Ndugu yangu mbona umeenda mbali? Kwa nini hukuanza kujiuuliza ni kwa nini baada ya miaka 60 ya uhuru bado watoto wa mtanzania vijijini wanasoma katika mazingira magumu? Mabanda mabovu, wanakaa chini, vyooo vya makuti na hakuna zana za kusomeshea?Tanganyika tunalipa Trillion 12 kila mwaka ikiwa ni pamoja na riba za madeni tuliyokopa. Sasa najiuliza katika mikopo yooote hii tunayolipa, hakuna hata trillion 1 iliyotumika kununua Crane kubwa kama za DPWorld?
TUKINUNUA Wale wa Mjengoni watapiga wapi cha JUU na wale Watangazaji Makanjanja?Tanganyika tunalipa Trillion 12 kila mwaka ikiwa ni pamoja na riba za madeni tuliyokopa. Sasa najiuliza katika mikopo yooote hii tunayolipa, hakuna hata trillion 1 iliyotumika kununua Crane kubwa kama za DPWorld?
Zinauzwa trillion ngapi kwani hizi mashine?
View attachment 2679124View attachment 2679125View attachment 2679126
Wizi wizi umejaa sn kwenye haya mashirika makubwaTUKINUNUA Wale wa Mjengoni watapiga wapi cha JUU na wale Watangazaji Makanjanja?
Utawala mbovu wa CCMNdugu yangu mbona umeenda mbali? Kwa nini hukuanza kujiuuliza ni kwa nini baada ya miaka 60 ya uhuru bado watoto wa mtanzania vijijini wanasoma katika mazingira magumu? Mabanda mabovu, wanakaa chini, vyooo vya makuti na hakuna zana za kusomeshea?
Bandarini kumejaa udini, ukabila, undugu na ukadatatizo urasimu na usimamizi mbovu,hata kwa hizi crane zilizopo tungekua na usimamizi mzuri tusingekua na fikra za kukodisha bandari.
Serikali imeshindwa kabisa kudhibiti wizi,rushwa na kulindana kwenye taasisi za umma.
Sahivi tupo hoi hatujui hata tunafanya niniNchi yenye viongozi wajinga ndo hii Tanzania yetu! Hatushindwi isipokuwa tunaongozwa na viongozi wenye akili za kushikiwa!
Bora Mwamba Hayati Magufuli ambaye kila wakati alikuwa akisema TUNAWEZA!
Ili mradi muanzishe kajithread ka bandari.Tanganyika tunalipa Trillion 12 kila mwaka ikiwa ni pamoja na riba za madeni tuliyokopa. Sasa najiuliza katika mikopo yooote hii tunayolipa, hakuna hata trillion 1 iliyotumika kununua Crane kubwa kama za DPWorld?
Zinauzwa trillion ngapi kwani hizi mashine?
View attachment 2679124View attachment 2679125View attachment 2679126
Tanganyika tunalipa Trillion 12 kila mwaka ikiwa ni pamoja na riba za madeni tuliyokopa. Sasa najiuliza katika mikopo yooote hii tunayolipa, hakuna hata trillion 1 iliyotumika kununua Crane kubwa kama za DPWorld?
Zinauzwa trillion ngapi kwani hizi mashine?
View attachment 2679124View attachment 2679125View attachment 2679126
Haombi na huna la kumfanyaSamia ametutukana, anatakiwa kutuomba radhi.
Kila mtu akingia huko anafikiria/waza kuibatatizo urasimu na usimamizi mbovu,hata kwa hizi crane zilizopo tungekua na usimamizi mzuri tusingekua na fikra za kukodisha bandari.
Serikali imeshindwa kabisa kudhibiti wizi,rushwa na kulindana kwenye taasisi za umma.