Watanzania mnaojiua kila siku nani aliyewaambieni kuwa sisi wengine hatukupitia changamoto kubwa za kimaisha kuwazidi?

Ona hii takataka inaongea na marehemu.... Kweli nimeamini wewe ni popoma lililotukuka.
 
Hapo namba 3 umeua sana

Usiri utaendelea kuwaua watu wengi sana

Mungu akubariki
 
Content nzuri, ila umeiadress kwa wafu.
 
Andika hizo changamoto tulinganishe na tunazopitia. Unaweza Kuta za kwako siyo changamoto
 
Ona hii takataka inaongea na marehemu.... Kweli nimeamini wewe ni popoma lililotukuka.
Ukiwa MPUMBAVU wa KULAANIKA kama Wewe hapa utadhani naongea na hao Marehemu ila nimetuma Ujumbe MKUBWA kwa Wengine na nashukuru Members wengi hapa WAMENIELEWA ila ni WAPUMBAVU wachache wakiongozwa nawe KINARA wao ndiyo HAMJANIELEWA na kamwe HAMTANIELEWA hapa JamiiForums. Mimi ndiyo GENTAMYCINE.
 
Andika hizo changamoto tulinganishe na tunazopitia. Unaweza Kuta za kwako siyo changamoto
Nazitengenezea Filamu hivyo nikimaliza nitakuomba uinunue ili Uone na Ujue niliyoyapitia sawa? Mungu ni Mwema mno.
 
Mungu aweke baraka zake zaidi
 
Mkuu kuna hali ngumu na kuna kuzidiwa na kila kitu kufunga na kukosa njia ya kutokea.
 
Watu wanatofautiana uwezo wa kuhandle stress.Kuna wengine jambo ambalo kwako ni dogo wao linawakosesha usingizi.
By the way good post amigo popoma all the way from Ug.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…