Watanzania mtakapoona kila nyumba kuna msiba ndipo mtatubu kusifia kila neno

Ubongo wako una mushkeli mahali, hao unaosema waambiwe ndio wanakufa kama kuku wenye mdondo.
Waje kukusikiliza wewe mpuuzi? Wizaraa imeshakuelekeza jinsi yakujikinga maamuzi ni yako!
 
Aisee pole mkuu,nimei-screen shot post yako kwa matumizi ya baadae unajua binadamu hatujui linalokuja kesho.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
mimi nilikwenda pharmacy yule mdada akanipa dawa moja hivi, nikameza asubuh ndio mapafu yakaachia lakini jibu la yule mdada akanisistizia niende hospital, ila mm nilikuwa naogopA kwenda hospital nikiju NitapewA majibu labda malafu na koo yamehAribika maana sio kwa hali ile.

Kuna wakati nalala harafu na stuka maana muda mwingine unasema leo sijui kama kesho utakucha, nashukuru nilitumia njia za kwangu mbadala ndio leo zimenifikisha hapa, kwakwel kama zile dalili za COVID_19 acheni wenye matatizo ki mwili na wazee wafe sio jambo la mchezo jaman.

Inafikia hatua unaona pua hazina uwezo wa kukusanya hewa inabidi utumie mdomo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi itabaki na vijana kwa hali hii inauma ila hamna namna, msiba usikie kwa jirani sio kwako, sii poa

Tanganyika tusipo kuwa makini Corona itahamia kwetu milele, na kuna ugonjwa mpya wa kushindwa kupumua sijui ndo upi
Mkuu ndio korona mark II, hiyo brother sikia hivyohivyo suala la kushindw kupumua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwez mmoja uliopota kipindi natoka Uganda, na kesho yake wakalock kila kitu, jamaa angu mmoja alinihakikishia kwamba , kwa namna mnavyouchukukia huu ugonjwa Tanzania, baada ya miezi 3 mtakufa wengi na hamtauweza tena, aliniambia, mark my words.......leo hii nashuhudia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo inawezekana wenzetu watu weupe corona inawauwa sana kwa sababu miili yao miepesi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…