Watanzania na Wana CCM wote tujaze Ile form ya Tume ya uchunguzi inaeleweka vizuri sana

Kimbesa11

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
4,648
Reaction score
2,706
Tumetoka kujaza Ile form ya Tume ya uchunguzi wa matukio ya tar. 29
Tumeijaza kabla hatujatawanyika kwenda kwenye majukumu ya kujitafutia riziki hii form siyo ngumu inaeleweka watanzania tujaze. Unaweza ukajaza hata ukiwa kwenye boda

Wana CCM na watu wa vyama vyote tujaze Ile form inaeleweka vizuri.

Uzalendo Daima
 
Uchunguzi wa nini? Wa wale wahalifu wezi na waharibifu wa mali waliopigwa risasi au?
 
Mimi na familia yangu tushajaza tayari.
KAZI na Utu Tunasonga Mbele 🇹🇿
 
Chinjachinja wote waneshajaza,wakiisha nileteeni na mimi nijaze.
 
Chinjachinja wote waneshajaza,wakiisha nileteeni na mimi nijaze
 
Tulishaonya kuwa huo ni mtego ukijichanganya kusema ukweli ambao hawataki kuusikia ujue umekwisha Mafwele lazima apite na wewe tu. CCM ni genge la kigaidi wasipewe ushirikiano wowote hawa wauaji wanaotumia hiyo Tume yao ya mchongo kama sabuni ya kumsafisha shetani Samuya.
 
Sisi wazalendo tunajaza na tushajaza.
Wana CCM wote 🇹🇿
 
Nipo job nawaelekeza wenzangu jinzi ya kujaza form ya Tume
 
Ungetumia lugha rahisi kuwa, Wauaji na wanaounga mkono mauaji ya Watanzania wajaze hiyo fomu.
 
Nenda ujaze mpumbavu wewe. Na htukutaki kwenye jamii forum. Si uondoke.
Tumeshajaza kabla sijaondoka home sasa nipo kazini nawaelekeza jinzi ya kujaza mchawi ni wi-fi tu
 
Ungetumia lugha rahisi kuwa, Wauaji na wanaounga mkono mauaji ya Watanzania wajaze hiyo fomu.
Form inaeleweka sana Wana CCM na watanzania wazalendo tunajaza kidigitar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…