fund?
 
Tulishakomba pesa zote toka Jana saivi tunapanga foleni bank
Wale wasio na mabenki karibu wanapanga foleni wapi wenzetu!??? 🙂
 
Eti solidarity fund! Vichekesho vya kuvunja mbavu!

Anyway kwa umoja wetu watanzania tuhamie kwa nguvu mpya, kasi mpya, ari mpya katika huduma za mabenki yetu pendwa yanayotujali.

Pia hapo hapo hua wana huduma za simu za kibenki ambazo mnaweza kutumiana pesa benki kwenda benki zote na ukaenda ukatoa ATM kwa makato madogo sana ambayo sio ya kukomoa.

Hala hala watanzania, ni wakati wa mabenki sasa, tuyatumie mabenki sasa kwa nguvu zote.

Asanteni.
Afu na benki uzuri mawakala wamejaa kila Kona. So weka hela kwa wakala afu akachukue kwa Atm wale wa vijijini ndani kabisa wachukue kwa mtu wa duka la hapo kijijini afu muwekee hela yake benki ndo ampatie mzazi wako. Kama demu wako anaifuata geto na unakula mbususu ndo arudi.

Eti watu wanaweka miito ya simu wanalipia.

Mbona wao hawasemi ya kwao.

Ila Hawa jamaa kweli sio kabisa Bora mkoloni mzungu.

Bora Mara Mia turudi misri kwa pharaoh kuliko haya mateso ya mwana wa ahadi
 
Back
Top Bottom