Watanzania milioni 60 tumeshindwa kununua Crane za kushusha mizigo kwa ufanisi bandarini?

Watanzania milioni 60 tumeshindwa kununua Crane za kushusha mizigo kwa ufanisi bandarini?

Tanganyika tunalipa Trillion 12 kila mwaka ikiwa ni pamoja na riba za madeni tuliyokopa. Sasa najiuliza katika mikopo yooote hii tunayolipa, hakuna hata trillion 1 iliyotumika kununua Crane kubwa kama za DPWorld?

Zinauzwa trillion ngapi kwani hizi mashine?

View attachment 2679124View attachment 2679125View attachment 2679126
Unahitaji kupata Majibu rahisi kwa maswali magumu sana.
Nchi inahangaika kujenga madarasa, hospitali, vituo vya afya, barabara, madaraja na kubadili mind set zetu za kufikiri.
 
Hayo ukistaajabu leo mie nimeshastaajabu zaidi ya ha
yo: kama vile hisani za matundu ya choo, tasaf za kulea kaya maskini,
 
Yote hayo yanawezekana

Tatzo tulilonalo ni dogo sana,hatuwawajibishi wanaokwamisha bandari zenu kisa tu ni ndugu zetu na watoto wa marafik zetu

Unabid tuanze kuwatia watu vitanzi wanaokwamisha ufanisi na kuiba hela
Tuache uwoga tudai katiba itakayoweza kuwa wajibisha viongozi na si hii ya kuwalinda na kuwekeana makinga
 
Back
Top Bottom