Watanzania milioni 60 tumeshindwa kununua Crane za kushusha mizigo kwa ufanisi bandarini?

Watanzania milioni 60 tumeshindwa kununua Crane za kushusha mizigo kwa ufanisi bandarini?

Exorcist

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
1,235
Reaction score
1,268
Tanganyika tunalipa Trillion 12 kila mwaka ikiwa ni pamoja na riba za madeni tuliyokopa. Sasa najiuliza katika mikopo yooote hii tunayolipa, hakuna hata trillion 1 iliyotumika kununua Crane kubwa kama za DPWorld?

Zinauzwa trillion ngapi kwani hizi mashine?

3EF962C2-BF72-4863-B98F-AE2099525743.jpeg
EA0468D1-9577-4275-A947-9752549ED985.jpeg
E83DA298-FEAE-463B-8803-3BF52768DE6B.jpeg
 
Tanganyika tunalipa Trillion 12 kila mwaka ikiwa ni pamoja na riba za madeni tuliyokopa. Sasa najiuliza katika mikopo yooote hii tunayolipa, hakuna hata trillion 1 iliyotumika kununua Crane kubwa kama za DPWorld?
Ndugu yangu mbona umeenda mbali? Kwa nini hukuanza kujiuuliza ni kwa nini baada ya miaka 60 ya uhuru bado watoto wa mtanzania vijijini wanasoma katika mazingira magumu? Mabanda mabovu, wanakaa chini, vyooo vya makuti na hakuna zana za kusomeshea?
 
tatizo urasimu na usimamizi mbovu,hata kwa hizi crane zilizopo tungekua na usimamizi mzuri tusingekua na fikra za kukodisha bandari.
Serikali imeshindwa kabisa kudhibiti wizi,rushwa na kulindana kwenye taasisi za umma.
Kila mtu akingia huko anafikiria/waza kuiba
Yaani uwizi,ufisadi kwanza kazi badaye

Ova
 
Back
Top Bottom