Naunga mkia hoja.Siwezi kutoa kafara ya mzazi au ya mtoto ili nipate utajiri, Lakini
Ikibainika inahitajika kafara ya mzazi wangu ili kumuua Samia niko tayari kumtoa kafara mzazi au mtoto.
Mshenzi sana huyo mtu
Ulitaka apost humu komenti zote milioni 70?HIZO COMMENT CHACHE ZINAWEZAJE KUTOA TASWIRA HALISI YA WATZ MIL 70
SSH ANAPENDWA SANA USIKAE INSTA NA FB AU TIKTOK INGIA MTAANI UFANYE RESEARCH UONE
PEOPLE ARE SO HAPPY na Rais Wao .
Kama Hadi sasa bado hajajutia basi Haji kujutiaMambo jinsi yanavyoenda, huyu mwanamke kuna siku atajutia na kusema, ahwri nisingekuwa na cheo chochote.
Hakuna muuaji anayependwaLeo katika pitapita zangu mitandaoni nikaingia page ya Millard Ayo kuangalia post za hizi siku mbili tatu. Aisee watu mnamchukia Samia sio poa, yani watu wanakasirika kabisa kuona habari za Samia. Dah
View attachment 3524626View attachment 3524627View attachment 3524628View attachment 3524629
.
.
.
View attachment 3524633View attachment 3524648
View attachment 3524634View attachment 3524635View attachment 3524636View attachment 3524637
.
.
.
Huku nako naona habari Shilole amepata ajali, gari alilopanda limegonga ng'ombe, Watanzania wanauliza kama ng'ombe yupo salama 🙌
View attachment 3524642
.
.
Hii sio nzuri hata kidogo, huyu mama angeangalia hata namna basi ajiuzulu tu kistaarabu maana watu wengi inaonekana hawampendi na sio vizuri Watanzania wengi wanaishi na chuki na manung'uniko kwenye nchi yao. Ona matusi yote haya na chuki, mivutano ya kidini, kutukanana, vinyongo yani tunazidi kusambaratika kama taifa. Sasa tutaishi hivi hadi lini
Mwanamke gani atamfurahia mwanamke mwenzie anayeteka na kuua watoto na waume zao?Wapambe wake wakiona hivyo wanadhani hao ni wachache tu kwa sababu wapo mitandaoni ila hii hata huku mtaani wasiotumia hizi social network wanamchukia sana huyu mama.
Tena kina mama wenzake ndiyo hawataki hata kumsikia.
Mi ndio maana huwa nawaambia wanaotishia watu maisha humu JF, waende huko insta, ticktok na facebook, Watu wapo live kabisa. Watawakamata hadi wakose pakuwaweka.Watu wamevurugwa! sasa ivi wanaenda front na account zao og sijui watateka wangapi 🤣
Chawa wote JF toka Jana wanachungulia kwa mbali .....Zamani walikuwa na tantalila zao kuwa wapiga kura hawapo mtandaoni.
Ndio serikali ya kwanza kufunga na kurestrict comments kwenye account rasmi za serikali katika mitandao ya kijamii.
Ajute mara ngapi...??? anatamani angeishia u-Makamu wa RaisMambo jinsi yanavyoenda, huyu mwanamke kuna siku atajutia na kusema, ahwri nisingekuwa na cheo chochote.