Watanzania milioni 60 tumeshindwa kununua Crane za kushusha mizigo kwa ufanisi bandarini?

Unahitaji kupata Majibu rahisi kwa maswali magumu sana.
Nchi inahangaika kujenga madarasa, hospitali, vituo vya afya, barabara, madaraja na kubadili mind set zetu za kufikiri.
 
Hayo ukistaajabu leo mie nimeshastaajabu zaidi ya ha
yo: kama vile hisani za matundu ya choo, tasaf za kulea kaya maskini,
 
Yote hayo yanawezekana

Tatzo tulilonalo ni dogo sana,hatuwawajibishi wanaokwamisha bandari zenu kisa tu ni ndugu zetu na watoto wa marafik zetu

Unabid tuanze kuwatia watu vitanzi wanaokwamisha ufanisi na kuiba hela
Tuache uwoga tudai katiba itakayoweza kuwa wajibisha viongozi na si hii ya kuwalinda na kuwekeana makinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…